Chama cha Madaktari Wazawa wa Nigeria (Nard) kimesema uamuzi huo unahusisha Madaktari wa Hospitali za Serikali unatokana na Serikali kushindwa kutimiza mahitaji ikiwemo maboresho ya mishahara na...
Chama cha Madaktari nchini humo kimetangaza kuwa idadi ya vifo vya Raia kutokana na mapigano yanayoendelea kati ya Jeshi na vikosi vya Rapid Support Forces (RSF) imefikia 822, na wengine 3,215...
Kamanda mkuu wa jumiaya ya kujiami ya nchi za Magharibi nato amebainisha kuwa licha ya hasara iliyo ipata Urusi kwenye vita nchi Ukraine bado haionekani dalili yeyote ya jeshi lake kudhohofika...
Ndo hivyo wakuu, ukiona bondia anapigika usoni kirahisi ujue mambo si mambo hapo.
Vivo hivyo kwa nchi zinapopigana, ukiona kila mashambulizi yanafika mji mkuu yakupasa uwe makini kweli na...
Srinagar (Jammu and Kashmir)
(ANI):
Sher-i- Kashmir International Conference Centre in Srinagar, popularly known as SKICC, is currently abuzz with a large number of activities as it prepares...
Kampuni ya Vodafone imetangaza mpango wa kupunguza nafasi 11,000 za kazi katika ofisi zake tofauti duniani kama moja ya juhudi za kurejesha utendaji wake kifedha kwenye hali nzuri. Hatua hii...
Kombora moja la Storm Shadow lililorushwa kutoka mji wa Krymatotsk mashariki kwa Ukraine umbali wa 260km limesambaratisha makao makuu ya jeshi la Urusi katika jimbo la Luhansk linalokaliwa kwa...
Srinagar (Jammu na Kashmir)
KITUO cha Mikutano cha Kimataifa cha Sher-i- Kashmir huko Srinagar, maarufu kama SKICC, kwa sasa kimegubikwa na shughuli nyingi kinapojitayarisha kuandaa mkutano ujao...
Uchaguzi mkuu nchini Uturuki utarudiwa mwezi may 28 kati ya kiongozi wa vyama vya upinzani KEMAL na Rais Erdogan.
Katika round ya kwanza, Erdogan amepata 49.3% ya kura zote huku muungano wa Vyama...
Wazazi maskini kule Nigeria kazi yao ni kuzaa na kupokeza watoto kwa huu mfumo wa almajiri ambapo mtoto siku nzima anafundishwa kurani na mambo ya kiislamu kisha mchana anaachiwa aende akazurure...
Tuliwaambia Ukraine bado hawajapewa silaha za maana, na mpaka sasa kwa kidogo walichopewa wamefaulu kuilemaza Urusi, yaani Magharibi wanaachia aina moja moja ya silaha. Sasa hapa kuna hii Storm...
Hakika Vita ndio njia pekee ya kujua ubora na udhaifu wa Silaha husika. Miaka Mingi zimeimbwa taarabu za Hypersonic kwamba haziwezi kuzuiwa na MIFUMO yoyote ile ya Ulinzi. Kutokana na Kukosekana...
Innocent men , are sent to die on their on !! , Some of them living miserable life on trenches just waiting for their fate dah soooo sad
Just look his face , his face looks like your...
Waarabu wanapima kuwajua wazungu kama ni watu kamili kama wao au wana uhalifu kidogo kuwa binadamu kamili kama wao.
Hata nguruwe ukiwapa kichapo na jambia TU kila mara wanageuka kuwa rafiki zako...
Kiuhalisia hii operation Urusi anapambana na mataifa si chini ya 30. Leo kama kawaida baada ya taarifa za intelijensia, ghala lililo jaa shehena ya silaha za misaada za NATO lalipuliwa na...
Habari zilizovuja na kuthibitishwa na Ukraine ni kuwa.
Boss wa Wagner Yevgeny Prigozhin alikuwa na mawasiliano ya siri kati yake na GRU (Military Directorate of Intelligence) kuhusu kuwapa maeneo...
Mrusi sasa anatia huruma, ndege zinapigwa zikiwa kwenye anga ya Urusi kabla kuingia Ukraine....
A Russian aerial ‘raiding party’ consisting of a Su-34 fighter-bomber, Su-35 fighter, and two Mi-8...
Wizara ya ulinzi ya Urusi leo imedai kufanikiwa kutungua kombola aina ya storm shadow lenye range ya mile 200 kwa mara ya kwanza yakiwemo mengine 7 ya HARM(ARM) pamoja 7 ya HIMARS.
Mamlaka ya...
Habari na picha
Baadhi ya watu humu walisema Iran ni masikini sana!!
Iran kawekewa vikwazo miaka 42 sasa hali ni mbaya sana!!
Iran wapeleke kwanza umeme vijijini!!
Huko Iran hali ni mbaya sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.