International Forum

News and Stories from rest of the World
Erdogan amefanya mazungumzo na Zelenskyy Istanbul / Picha: AA Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan amemueleza mwenzake wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy kuwa Kiev ilistahili kujiunga na NATO, lakini...
1 Reactions
6 Replies
933 Views
erdogan / Photo: AA Archive Rais wa Uturuki ameapa kulijenga upya eneo la kusini mwa nchi hiyo kufuatia tetemeko kubwa la ardhi lililosababisha vifo vya zaidi ya watu 50,000 mwezi uliopita...
1 Reactions
3 Replies
662 Views
Kiongozi wa Kanisa Katoliki Dunaini, Papa Francis, amelaani kwa matamshi makali vitendo vya kuchomwa kitabu kitakatifu kwa Waislamu, Qur'an. Papa Francis pia ametoa wito wa kuheshimiwa kwa vitabu...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Umoja wa Mataifa unasema visa vya uchomaji Quran vinaongezeka barani Ulaya. Picha: AFP Baraza la Haki za Kibinadamu la Umoja wa Mataifa litafanya kikao cha dharura katika siku zijazo kujadili...
2 Reactions
0 Replies
472 Views
Maafisa wakuu kutoka nchi hizo tatu wanachunguza pingamizi la Uturuki dhidi ya uanachama wa Uswidi katika muungano wa kijeshi, na kuona ni nini zaidi kifanyike ili kuvunja mkwamo huo. Mkutano wa...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Breaking news: Russia confirms "BRICS" to launch Gold-Backed Currency 07 JULY 2023 Breaking news: Russia Confirms "BRICS" To Launch Gold-Backed Currency According to state-run Russian Television...
4 Reactions
34 Replies
2K Views
Rais wa Lithuania amewataka viongozi wa NATO kushughulikia shinikizo la Ukraine la kujiunga na muungano wa kijeshi wa NATO katika mkutano wa kilele katika mji mkuu wiki ijayo. Amesema hatua hii...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Wataalamu mbalimbali wanaofuatilia masuala ya ndani ya Urusi wanaamini kuna uwezekano mkubwa kiongozi mtata wa kundi la Wagner, Prighozin amejificha na kupotea kutoka mkono wa serikali ya Urusi na...
3 Reactions
8 Replies
839 Views
Imeripotiwa katika vyombo mbalimbali vya habari kuvamiwa na polisi katika makazi binafsi ya kiongozi wa Wagner aliyeongoza uasi dhidi ya serikali ya Putin siku za hivi karibuni. Vitu mbalimbali...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Kweli jamii zetu hutofautiana sana kimtizamo. Je tunaelekea huku na sisi siku moja? Huyo anaitwa Edgar Rinkevics, ametumikia muda mrefu (tangu 2011) kama waziri wa mambo ya nje wa Latvia huko...
5 Reactions
48 Replies
7K Views
Maonyesho ya Tatu ya Biashara ya China na Afrika yamemalizika hivi karibuni hapa China, ambapo bidhaa mbalimbali kutoka nchi za Afrika ikiwemo kahawa kutoka Ethiopia, maua kutoka Kenya, na bidhaa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kila mmoja lazima ashangae kuzuka vita vya mara kwa mara nchini Sudan. Hii ni nchi ya kiislamu na ina wasomi wengi wa hali ya juu wa dini hiyo. Kumbe ina raia jumla 16000 wa Marekani wengi wao...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Citizens Coalition for Change (CCC) ambacho ni chama kikuu cha upinzani Nchini Zimbabwe kimefikia uamuzi huo kikipinga uamuzi wa Polisi wa kupiga marufuku mkutano wa kisiasa uliopangwa kabla ya...
0 Reactions
0 Replies
996 Views
Haya wenye kuzitengeneza Leopard 11 wanakiri zimezidiwa njoo wale wa NATO wa Micheweni 😅😅😅😅😅😅 👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 The much-anticipated deployment of Western-made tanks in Ukraine’s...
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Aliwahi kuwa kiongozi wa Sper Mazembe, amefariki nyumbani kwake Lingata huko Nairobi. Kaongo alitamba sana miaka ya 1970 hadi 1980 Mnamo miaka ya 1970 hadi 1980, sauti ya mwanamuziki Kasongo wa...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Ukraine 'inastahili' uanachama wa NATO, Erdogan wa Uturuki anasema Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan pia alitoa wito wa kurejeshwa kwa mazungumzo ya amani akisema, 'amani ya haki haileti...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kumuelewa Putin inabidi angalau uwe umesoma kakitabu kadogo kanaitwa Arts of War by Tsu Nzu. Siku ya jaribio la mapinduzi la mchongo lililofanyika Jana na Majeshi ya Wagner ilikuwa ni siku...
9 Reactions
26 Replies
5K Views
Mtakumbuka Urusi alisema Ukraine asijaribu kushambulia Urusi itazalisha vita ya 3 ya dunia.,
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Mahakama moja nchini Sweden imeruhusu uchomaji wa Quran kufanyika nje ya msikiti mkuu wa mjini Stockholm. ======= Soma zaidi. Two men stood outside Stockholm's central mosque on Wednesday and...
9 Reactions
271 Replies
15K Views
Tanzia. Mutulu Shakur, Mwanaharakati wa haki za Weusi wa Marekani, Mfungwa alietumikia Miaka 35 Jela Kati ya 60 aliohukumiwa, Baba wa kufikia wa Mkali asiyechuja Tupac Shakur amefariki...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom