International Forum

News and Stories from rest of the World
Haya mataifa ya kijamaa ambayo hufahamika kwenye kuficha data, hizi chache data wameachia imebainika Urusi imeipita China Urusi: 87,147 China: 83,912 Hivi hawa wazungu mbona wanakawia kugundua...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Waziri Mkuu wa New Zealand, Jacinda Ardern ameahirisha Uchaguzi Mkuu uliopangwa kufanyika Septemba 19 kutokana na ongezeko la maambukizi ya CoronaVirus Uchaguzi umesogezwa hadi Oktoba 17 na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ikulu ya Marekani imethibitisha kifo cha Robert Trump ambaye ni Mdogo wa Rais wa nchi hiyo, Donald Trump Kwa mujibu wa vyombo mbalimbali nchini humo Robert alikuwa anaumwa sana. Hata hivyo...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
This year’s election is gonna be one for the books! Out of 330 million plus people, these two are the best the US can offer 🤣. Tweedledee and Tweedledum. A disaster and a catastrophe. Which...
1 Reactions
7 Replies
881 Views
Maelfu ya waandamanaji wa upinzani wameandamana jiji Minks nchini Belarus kumshinikiza Rais Alexander Lukashenko kujiuzulu kutokana na matokeo ya Uchaguzi Mkuu wanayosema hayakuwa Huru na Haki...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Bandari muhimu ya Mocimboa da Praia , ya Msumbiji yatekwa na wapiganaji wa ' kundi la IS ' Wanamgambo wanaotajwa kuwa na uhusiano na kundi la Islamic State wamekamata bandari yenye ulinzi mkali...
6 Reactions
156 Replies
54K Views
Aliyekuwa Waziri wa Vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel Moshe Ya'alon amefichua kuwa magaidi wa kundi la ukufurishaji la Daesh waliwahi mara moja kuwashambulia kimakosa askari wa utawala huo...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
SUCCESS! The first three Israeli corona patients treated with plasma-based antibody vaccines have recovered and were released from the hospital.
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Vikosi maalumu vya Somalia vinasema vimemaliza uvamizi Somali uliofanywa katika hoteli iliyopo katika mji mkuu Mogadishu ambayo ilivamiwa na wananamgambo wa al-Shabab Takriban watu 10 wameripotiwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Majority of the richest children in Africa come from a political background inheriting wealth from their parents and going forward with the legacy while minority come from a business back round...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
South Africa's president has said coronavirus infections appear to have peaked in the country, as he announced a sweeping relaxation of lockdown measures. President Cyril Ramaphosa said nearly...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
While the world continues to cast doubt and aspersion on the coronavirus vaccine recently announced by Russian President Vladimir Putin, the Russian President has declared again that the vaccine...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Building is skill combined with creativity. Everybody wants to build a unique house,company or anything else that will attract and suprise many. China has proved to have it all, it's buildings...
7 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa jarida la Fortune la Marekani takwimu mpya zinaonesha kuwa katika miezi ya sita ya mwanzo ya mwaka huu, wamarekani 5,816 wameacha uraia wao, idadi hiyo imeongezeka kwa asilimia 1,201...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Umoja wa Ulaya unaandaa vikwazo dhidi ya maafisa wa Belarus ambao walihusika na ukandamizaji unaofanywa baada ya uchaguzi dhidi ya waandamanaji ambao umesababisha umwagikaji wa damu. Idhini ya...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu, kumekuwa na taarifa za mauaji na vifo vya watu wanaokadiriwa kufikia 30 mpaka sasa kati ya makundi kadhaa yanayohasimiana huko Sudani baada ya kufanyika maandamano ya kumuondoa Omar Bashir...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Habari za muda huu wanaJF na poleni na majukumu ya kutafuta tonge. Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Hivi kwanini Mwarabu amemdharau sana mwanamke? Imenifanya nifikirie kwa undani zaidi...
31 Reactions
423 Replies
29K Views
Uchumi wa Uingereza umekumbwa na pigo kubwa zaidi kurekodiwa kati ya mwezi Aprili na Juni wakati ambapo kulikuwa na marufuku ya kutoka nje ili kuzuia maambukizi ya corona. Kipindi hicho...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
- WhatsApp group for OIL Traders Only! WTI/BRENT Join Via Link Oil Traders🛢️
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Most Germans are against the start of the Bundesliga. When asked Does the government further, relax the measures to contain the corona pandemic? Does the Bundesliga kick off this weekend despite...
0 Reactions
1 Replies
568 Views
Back
Top Bottom