Mbunge wa Bunge la #Ukraine, Kira Rudik amechapisha picha akiwa ameshika bunduki na kuandika kuwa anajifunza ili kutetea ardhi yake dhidi ya #Urusi
Ameandika wanawake watatetea ardhi ya nchi yao...
Hakika mwamba hapendi ujinga.
Yaani Putin anaipelekea Ukraine moto anavyotaka yeye, tena moto anaupeleka usiku wakati kuna utulivu.
Waliomdanganya rais wa Ukraine wameufyata wote. Biden na ndugu...
Polisi katika Jimbo la Bhubaneshwar nchini India wanamshikiria mwanaume anayedaiwa kuoa wanawake 18 kwa kuwalaghai kwa kujifanya daktari na wakati mwingine hata afisa mkuu wa afya.
Mtu huyo...
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametia saini agizo la kuwataka wananchi wake wajiandae kwa ajili ya ulinzi. Agizo hilo litatekelezwa kwa muda wa miezi mitatu.
Kwa mujibu wa taarifa raia pamoja...
Pastor John Hagee - Here is my message about the invasion of the Ukraine 🇺🇦
Today, The headlines of the Wall Street Journal Shook America, saying UKRAINE BRACES FOR WAR. Russia's dream of...
Image source: Hennepin County Sheriff's Office/AP
Mahakama nchini Marekani hatimae imewakuta maafisa watatu wa polisi wa zamani wa Minneapolis na hatia ya kukiuka haki za kiraia za George Floyd...
Rais wa Ukraine, Volodymyr ZelenskyImage amewahamasisha wananchi wake kuwa tayari kupigana kwa taifa lao na kuwa atampatia silaha mtu yeyote anayetaka kushiriki katika vita dhidi ya Urusi.
Picha...
Joe Biden amekuwa ni mtu wa maneno matupu bila vitendo tofauti na mtangulizi wake Trump.
Je kama Trump angekuwa kwa ofisi muda huu, Ukraine isingekuwa kwenye hali hii?
Wapenzi wa timu ya Chelsea na Bilionea Tajiri wenu Roman Abromavich mnachangia mgogoro wa Ukraine bunge uingereza lataka mali za bilionea huyo zikamatwe na anyanganywe timu ya Chelsea kwa sababu...
Tovuti ya gazeti la Marekani “Los Angeles Times” tarehe 19 mwezi huu iliripoti kuwa vifaa vya kisasa vya kiteknolojia kwenye Michezo ya Olimpiki ya majira ya baridi ya Beijing vinawavutia watu...
Kuanzia tarehe 21 hadi tarehe 28 mwezi huu, Beijing itaendelea na kazi ya kubadilisha mandhari ya mji iliyopangiliwa kwa ajili ya Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing kuwa kwa...
Bustani ya Shougang ya Beijing ilifuatiliwa na dunia nzima wakati Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Baridi ya Beijing 2022 ambapo wanamichezo wa China Gu Ailing na Su Yiming walipata medali za...
“The primordial interest of the United States, over which for centuries we have fought wars:the First, the Second and Cold Wars, has been the relationship between Germany and Russia, because...
Nchi za Umoja wa Ulaya zimekubaliana kurahisisha safari za watalii waliochanjwa dhidi ya Covid-19 au waliougua na kupona ugonjwa huo.
Baraza la umoja huo wenye wanachama 27 limependekeza kuwa...
Kwa kweli sijawahi kuwa mshabiki wa vita vyovyote vile kwa sababu siku zote anayeadhirika katika vita ni binadam wa chini kabisa
Watawala kazi yao ni kutoa matamko tu, vitani huwezi kuwaona...
Benki zote za Warusi zilizopo Uingereza zimezuiwa, na Kampuni kubwa za Kirusi zitazuiwa kukopa kwenye Soko la Fedha la Uingereza
Kampuni ya Ndege ya #Aeroflot haitaruhusiwa kutua Uingereza na...
Wapo wanao tazama vita hii ya Urusi na Ukraine kama "intimidation of diplomatic tactics (mbinu za kiufundi katika diplomasia ya kijeshi)"
Hivyo uona kuwa vita kamili haitapiganwa kamwe, wengi...
Ni wazi kabisa kipindi cha Trump, raisi wa Urusi alikuwa akimheshimu sana kiasi kwamba hakuweza kuthubutu kufanya haya anayoyafanya kwa sasa kwa sababu aliogopa response ambayo Trump angeichukua...
Bunge la Ukraine limepitisha azimio la nchi hiyo kuwa katika hali ya hatari kwa siku 30 kutokana na mzozo uliopo kati ya Nchi hiyo na Urusi
Mamlaka nchini humo zimeruhusiwa kuzuia raia kutoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.