International Forum

News and Stories from rest of the World
Baadhi ya nchi za Mashariki ya kati weekend ni Ijumaa na Jumamosi, jumapili mpaka Alhamis ni siku za kazi ( mfano Jordan, Iraq)..... sijui kule Israel nako hali ikoje maana nataka kufika huko...
0 Reactions
1 Replies
915 Views
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amesema kuwa yeye sio Mmarekani wala Muingereza wakati akiwahutubia karibu watu 50,000, wafuasi wake kwenye mkutano uliofanyika kwenye mji mkuu Harare kwa heshima...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Masunda Kitada Oliver alipigwa hadi kufariki na kundi moja la wanaume wa Kihindi Ijumaa iliopita baada ya majibizano mjini Delhi. Watu wawili wamekamatwa kufuatia kisa hicho Wanafunzi kutoka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Rais Mteule wa Ufilipino, Rodrigo Duterte aliyepewa jina la utani la ‘Digong’, anayejiandaa kuapishwa mapema mwezi ujao amegoma kuishi katika Ikulu ya nchi hiyo akidai kuwa kuna mizimu. Rais huyo...
0 Reactions
25 Replies
9K Views
Nchi ya Nigeria imekumbwa na uhaba mkubwa wa nyanya. Asilimia themanini ya mashamba ya nyanya katika maeneo ya kaskazini inasemekana yameharibiwa na watoto wanaokula kila kitu.Matokeo yake, bei ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kampuni ya Teksi za Uber imesema kuwa itaanzisha huduma zake katika miji ya Ghana,Tanzania na Uganda katika kipindi cha mwezi mmoja kulingana na chombo cha habari cha AFP.Uber tayari imeanzisha...
0 Reactions
0 Replies
917 Views
Hili ni tukio la kusikitisha lililotokea tarehe 8-Feb-2015, lililoyagharimu maisha ya mwanamke mwenye umri wa miaka 37, "Natasha McKenna" ambaye alifariki wiki moja baada ya kupata mateso makali...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Washington (AFP) - America's nuclear force still uses floppy disks designed in the 1970s to coordinate some of its functions, according to a watchdog report released. The report by the Government...
0 Reactions
2 Replies
706 Views
Kwa wenzangu wa usalama. Hv ni sahihi kila siku askari wa umoja wa mataifa kila siku wako kwenye msitu wa beni wanawatafuta waasi wa ADF na haiwapati. Inakuaje kila siku wako beni mauaji...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kundi moja la Balozi za Bara Afrika mjini Delhi limeitaka India kuahirisha sherehe moja ya kitamaduni kufuatia kuuawa kwa mwanafunzi mmoja kutoka nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Congo wiki...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ulishawahi kuona nchi yoyote ya afrika imetuma waangalizi wa uchaguzi wakasimamie uchaguzi Ulaya na Marekani? Je kuna jumuia au taasi ya aina yoyote iliyowahi kwenda kusimamia uchaguzi Ulaya na...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Donald Trump amefanikiwa rasmi kuwa Presumptive nominee wa urais wa Republican Party baada ya kufikisha idadi ya wawakilishi(delegates) 1238 ikiwa ni 2 zaidi ya delegates 1236 wanahitajika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jana meli ya wakimbizi ilizama katika pwani ya Libya, jeshi la majini la Italia limewaokoa watu 500. Watu 7 wamefariki, na idadi ya vifo huenda ikaongezeka. =========================== At least...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Raisi wa ,,USA baby" Barack Obama amekumbana na kisiki kikubwa ktk kwa Wazungu wa nchi hiyo hasa Majimbo ya North Carolina, Alabama, Arizona, Georgia, Maine, Louisiana, Oklahoma, Texas, West...
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Image copyrightGETTY Image captionMaandamano ya Immortal Regiment yalifanyika tarehe 9 Mei Msomi mbishani kutoka Urusi amependekeza mamilioni ya watu waliofariki wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya...
0 Reactions
0 Replies
709 Views
Which leader can talk like this?..tell me another one..
0 Reactions
0 Replies
900 Views
Indonesia has toughened its punishments for child rapists to include the death penalty and chemical castration. It follows outrage over several recent violent crimes, including the gang-rape and...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A Russian Sukhoi Superjet 100 (SSJ100) plane has been delivered to Irish CityJet airline, its first European customer, the United Aircraft Corporation said on Tuesday. According to the...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Shirika la Taifa la Nishati ya Nyuklia la China limekubaliana na Sudan kuhusu mpango wao wa kuijengea nchi hiyo Kinu cha kwanza cha Nyuklia katika mkataba uliosainiwa Jumatatu kati ya nchi hizo...
1 Reactions
15 Replies
4K Views
Hata ningekua mimi, ukiona umezidiwa darasani, unadesa, unapiga chabo, na huo ndo ujanja. Ukiweza kununua wataalamu wa mwenzako nunua,ukiweza kununua kifaa cha mwenzako kwa ajili ya kukopi na ku...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom