Tarehe 28 Januari ni mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China. Kama ilivyo desturi, saa 2 kamili usiku kwa saa za Beijing, tamasha la mkesha wa mwaka mpya wa jadi wa China ambalo linaandaliwa na...
Bunge la Iraq limepitisha sheria ya 'kutisha' kuruhusu watoto wa umri wa miaka tisa kuolewa, huku wanaharakati wakisema kuwa hatua hiyo itahalalisha ubakaji wa watoto.
Sheria hiyo mpya inazipa...
Wadau hamjamboni nyote?
Ukweli lazima usemwe
Watu wa kabila la banyamulenge huko kivu kusini wamehamia hapo tokea karne ya 18 hivyo wao ni raia halali na siyo wavamizi
Wamekuwa wakibaguliwa ...
1. Kwanini Jeshi la DRC lisiweke kambi kuzunguka mipaka yote ya Rwanda?
Kama ni kweli Rwanda ndiyo inawafadhili waasi supply yote itaisha ndani ya mwezi mmoja.
Yaani kama tunapigana na waasi...
Rais wa Burkina Faso, Ibrahim Traore ndiye kiongozi pekee wa aliyekuwa jukwaa la VIP huku akiwa na pisto yake kiunoni.
Pia ndiye kiongozi pekee aliyeruhusiwa kuingia na walinzi wake jukwaa kuu...
Wapiganagi wa 23 wanadai wameuteka Mji wa Goma na kufunga Anga yake.
Maelfu ya watu wamedaiwa kukimbia Ili kujiokoa na dhahama ya waasi.
Haijathibitishwa ikiwa ni kweli au hapana na Wala...
Wadau hamjamboni nyote?
Wadada wanapigana vikumbo huko ughaibuni kwa muonekano wa kuvutia wa kijana mdogo wa Rais Trump
Barron Trump Is a 'Ladies Man' at New York University, Source Says...
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU
Nimechoka kabisa jeshi la nchi limeikimbia nchi na kuwaachia wananchi msala
Wanajeshi wa kongo wamekimbilia Rwanda na kupokelewa kama wakimbizi hii ni hatari...
Huko Marekani hakupoi wala hakuboi. Trump kila kukicha anakuja na jipya.
Wizara ya Sheria ya Marekani imewafukuza kazi zaidi ya maafisa muhimu kumi na mbili waliokuwa wakifanya kazi katika timu...
Wakuu,
Shirika la habari la Reuters hivi karibuni limeripoti kwamba Rais wa Marekani Donald Trump amethibitisha kuwa kampuni ya Microsoft iko mbioni kununua Tiktok
Taarifa hiyo kutoka Reuters...
Putin asema Russia 'iko tayari kwa mazungumzo' na Donald Trump kuhusu Ukraine.
Rais wa Russia Vladimir Putin alisema yuko "tayari kwa mazungumzo" na Rais wa Marekani Donald Trump kuhusu jinsi ya...
Kwa kadri ya uelewa wangu na ufuatiliaji wa matukio kule Gaza nimegundua kuwa yanayoendelea Gaza ni makubwa lakini yanatendeka kukiwa na upungufu wa mtu muhimu tangu mwanzo wa vita katika eneo...
Msemaji mkuu wa kisiasi Lawrence Kanyuka, ameutangazia umma kuwa ziwa Kivu kwa sasa halitumiki. Hivyo kuomba jeshi la serikali na SAMIDRC kukabidhi siraha zote kwa wanajeshi wa Umoja wa mataifa...
Katika mabadiliko makubwa ya sera, utawala wa Trump umeamuru kwamba wanawake wanaobadili jinsia (transgender women) walioko katika magereza ya Marekani wahamishiwe kwenye magereza ya wanaume...
Kulingana na ripoti ya kipekee kutoka gazeti la New York Post, utawala wa Trump unadai kuwa wanataka tu watu wenye uwezo wa kuhimili mahitaji makubwa ya kimwili ya huduma hiyo.
Soma Pia: Donald...
Hii ndio taarifa Njema kwetu sisi Walinda legacy ya shujaa Magufuli
Ni kwamba Rais Trump wa Marekani ameagiza kurejeshwa kazini Watumishi na Wanajeshi wote waliondolewa kazini na Utawala wa...
Major General Peter NKUBA CHIRIMWAMI, mkuu wa jeshi na mkuu wa mkoa wa Kivu Kasikazini, jana tarehe 23 Januari 2025, majira ya saa moja na dakika 44 usiku,alipokuwa amewatembelea wanajeshi wake...
Viongozi wa Afrika ni wagumu sana kutembeleana wenyewe kwa wenyewe. Most of time matukio au mikutano inayolenga kuwakutanisha pamoja hapa Afrika utakuwa wapo marais wachache sana, badala yake...
Wanaukumbi.
⚡️🇪🇬BREAKING: Egypt’s Embassy in USA republishes the following as a response to Donald Trump:
Egypt’s stance is clear: it cannot be part of any solution that involves the transfer of...
Wanaukumbi.
⚡️JUST IN:
An agreement has been reached regarding the Israeli prisoner Arbel Yahud; she will be released next Friday, while Israel will release 30 prisoners serving life...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.