wadau naomba mwenye exposure juu ya nchi zipi mtanzania anaweza kwenda au kuingia huko bila kuwa na viza.Najua kama mtanzania unaingia nchi za uganda na kenya kibiashara au vacation unahitaji...
Clara Makenya
Stakeholders have cited poor application of teaching methodologies as the cause of mass failure and are demanding for immediate reconciliation, saying a key method is the...
[SIZE=3]Mwalimu wa somo la Hisabati amebambwa akiwa amejificha chini ya kitanda cha mmoja wa wanafunzi wake mwenye umri wa miaka 16.
Mwalimu huyo ambaye hakutajwa jina, mwenye miaka 35...
I'M NOT DEAD YET"If confirmed, Mugabe's victory is likely to mean five more years of troubled relations with the West, where the former liberation fighter is regarded as a ruthless despot...
United Nations Secretary-General Ban Ki-moon today appointed Speciosa Wandira-Kasibwe of Uganda as his Special Envoy for HIV/AIDS in Africa.
She will replace Asha-Rose Migiro of Tanzania who...
Kiongozi wa Majeshi ya Kulinda Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo(DRC), Meja Jenerali,James Mwakibolwa amesema kwa sasa wanasubiri amri ya Umoja wa Mataifa waweze kutekeleza...
The US is set to suspend activity at embassies across the Middle East in response to an unspecified security threat.
Calling an emergency press conference, the US State Department said yesterday...
Mkuu wa ujumbe wa uangalizi kutoka Muungano wa Afrika nchini Zimbabwe, Olusegun Obasanjo amesema uchaguzi mkuu wa hapo Jumatano ulikua huru na haki. Matokeo ya awali yanaoyesha Rais Robert...
Uchaguzi wa Rais nchini Zimbabwe ulikuwa kichekesho kikubwa, Waziri Mkuu Morgan Tsvangirai amesema, akituhumu udanganyifu wa kura uliofanywa na kambi ya mpinzani wake Rais Robert Mugabe...
RAIS wa Sudan Kusini Salva Kiir ameteua baraza jipya la mawaziri, baada ya kuwafuta kazi mawaziri wake wiki jana.
Kwa mujibu wa taarifa ya serikali , baraza hilo litakuwa ndogo ikilinganishwa na...
Masanduku ya kupigia kura
Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe yanadhihirisha chama cha Rais Robert Mugabe, ZANU-PF kinaongoza.Chama hicho tayari kimedai ushindi. Msemaji wa chama...
WAKATI upinzani nchini ukidai kuwa uchaguzi uliofanyika juzi ulikuwa kichekesho kikubwa, chama tawala kimedai kuwa mgombea wake, kiongozi mkongwe Robert Mugabe, amepata ushindi wa kishindo...
Goma -DRC.
WAKATI mapigano yakizidi kuwa makali kati ya wanajeshi wa DR Congo (FARDC) na kundi la waasi wa M23, wanajeshi wa DRC wako hatarani kushitakiwa kwa tuhuma za kuwatesa waasi na...
RAIS wa Sudan Kusini Salva Kiir ameteua baraza jipya la mawaziri, baada ya kuwafuta kazi mawaziri wake wiki jana.
Kwa mujibu wa taarifa ya serikali , baraza hilo litakuwa ndogo ikilinganishwa na...
Bunge la Uruguay limepitisha mswada wa kuhalalisha bangi. Ikiwa mswada huu utapitishwa na Baraza la Senate, Uruguay itakuwa nchi ya kwanza kuhalalisha uzalishaji na utumiaji wa bangi.
Hatua hii...
KAMPALA
A UPDF officer in Somalia has been arrested after he asked the head of the Special Forces Command, Brig Muhoozi Kainerugaba, to explain why some soldiers...
Wanyarwanda wengi wakimbilia Uganda
31 Julai, 2013 - Saa 13:44 GMT
Idadi kubwa ya raia wa Rwanda wameendelea kukimbia nchini mwao na kuomba hifadhi katika nchi jirani ya Uganda.
Licha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.