International Forum

News and Stories from rest of the World
Rais wa Zimbabwe Bw. Robert Mugabe amewaambia wapinzani wake wanaosubiria afe ili wajitwalie madaraka kwamba hafi. Amewataka pia wafuasi wa chama chake cha ZANU-PF kuungana dhidi ya maadui wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Shirika la mataifa yanayozungumza lugha ya Ufaransa OIF limevunja ushirikiano wake na Burundi, likidai kushindwa kwa taifa hilo kupiga hatua ya mazungumzo ili kumaliza mgogoro unaoendelea. Katika...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mfalme wa saudia ametangaza kwamba daraja linalounganisha taifa hilo na Misri litajengwa juu ya bahari ya shamu. Mfalme Salman alisema katika taarifa kwamba daraja hilo litaimarisha biashara kati...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimekuwa nikifwatilia hii kesi iliyokuwa inawakabili Viongozi wa nchi ya Kenya, Uhuru Kenya na Ruto, kesi ilikuwa ni kwamba walihusika na fujo zilizotokea huko nchini Kenya na kusababisha vifo vya...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wapiganaji 800 wa kundi la wanamgambo wa kiislamu wa Boko Haram wamejisalimisha kwa jeshi la Nigeria. Hatua hiyo inafuatia mpango mahsusi wa 'Operation Safe Corridor' unaolenga kuwapokea...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Pichani ni Meghary Yemane-Tesfagiorgis abiria aliyeshushwa kwenye ndege jijini London kwa kuhofiwa GAIDI na abiria mwenzake kuwa na jakamoyo naye kutokana na rangi yake (Racial Profiling) abiria...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Ujumbe wa Palestina katika Umoja wa Mataifa umeandaa rasimu ya azimio jipya la kulaani hatua ya utawala haramu wa Israel kuendeleza ujenzi wa vitongoji vya walowezi wa kizayuni katika ardhi za...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tambua nchi za ulaya zinazochangia kuongezeka kwa wapiganaji wa kudi la kigaidi la Islamic State. Kumekuwa na ongezeko kubwa la wageni wengi kwenda kujiunga na kikundi cha kigaidi cha IS...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Francis amekuwa akitofautiana na wahafidhina kanisa Katoliki Kiongozi wa kanisa Katoliki duniani Papa Francis leo anatarajiwa kutangaza wazi msimamo wake kuhusu ndoa, njia za kupanga uzazi na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
David Cameron is facing mounting pressure to be fully transparent about his previous finances after finally admitting he benefited from a Panama-based offshore company set up by his late father...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wananchi wa kijiji cha Toraja, huko Sulawesi ya Kusini, nchini Indonesia, kila baada ya miaka mitatu, hufukua na kusafisha maiti ya ndugu zao. Ieleweke kuwa hawafukui maiti hiyo hiyo kila miaka...
3 Reactions
70 Replies
21K Views
Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini amepenyoka kura ya kutokuwa na imani naye bungeni. Zuma alipata kura kutoka kwa wabunge 233 wanaomuunga mkono dhidi ya 143 za wabunge ambao hawakuwa na imani...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Bango la mgombea wa urais nchini Djibouti Raia wa Djibouti leo wanapiga kura kumchagua rais mpya. Lakini tayari kuna utata kwani baadhi ya vyama vya upinzani vinasusia uchaguzi huo, ishara ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tanzanian President John Pombe Magufuli (left) and Rwandan Paul Kagame toast during a state dinner in Kigali, Rwanda. Tanzanian President John Pombe Magufuli’s leadership style has won fresh...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wananchi wa Rwanda wanapiga kura ili waweza kubadilisha katiba ya nchi hiyo kumruhusu rais Kagame aweze kuendelea kuongoza nchi hiyo kwa muhula mwingine wa tatu wa miaka 7, kisha baadaye mihula...
0 Reactions
68 Replies
9K Views
A newly married husband has been accused of strangling his teenage bride to death on their wedding night - after he found out that she was not a virgin. Khanzadi Lashari, 19, was dressed in her...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Aliwahi kufanya kazi ya usafi ndani ya majengo ya bunge, inadhihirisha jinsi hawa mazombi walivyofaulu kupenyeza hadi maeneo nyeti ndani ya hizi nchi za Ulaya. Taarifa zaidi zinasema mashabiki wa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
NAMBA 10: Dallas Fort Worth uwanja upo Marekani na mwaka 2015 ulipitisha abiria milioni 64. NAMBA 9: Paris Charles de Gaulle Airport Ufaransa ulipitisha abiria zaidi ya milioni 65 NAMBA 8...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Tourism is a major industry in many parts of the world and it’s changing many people’s life — for the better. In some of the most visited countries in the world, the tourism industry plays an...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Utafiti mpya umebaini kwamba kuna soko linaloendelea kuimarika katika biashara haramu ya bunduki nchini Libya kupitia mitandao ya kijamii hususan ule wa Facebook. Ripoti hiyo inayoangazia miezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom