Naomba kujua tu wakuu , Na hapa sina nia ya kubeza , bali kwa ufuatiliaji wa Karibu kuhusu maambukizi ( cases) Na Vifo ( death ) zilizotokea kwa wenzetu wa Europe Na USA Na huku kwetu Africa ...
MAY 14, 2020
Clueless as to why President Trump was elected into office, the Rothschilds have used their globalist media mouthpiece to declare that President Trump is threatening to destroy the...
Wachina wanakesha wakihangaika jinsi ya kupata data za tafiti wanazofanya Marekani dhidi ya Corona.....
U.S. authorities warned Wednesday that Chinese hackers were attempting to steal coronavirus...
Rais wa Brazil, Jair Bolsonar amesema kufunga mji ni kuufanya uchumi ufeli kwa kuwa hawatakuwa na hela za kuwalipa watumishi wa umma
Kwa muda mrefu rais wa Brazil amelaumiwa kwa kutochukua hatua...
Waziri Mkuu wa Australia, Scott Morrison amesema takribani watu 600,000 wamepoteza #ajira kutokana na janga la #CornaVirus nchini humo
Waziri amesema, japo kasi ya maambukizi inapungua lakini...
Chinese lawmakers have drafted a law to order all divorcing couples to complete a '30-day calming period' after the country saw tens of thousands of people applying for separation following the...
Japo Waajemi wenyewe wanasema ilikua ajali kazini.
One Iranian warship accidentally struck another with a missile during an exercise, killing 19 sailors and wounding 15 others, Iran's navy said...
Kanisa moja huko San Francisco limeishtaki Kampuni hiyo baada ya moja ya masomo yake ya Biblia kuingiwa na mdukuzi aliyeonesha ngono kwenye masomo hayo
Kanisa la Mtakatifu Paulus Lutheran ambalo...
Nimekuwa nikijiuliza hivi ni kitu gani kilichomfanya Mzee wetu Mandela awe mtu maarufu zaidi duniani kuliko mtu yeyote aliyewahi kuishi katika karne ya 20?
Je ni kupinga ubaguzi wa rangi?
Je ni...
It’s all right for you thinnies, PM tells staff as he accepts obesity increases risk from Covid-19
Boris Johnson is preparing a “much more interventionist” drive to tackle obesity as part of the...
Serikali mpya ya dharura ya umoja wa kitaifa inatarajiwa kuapishwa rasmi nchini Israeli mapema kesho.
Serikali hiyo itaundwa na vyama vya Likud, Blue and White, Shas,United Torah Judaism, Labor...
Malengo yake ni: To authorize the Secretary of Health and Human Services to award grants to eligible entities to conduct diagnostic testing for COVID–19, and related activities such as contact...
Hiki kirusi hakieleweki kabisa, yaani ukitulia kidogo tu na kulegea, kinaibuka full tena kwa hasira zaidi ya awali...
The city of Jilin enforced the lockdown on its 4.5 million residents...
DR Congo 'prepared' to take part in vaccine testing: official
The Democratic Republic of Congo is prepared to take part in testing of any future vaccine against the coronavirus, the head of the...
Jaribio la kwanza la chanjo ya Maambukizi ya Corona kufanyika Jumatatu inajayo(Tarehe 23 Machi 2020) kwa mujibu wa taarifa rasmi ya Serikali ya Marekani
Imefahamika kuwa jaribio hilo...
Venezuela imeonesha mkanda wa video inayomuonesha mmoja wa askari mamluki raia wa Marekani ambaye ni miongoni mwa askari 13 waliokamatwa baada ya kushindwa kwa shambulio la kigaidi
Katika video...
Ulianzishwa 1963 kwa ajili ya kuishi watu weupe, hakuna gereza, hakuna polisi na wanatumia pesa yao na sio Rand pia wana bendera yao.
Huwezi kupata kazi huko ukiwa black skin. Imekuwa kipimo cha...
Baada ya kuulizwa swali ni kwanini Uingereza imesimamisha kutoa Data kwa mlinganisho na Nchi nyingine Kimataifa, Waziri Mkuu katoa msimamo wa Uingereza kama Taifa.
Wale wazee wa kulilia Data za...
Idadi ya vifo vinavyotokana na #Covid19 imeendelea kuongezeka huko Ulaya, kwa sasa Italia imetangaza kuwa na vifo 651 kwa siku moja, idadi inayopelekea vifo ndani ya Italia kufikia 5,476
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.