International Forum

News and Stories from rest of the World
Mwanzilishi wa Binance na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni hiyo Changpeng Zhao alihukumiwa kifungo cha miezi minne jela Jumanne hii, Aprili 30, 2024 baada ya kukiri kosa mwaka jana la...
1 Reactions
1 Replies
582 Views
Historia haisemi kabisa kabisa iwapo kuna taifa la Kiislamu limewahi kuandamana kupinga mauwaji ya Wakirsto na ama Wayahudi na bila shaka ni tangu Uislamu uwahi kuwepo Duniani, hii ni tofauti...
7 Reactions
54 Replies
1K Views
Waajemi wapo mbele kwa lolote lile hata ranking za wazungu, hao waisrael wana mushkeri maana sio wale wa mwanzo waliokuwa wanapigwa na Hitler.
15 Reactions
207 Replies
6K Views
" Homosexuality is not sinful" South African Muhsin Hendricks is an Islamic cleric and a gay man. He runs a foundation called The Inner Circle, which helps Muslims, who are struggling to...
0 Reactions
86 Replies
7K Views
Waziri wa mambo ya nje wa Marekani Antony Blinken amesema ana matumaini kuwa Hamas itakubali pendekezo la hivi punde la Israel la kusitisha mapigano Gaza na kuwaachilia mateka. Aliita pendekezo...
0 Reactions
6 Replies
644 Views
Hivi sasa kuna mgomo wa wafanyakazi karibu wote wa serikali wa ngazi za kati na chini nchini Malawi. Wanaoendelea na kazi, ni madaktari na manesi tu ambao pia wanasema watajiunga na mgomo huo...
5 Reactions
41 Replies
4K Views
Habari za leo ndugu wasomaji wa JamiiForums. Kisa hiki cha Rais wa Malawi Pres Bingu wa Mutharika na Makau wake Joyce Banda chaweza kuwa na funzo namna taasisi za nchini humo zilivyokuwa na...
30 Reactions
71 Replies
10K Views
Polisi nchini Malawi wametoa kibali cha kukamatwa kwa rais wa zamani Joyce Banda kuhusiana na sakata ya ulaji rushwa inayofahamika sana kama Cashgate wakati wa utawala wake. Polisi wamesema...
1 Reactions
36 Replies
7K Views
Ule wasi wasi uliowahi kuwapata Omar Albashir na Vladmir Putin sasa umehamia kwa viongozi wa Israel. Hiyo inafuatia na dokezo lilitolewa na wizara ya mambo ya nje ya Israel baada kuangalia...
0 Reactions
11 Replies
831 Views
Kama mbwai na iwe mbwai, watu wameruhusiwa kuhamia Marekani wanashindwa kuvumilia na kuanzisha choko choko zao kwenye nchi za watu, na bila aibu wanaandamana kuunga mkono magaidi wa HAMAS wenye...
3 Reactions
13 Replies
721 Views
Habari na picha....Sema huyu mama kafanana na mtu mmoja hivi🤣🤣🤣🤣🤣 KENYA AIRWAYS flight number #KQ613 headed to Nairobi from Mombasa aborted landing at JKIA at the last minute. The plane was...
0 Reactions
1 Replies
447 Views
Mpango wa Marekani kuzuia baadhi ya nchi kuwa na silaha za nuclear sio sahihi tena kipindi hii ambapo kuna kushuhudia kuongezeka kwa vita na migogoro kati ya nchi. Kinachotakiwa sasa hivi ni kila...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
Madaktari na watu wa afya kwenye eneo la Gaza wameshughulika sana kufukua makaburi ya halaiki baada ya vikosi vya Israel kuondoka maeneo ya mahospital waliyokuwa wakiyakalia. Hali ni ya kutisha...
5 Reactions
74 Replies
3K Views
Tatizo kubwa linaloikabili Ukraine kwa sasa ni kukosekana kwa nguvu kazi ya kuendeleza vita. Hilo linafuatiwa na upungufu mkubwa wa silaha. Pamoja na kuzuiwa watu wenye umri wa miaka 18-60 kutoka...
7 Reactions
32 Replies
2K Views
Wadau hamjamboni nyote? Waziri mwandamizi na Jenerali wa Jeshi la Israel Ben Gantz atafanyiwa upasuaji wa goti kufuatia ajali aliyoipata akiendesha baiskeli Kusini mwa Israel Waziri huyo amepata...
1 Reactions
7 Replies
554 Views
"Celebrating India's leadership at the UN's First International Conference on Digital Public Infrastructure! We are harnessing DPI to propel global SDGs and foster inclusivity," Kamboj posted on...
0 Reactions
0 Replies
259 Views
Russia leo imefungua maenesho rasmi ya silaha na zana za kivita wanazoteka huko Ukraine kutoka nchi za magharibi. Hii lwa upande wangu dharau kubwa sana na kwa jicho la mbali hii vita hata wampe...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Taharuki nchi nzima, watu wanapiga simu kuuliza ndugu zao kama wamepona kutokana na kuanguka kwa ukuta wa gereza. Ila hawa jamaa wa TBC Digital wakazusha taharuki kubwa kuweka picha ya uongo wa...
0 Reactions
5 Replies
648 Views
Muhimu: Gharama hizo ni kwa mwaka moja pekee Kampuni ya Pegasus ya Israel hutoa huduma ya kudukua smartphones (hata iphone) kwa dau la shilingi bilioni 57 kwa simu 50 ( euro milioni 20.7)...
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Huu ndiyo ulio ukweli mchungu. Ikumbukwe; 1. Israel anajinasibu kupambana na HAMAS akisema hana taabu na wapalestina huku wahanga wakiwa wapalestina; hadi West Bank ambako hakuna HAMAS. 3. Kila...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
Back
Top Bottom