Hivi karibun tumeshuhudia mapinduz mbalimbali ktk nchi zinazoendelea. Nawatahadharisha wanasiasa wasifanye maamuz bila kuzingatia matakwa, ridhaa na mahitaji ya wananchi.
Rais wa Marekani Barack Obama amemsifu sana mgombea wa chama cha Democratic Hillary Clinton na kusema ndiye afaaye zaidi kuongoza Marekani.
Akihutubu katika kongamano kuu la chama cha Democratic...
Serikali ya Uturuki imeamuru kufungwa kwa vyombo kadhaa vya habari yakiwemo mashirika ya habari, vituo vya matangazo kwa njia ya televisheni na radio pamoja na magazeti.
Serikali ya nchi...
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AFDB) anaemaliza muda wake Dr. Donald Kaberuka ndie anatajwa kuwa mrithi wa Mhe. Paul Kagame katika uchaguzi ujao.
Dr. Kaberuka ni mtu msomi mwenye...
Watu wawili wanashikiliwa na Polisi kuhusiana na tukio lililotokea Weekend iliyopita ambapo Kambi ya jeshi ya wana maji iliyopo Simons town mjini Cape town Kuvamiwa na kuibwa UZI machine pistols...
Wazir mkuu wa israel benjamen netanyahu anafanya ziara Afrika.
Ziara hili anadai ni.kuimarisha uhusiano na bara la Africa.
Lakini duru za chinichini zinadai amekuja baada ya kuona israel...
Mwanamume mmoja nchini China amenusurika kifo katika hifadhi ya wanyama pori nchini humo, baada ya kujirusha ndani ya hifadhi hiyo akisema alitaka 'kuwalisha' wanyama hao hatari.
Mwanamume huyo...
Mamlaka ya serikali ya Colombia imesema watu wapatao laki moja kutoka nchini Venezuela walivuka mipaka ya nchi yao mwishoni mwa wiki hii ili kwenda kununua mahitaji muhimu pamoja na dawa.
Wengi...
Wasomi na wanadplomasia wa kiparestina wanakusudua kuishtaki Uingereza kwa kuwafukuza waarabu kwenye maeneo yao ili kuwagawia wayahudi waliokuwa wamesambaa sehemu mbalimbali duniani. Changamoto...
France church attack: Priest killed in hostage-taking near Rouen
A priest has been killed in an attack by two armed men at his church near Rouen in northern France, police and French media have...
Police say they have arrested a 26-year-old man who was a former staff member and that he has confessed to the stabbings but details of the motive have not yet been released
At least 19 people...
Syria's state TV has raised the death toll from a car bombing in a predominantly Kurdish town in the country's north, saying 22 people died and dozens were wounded.
The TV says the car blew up on...
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuwa, hatua ya Wamarekani ya kung'ang'ania kuiwekea vikwazo mbalimbali Iran ni njama za kueneza chuki na kulifanya taifa hili liogopwe na...
Hillary Clinton secured the Democratic Party's White House nomination, coming back from a stinging defeat in her first presidential run in 2008 and surviving a bitter primary fight to become the...
Read Michelle Obama’s remarks as delivered below:
(CHEERS, APPLAUSE) Thank you all. Thank you so much. You know, it’s hard to believe that it has been eight years since I first came to this...
At least two people have been killed and over a dozen injured after a shooting at a nightclub in Fort Myers, western Florida. The incident is believed to have taken place during a ‘teen night’...
A faction of South Sudan's opposition has temporarily replaced its leader Riek Machar, who is also the country's first vice president, with mining minister Taban Deng Gai.
Machar fled the...
Mchungaji nchini Nigeria ametiwa mbaroni baada ya kumfunga mtoto minyororo kwa muda wa mwezi mmoja kutokana na tuhuma za wizi. Mchungaji huyo aliamini kuwa mtoto huyo mwenye umri wa miaka 9 ana...
Kama sisi watanzania tunavyovuna umaskini wa kupindukia kwa kuendelea kuichagua CCM na ndivyo wajerumani wanavyovuna mauti kwa kujifanya kuwa wao ni wakarimu sana kuliko wazungu wengine Ulaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.