Saudi Arabia imetekeleza hukumu ya kifo kwa watu 81 katika muda wa saa 24 zilizopita, wakiwemo raia saba wa Yemen na raia mmoja wa Syria, kwa tuhuma zikiwemo za "kuhusishwa na mashirika ya...
Kwa maoni yangu,Iwe Urusi imeshinda ama imeshindwa katika operation yake dhidi ya Ukraine mara TU baada ya operation hiyo kuisha Umoja wa NATO utavunjuka.
Hautavunjika kwa siku moja au...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema vita kati ya Urusi na Ukraine vitazidisha madhara ya COVID-19 kwa kuwa juhudi za kupambana na Corona zinasahaulika.
Japo maambukizi yamepungua nchini...
Wanachokifanya Marekani, NATO na mataifa ya magharibi kwa ujumla dhidi ya urusi ni kuifunga mikono na miguu Urusi wakati ikipigana na ukraine, ili kuisaidia Ukraine kwenye vita hivyo. Hakuna...
Jua jeusi (Black Sun) ni moja na alama iliyokuwa ikitumika na Jeshi la Hitler,(Nazi).
Ni nembo yenye asili ya kishetani na inayotumika katika dini ya ya waabuduo shetani (Satanism).
Sio hiyo...
Raia wa Uingereza watakaoruhusu Wananchi wanaokimbia mapigano Nchini Ukraine kukaa nyumbani kwao au kuwapa eneo kwa kipindi kisichopungua miezi sita watalipwa Paundi 350 kwa mwezi
Hatua hiyo ya...
Kaimu Waziri Mkuu wa Ukraine, Iryna Vereshchuk amesema Wananchi wa Mji wa Mariupol wameshindwa kuondoka baada ya Makubaliano ya kusitisha mapigano kwa muda kushindwa kutekelezwa
Kutokana na hali...
Saa sita na dakika kumi leo tarehe 13 jumapili 2022 walipost hii habari (picha ya kwanza), lakini immediately wakaifuta na kupost hii (picha ya pili).
Lengo likiwa ni kupotosha ukweli dhidi ya...
Bunge la Urusi limepitisha agizo la Rais Vladimir Putin la kutambua uhuru wa maeneo ya waasi mashariki mwa Ukraine, siku moja baada ya Rais Putin kutia saini agizo hilo na kuamuru wanajeshi...
Baada ya west kuipiga vikwazo vya kibabe Urusi hatimaye na wao wameanza kulia kutokana na ukali wa vikwazo husika kutokana na baadhi ya makampuni yanayohudumu miongoni mwa nchi za west kusitisha...
Bw Yoon aliita ushindi wake "ushindi wa watu wakuu wa Korea Kusini"Image caption: Bw Yoon aliita ushindi wake "ushindi wa watu wakuu wa Korea Kusini".
Korea Kusini imemchagua mgombea wa upinzani...
Hakika nimeamini silaha za maangamizi (nyuklia)ni silaha zinazoogopwa dunia nzima matokeo yake endapo mataifa makubwa yakitumia nadhani ndio mwisho wa sayari hii ya dunia ,kwa...
Ballistic missiles hit Mossad bases in Iraq’s Erbil, kill Israeli officers: Iraqi media
Sunday, 13 March 2022 1:46 AM [ Last Update: Sunday, 13 March 2022 10:27 AM ]
This photo released by...
Leo mwenyekiti wa umoja wa ulaya(na viongozi wote wakubwa) wamekataa maombi ya Ukraine kuwa mwanachama wa ulaya baada ya siku chache zilizopita kukataa kutimiza haja yake yakutaka kutimizwa kwa no...
Urusi ina silaha ngapi za nyuklia?
Takwimu zote za silaha za nyuklia ni makadirio lakini, kwa mujibu wa Shirikisho la Wanasayansi wa Marekani, Urusi ina vichwa vya nyuklia 5,977 - vifaa...
Kitu ambacho watu hawafahamu in kuwa taifa la Ukraine ndilo taifa lenye eneo kubwa lililopakana na Urusi kuliko nchi nyingine zilizojitenga na Russia, pili Ukraine ndilo taifa pekee kati ya watu 6...
Katika muda wa wiki mbili, zaidi ya watu milioni 4.4 wamelazimika kuyahama makazi yao kutokana na mapigano nchini Ukraine yamesema mashirika ya Umoja wa Mataifa hii leo.
Kwa mujibu wa shirika la...
NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA (angalia Ukraine)
NCHI ZENYE VINU VYA NYUKLIA
NCHI ZENYE SILAHA ZA NYUKLIA
Yaani nahisi ajali ya nyuklia ni tishio zaidi ya vita vya nyuklia
waUkraine na waRus wameishi pamoja kwa amani hadi mshinikizo wa mmarekani na wenzake wa ulaya magharibi - wakaanza kubeza na kuwaonea waRus tokea 2014 kiukatili sana... waUkraine (viongozi) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.