International Forum

News and Stories from rest of the World
Nimekuwa nikitembelea mitandao tofauti kuangalia viwango vya elimu vya vyuo tofauti tofauti duniani. Na kila taasisi huwa wana vigezo Mara nyingi visivyopunguwa vinne. Taasisi kubwa...
2 Reactions
44 Replies
7K Views
Mama apanga kufunga ndoa na mwanae.Mama na mwana wanasema wana mahusiano ya kimapenzi kwa kipindi sasa, wameamua kuyapeleka mahusiano yako juu zaidi kwa wao pamoja kufunga ndoa. Kitu...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Imetokea huko nchini Peruu, Bara la Amerika ya Kusini ambapo watoto wa shule takriban mia wamepandwa na kiwewe cha mashetani. Katika tukio hilo watoto wa shule waliweweseka, Walianguka ovyo...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
A second schoolgirl from the more than 200 seized in the Nigerian town of Chibok has been found, the army says. Spokesman Col Sani Usman said Serah Luka was among 97 women and children rescued by...
0 Reactions
0 Replies
593 Views
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limesema linaunga mkono kikamilifu mpango wa kufanyika uchaguzi mkuu nchini Somalia. Baraza hilo limesema liko tayari kuunga mkono kwa hali na mali, uchaguzi...
0 Reactions
1 Replies
783 Views
Msako uliotokea kwenye nyumba ya makahaba (brothel) huko Petersburg, Russia ambapo malaya 11 walikamatwa pamoja na wateja wao walitembezwa uchi kwenye mtaa wa mji huo na baadae kuswekwa kwenye...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wanajeshi 32 wa serikali ya Libya wameuawa katika makabiliano na wanamgambo wa kundi linalojiita Dola la Kiislamu, IS na katika mripuko wa gari uliosababishwa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndege ya kivita ya Marekani aina ya B-52 imeanguka muda mfupi baada ya kupaa kutoka kwenye kambi ya taifa hilo eneo la Guam. Jeshi la Marekani limesema wanajeshi wote saba waliokuwa kwenye ndege...
0 Reactions
24 Replies
7K Views
Duru za kampuni ya ndege ya EGYPTAIR zimesema kuwa wizara ya usafiri wa anga nchini humo imepokea barua rasmi kutoka kwa wizara ya maswala ya kigeni nchini Misri inayothibitisha kupatikana kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mgombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani Donald Trump amesema yuko tayari kufanya mazungumzo na kiongozi wa Korea Kaskazini kuhusu mpango wa nyuklia wa taifa hilo. “Ninaweza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
,,USA baby" “Unfortunately, for seven and a half years this animal we call president, because he’s an animal, OK — seven and a half years, has surgically and with thought and very smart...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
ADDIS ABABA (Reuters) The African Union (AU) agreed on Sunday to consider a Senegalese proposal to resettle Haiti's earthquake homeless and possibly create a state for them in Africa. The idea...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
One of the missing Chibok schoolgirls has been found in Nigeria, activists say, the first to be rescued since their capture two years ago. Activists told the BBC that Amina Ali Nkeki was found by...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
On the 7th of May 2016, a 28 year old lady, Ms Uwamahoro Theodosie alias Mahoro (meaning peace in English) was beaten to death by a member of the government para-military for being a street...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mfanyabiashara bilionea wa Marekani Warren Buffet ambaye ni tajiri namba 3 duniani katika orodha ya matajiri iliyotolewa mwaka 2015 na jarida la Forbes, amenunua hisa zenye thamani ya usd billion...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
In 2013, three countries; Kenya, Rwanda and Uganda devised the so called coalition of the willing outside the traditional East African Community to fast-track regional integration especially on...
0 Reactions
1 Replies
671 Views
Maafisa nchini Burundi wanasema kwamba Rwanda imewafukuza zaidi ya raia elfu moja wa Burundi kutoka nchini humo katika kipindi cha wiki moja iliyopita, baada ya wao kukataa kuhamishiwa hadi katika...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
The battle lines in South Africa's politics have been drawn after security guards forcibly removed members of the Economic Freedom Fighters (EFF) party when they tried to prevent an address by...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom