Hawa hawa waliokua wanarusha mamia na maelfu ya rockets, wamesalia kurusha roketi moja kwa siku tena kwa kujificha sana maana kila wakifyatua, hapo ilipotokea panasambaratishwa kwa majibu ya...
Afisa mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Ansarullah ya Yemen amesema vikosi vya jeshi la nchi hiyo vipo tayari kuingia katika makabiliano ya kijeshi na Marekani iwapo hali ya...
Vladimir Putin: Raia wa Urusi, marafiki,
Tunaaga 2023. Hivi karibuni itakuwa sehemu ya historia na itatubidi tusonge mbele, tutengeneze mustakabali.
Tumefanya kazi kwa bidii sana na...
Heri ya mwaka mpya!
Mwaka unaanza kwa wababe wa dunia kutunishiana misuli pale red sea huku russia akishambuliwa belgorod na huku mitambo ya Urusi ndani ya Syria ikitungua makombora ya Israel na...
Mamlaka ya mji wa Bat Hefer unaopakana na mji wa Tulkarem huko ukingo wa magharibi imeanzisha uchunguzi baada ya wakaazi wa eneo hilo kusema wamekuwa wakisikia sauti chini yao kama kwamba kuna...
Moto unawaka Israel, maelfu ya wananchi wenye hasira kali wamemiminika mtaani wakimtaka waziri Mkuu wa nchi hiyo Benjamin Netanyahu kujiuzulu kutokana na vita inayoendelea Gaza, ambayo haifahamiki...
Salamu kwenu nyote! Kadiri nishati inavyoongezeka baada ya Majira ya Baridi, tunakaribia kuaga mwaka wa zamani na kukaribisha mpya. Kutoka Beijing, natoa salamu zangu za heri ya Mwaka Mpya kwa...
Jarida maarufu nchini Marekani la Bloomberg, limeripoti kuwa mauzo ya simu za Huawei hasa toleo la Mate 60 yamepanda kwa asilimia 27 mwaka huu wa 2023
Likinukukiwa jarida hilo liliandika...
Wakuu angalieni kundi la Kiisilamu la Janjaweed wanachowafanyia wanawake Darfur Sudan.
Haya makundi ya kiisilamu hua hayana huruma na wanawake wala watoto...
Toka Dunia inaumbwa mashariki ya Kati imekuwa na vita.
Lakini kwa palestina na Israel baada ya karne ya Sabin utawala wa kiyahudi uliangushwa na warumi walitawala na Ukristo na uyahudi ukashamili...
Rais wa Burundi Evariste Ndayishimiye amesema wapenzi wa jinsi moja nchini Burundi "wanapaswa kupigwa mawe" na kwamba hiyo haitakuwa uhalifu.
Rais alisema hayo katika mkutano wa moja kwa moja na...
Wanaukumbi.
KASHFA kubwa ya usalama wa Israeli:
Mwisraeli aitwaye Roi Yifrah, tapeli, aliyeigiza kama mpiganaji wa IOF kutoka kitengo cha Yamam na aliingia Ukanda wa Gaza.
Katika kukaa kwake...
Kile kitendo tu cha Hamas na Israel kukaa meza moja kujadiliana mustakabali wa Vita kinaonesha hawa jamaa wako Sare.
Kwa sasa Hamas wanatumia rocket za Kienyeji Ndio nafikiria m wakikamata Zana...
Habari wana jukwaa hili la kimataifa.Ni moja ya platform nzuri sana hapa JF.
Hii thread ipo katika mfumo wa swali, swali ambalo litazua mjadala ndani yake kila mmoja anaweza kueleza vile...
Wanaukumbi.
Maneno mengi majingambo ya Netanyahu na wenzake wamekimbilia China kuomba msaada wa mateka wake huko Gaza, Hamas wao wapo kimya wanatoa kichapo tu huko Gaza.
🇮🇱🇨🇳 ISRAEL PLEADS CHINA...
Hawa jamaa walidhani kila siku itakua sikukuu
At least 10 Houthi rebels were killed today and two wounded when US forces struck their boats in the southern Red Sea, two sources at Yemen’s Hodeida...
Hii nchi ya Zambia sijawahi kusikia kuna waasi, matukio ya kigaidi wala vurugu za kisiasa. Hata chama tawala kiliachia madaraka wapinzani kwa amani kabisa. Je hii ndiyo nchi salama zaidi Afrika?
Wanaukumbi.
Vikosi viwili vya Jeshi la Wanamaji la Marekani ambavyo vilitumwa kwenye Bahari Nyekundu ili kuwazuia waasi wa Houthi wanaoshirikiana na Iran sasa vimeondolewa kwenye bahari ya...
Uchaguzi wa urais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) unakabiliwa na mgogoro wa uhalali kutokana na wito wa upinzani wa kufuta kura kutokana na udanganyifu uliodaiwa.
Wapinzani watano...
Kuanzia TSMC, SAMSUNG, PANASONIC, HONDA na LG wameonyeshwa kutoridhishwa na sera za Marekani za uwekezaji.
Tuanze na makampuni ya kutoka nje yaliyoonyesha nia kuwekeza katika sekta ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.