International Forum

News and Stories from rest of the World
Jamani,kwa wale tunaofuatilia Brexit,House of Commons is in session.Tune to BBC.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ni dhahiri Waziri Mkuu wa Uingereza david Cameron amefadhaishwa sana na matokeo ya kura ya maoni ambapo Waingereza walipiga kura ya kujiondoa Jumuia ya Ulaya. Matokeo haya yamemfanya atangaze...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Siku chache zilizopita Waingereza wamepiga kura kujitoa katika Muungano wa Nchi za Ulaya (EU), na haikuchukua muda, thamani ya pauni ya Uingereza ikaporomoka na kufikia kiwango ambacho hakijawahi...
2 Reactions
0 Replies
910 Views
Imeripotiwa na radio DW mchana huu.Je ni nini impact ya msambaratiko huu wa eu kwa Tanzania
1 Reactions
65 Replies
8K Views
Huko China wafanyakazi wa benki wapatao 8 wametandikwa bakora mbele ya hadhara.... Source: BBC
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nchi ya Ireland imesimamisha zoezi la maombi ya passport baada ya kuzidiwa na maombi ktk kwa raia wa Uingereza ambao wanapenda kuwa sehemu ya EU alisema Waziri wa mambo ya nje wa nchi ya Ireland...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
EU will not hold informal talks with UK until it triggers Article 50 to leave, Germany, France and Italy insist German Chancellor Angela Merkel hosted talks with French President Francois...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Korea kaskazini imefanya majaribio ya makombora yake mawili mbali na umoja wa mataifa kupiga marufuku matumizi yoyote ya makombora,taarifa zinasema kombora la kwanza halikufanikiwa huku la pili...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Uchaguzi wa rais nchini Iceland ukiwa umefanyika tarehe 25 Juni 2016 na Profesa wa Historia Guðni Jóhannesson kuibuka mshindi kwa asilimilia 39.1 ya kura zilizo pigwa katika nchi hiyo yenye idadi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Just three days after a shocking vote to leave the European Union, millions of Britons are asking for a do-over. But is it possible to stop the process? Technically, yes. While the chances are...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
China imeanza sherehe za siku 10 za kila mwaka za kula mbwa na paka jijini hapa (Yulin - China) licha ya pingamizi serikalini. Takriban mbwa 10,000 na paka wanatarajiwa kuuwawa na kuliwa wakati wa...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Meli kubwa ya kichina imeanza kupita katika mfereji wa Panama ikifanya safari yake ya kwanza kwenye mferejii huo uliofanyiwa ukarabati wa kuupanua uliochukua karibu miaka kumi. Maelfu ya watu...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Pauni ya Uingereza yazidi kuporomoka Siku chache tu baada ya Uingereza kupiga kura ya kujiondoa kwenye muungano wa ulaya, sarafu ya nchi hiyo imeendelea kudorora mapema leo katika soko la...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanajamii wenzangu kuuliza sio ujinga,na pia kwenye Dunia hii ya kama kijiji ni muhimu kufaahamishana kinachoendelea kwa ndugu zetu Uingereza, Sio wote tuna uelewa juu ya swala hilo, Hebu naomba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Three West Virginia counties devastated by flooding will receive federal disaster assistance, the state's governor announced today as the death toll rose again. The Federal Emergency Management...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mgombea anaewania urais nchini Marekani Donald Trump ameonya kuwa hatakuwa na uhusiano mzuri na waziri mkuu wa Uingereza, David Cameron — Ikiwa atakuwa rais wa Marekani. Mwezi Disemmba, Bwana...
4 Reactions
68 Replies
9K Views
Ebwana wanaJF Mzuka! Wakimbiz huku Ujeruman wamechoma kwa moto kambi huko Ujeruman kwasabab hawakuamshwa kula daku. Inasemekana kuwa walinz katika iyo kambi ambao ni asili ya Iran eti walifanya...
1 Reactions
70 Replies
7K Views
The explosion happened during celebrations at the Mahamasina stadium (File photo) A grenade explosion has killed at least two people during Madagascar's national day celebrations in the capital...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ya kuondolewa kwa Morsi na nchi kutulia wamefanyakazi ya kupanua mfereji wa Suez kwa mwaka mmoja tu, kazi iliyogharimu US$ 8b sawa na pesa tuliyotumia kujenga bomba la gesi kutoka mtwara...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
On Thursday, an Ohio Court of Claims judge ordered that just more than $1 million be paid to Ricky Jackson. Jackson said he learnt about the payment from a reporter who had called him on Thursday...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom