Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo, Joseph Kabila, hatimaye amemtangaza waziri mkuu mpya, atakayechukua nafasi ya Matata Ponyo
Uteuzi huo unakuja siku chache baada ya Matata Ponyo wa chama...
Hisia zangu zinaniambia hivyo, kwani D.Trump ni game changer na hajachukuwa hata senti ya mtu, amelipia kampeni yake mwenyewe hivyo basi hakuna anayemdai kitu, sasa hii kwa USA siyo kawaida, hivyo...
Ndgu wanabodi, nadhani wengi mnafatilia kinachoendelea Marekani tangu jana baada ya ushindi wa Trump. Waliopga kura ni nusu ya waliojiandikisha...kushindwa kwa Hillary kumetokana na kundi hili...
Marekani Polisi wamewakamata waandamaji 112 wanaompinga Trump, kati yao takribani 70 hawajapiga kura uchaguzi wa Rais wa hivi karibuni.
Yaani mtu hajapiga kura lakini anakuwa mstari wa mbele...
Kama vile CCM ambavyo hawakuwa wamejiandaa kumpata Rais kama MAGUFULI hali kama hii ndivyo ilivyo kwa Republican kumpata Rais kama TRUMP. Wanachama wa vyama hivi wengi wao wana hofu kuu kwa...
REYES, BOLIVIA
Wananchi walishambulia kituo cha polisi na kumchukua mshukiwa wa ubakaji kisha wakamnyonga kwa kamba hadi akafariki
Jamaa huyo alikuwa amekamatwa kwa madai ya kumnajisi msichana...
Nguvu na uwezo alionao Malkia Elizabeth wa Uingereza...
1. Haitaji leseni ya gari, huendesha bila leseni
2. Husafiri bila passport nje ya nchi
3. Huwa anasherehekea siku ya kuzaliwa mara...
Wanamjua Trump kuwa sera na misimamo yake iko dhahiri kuwa hawaendani.
Na alishatoa maoni yake binafsi kuwa waafrika wanapaswa kutawaliwa tena.
Na marais wote madikteta kama Robert Mugabe...
Kituo cha habari cha serikali,cha Korea Kaskazini kimemrejelea kwa mara ya kwanza rais mteule wa Marekani Donald Trump ingawa kwa njia isiyo ya moja kwa moja.
Kituo hicho cha serikali kwa ufupi...
Rais Mteule Donald Trump apanguwa tena timu yake ya mpito kwa kuwaacha nje mtaalamu wa usalama na wapiga kampeni wake wa karibu akielekea kuwachaguwa watetezi wa soko la hisa la Marekani katika...
MAREKANI. Meya wa mji wa Clay, West Virginia amejiuzulu baada ya kufurahia mtu alipotoa kauli ya kibaguzi dhidi ya Mke wa Rais Obama.
Mfanyakazi mmoja wa Ofisi za mji huo aliandika katika ukurasa...
Russian opposition politician Boris Nemtsov was shot to death in central Moscow late Friday.
According to Moscow police, Nemtsov was walking near Red Square with a female companion when assassins...
A.Saddam's Iraq
B.Assad's Syria
C.Gaddafi's Libya
China ndio wanatakiwa wasimamie na wasitishe Vita ya Korea na watengeneze utulivu kwenye region hizo na wawahakikishie ulinzi S Korea&N.Korea...
Urusi imesema kwamba inaondoa rasmi saini yake kutoka kwenye sheria inayounda mahakama ya kimataifa ya uhalifu wa kivita, ICC, siku moja baada ya mahakama hiyo kuchapisha ripoti inayokishutumu...
Leo kwenye vyombo vya habari tumemsikia rais mteule wa marekani trump akitangaza kutopokea mshahara wake ,huyu ndiye mzalendo wa kweli,na ndio raha ya kuchagua rais mfanyabiashara ,pesa kwake si...
Baada ya Trump kuwa Rais mteule wa USA, Mkurugenzi wa polisi wa Clay County Pamela Ramsey Taylor ameandika haya:
“It will be so refreshing to have a classy, beautiful, dignified First Lady back in...
Huyu Profesa aliyejiwekea vigezo 13 toka mwaka 1984 katika kupata mshindi wa uraisi nchini Marekani na hata mwaka huu alitoa utabiri wake toka mwezi May kuwa mshindi ni Donald Trump wa Republican...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.