We have people that aren’t working. We have people that have no incentive to work. But they’re going to have incentive to work, because the greatest social program is a job. And they’ll be proud...
#HABARI idadi ya wabunge wanaoingiliana kinyume na maumbile nchini Uingereza imeongezeka baada ya wabunge wengine wawili kutangaza hadharani kwamba wanajihusisha na vitendo hivyo vichafu.
Gazeti...
Mgombea wa urais wa chama cha Republican Donald Trump ameshinda katika jimbo la Nevada nchini Marekani, na hivyo basi kuimarisha uongozi wake katika mchujo wa kuwania tiketi ya chama hicho...
Mpambani wa awali kupata wagombea kiti cha uraisi marekani kupitia chama cha Republican unazidi kupamba moto baada ya mgombezi maarufu "Donald Trump" kushinda kura za South Caroline na huku...
Wagombea urais wa chama cha Republican nchini Marekani wanakabiliana kwenye uchaguzi wa mchujo katika jimbo la Nevada katika kinyang’anyiro cha nne cha kuamua mgombea wa chama hicho...
Haya wale wana Mageuzi ambao kila siku wanasema CCM imetawala kwa muda mrefu na kwamba ni lazima Upinzani uingie, sasa Liberia inatuonyesha kwamba kuchagua Upinzani siyo suluhisho la matatizo...
Binamu wake Muammar Gaddafi anayeitwa Ahmed Gaddaf Al-Dam amesema Libya imekuwa Gofu baada ya uvamizi wa majeshi ya NATO. Ikumbukwe kuwa umoja wa kujiami wa nchi za magharibi (NATO) uliivamia...
Read an interesting article recently on the difference between these two massive oil juggernauts. There has been so much news surrounding crude oil lately, I thought it might be interesting to see...
Grassroots Tory activists 'want to defy Cameron and support Brexit': Only two of 68 constituency parties insist they want to stay in the EU
Constituency chairmen, officials and councillors in UK...
Wabobezi wa masuala ya kimataifa, najiuliza kwanini Uingereza anawatishia wenzake (kwa kweli yupo serious sana) kwamba atajitoa EU? Na kwanini members wengine wa EU wanaendelea kuwabembeleza?
Ni...
In a bizarre 11th hour demand for attention before the crucial South Carolina presidential primaries, Republican front-runner Donald Trump attempted to proverbially jump the political shark for...
Baada ya kura za awali za Jumamosi, hususan katika Jimbo la South Carolina, kuna kila dalili kwamba Donald Trump anaweza kushinda uteuzi wa Chama cha Republican kugombea urais huku dalili kama...
Mtoto wa miaka minne nchini Misri amehukumiwa kifungo cha maisha jela kwa hatia ya mauaji,
kusababisha vurugu, kuharibu majengo ya serikali na kutishia maaskari.
Mtoto huyo aliyezaliwa mwaka...
Kama tulidhani suala la biashara ya kusafirisha binadamu na wahamiaji haramu ni tatizo dogo, basi tumekosea, kwa sababu tayari 'wakubwa' wamekiri kuwa biashara hiyo ni kubwa zaidi kuliko hata ile...
KUNDI la wapiganaji la ISIS limemuua kwa kumkata kichwa kijana mmoja baada ya kumkuta akisikiliza muziki wa Pop unaoimbwa na wasanii wa Marekani akiwa kwenye baa ya baba yake.
Kijana huyo, Ayham...
Mgombea kiti wa chama cha Republican katika uchaguzi ujao wa urais nchini Marekani Donald Trump ameshinda kura ya mashinani katika jimbo la Carolina Kusini.
Bwana Trump ambaye awali mwezi huu...
Hali bado tete Mashariki ya Kati hususan Syria ambapo watu 83 wameuawa na wengine takriban 200 wamejeruhi katika milipuko ya mabomu mawili ya kujitoa muhanga iliyotokea kwenye wilaya ya Sayeda...
Are you in Zambia, Congo, Malawi, Rwanda, Burundi?
Are you interested in enterpreurship?
Only 300USD can be enough capital to start with,
Contact me via whatsapp: +255 718 585 555
Or email...
Rais Barack Obama amesema anaamini mgombea urais wa chama cha Republican Donald Trump hatakuwa rais wa Marekani.
Amesema kazi hiyo ni “kazi kubwa”.
"Ninaendelea kuamini kwamba Bw Trump hatakuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.