Leo hii ukienda hospitali za seriakali afu ndo ujauzito wa kwanza ukitoka upasuaji haujakuhusu basi mshukulu Mungu.
Enyi watu wa afya wahurumieni akina mama upasuaji usio wa lazima ni faida kwenu...
Tunaomba msaada , hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tabora haaina huduma ya VIFUNGASHIO kwa ajili ya kubebea dawa, mgonjwa akipewa dawa analazimika kubeba mikononi au kwenye mabox kitu ambacho...
Nawasalimu waungana wote
Kuna Jambo nilikuwa nataka tujadili kidogo, nimeshalishuhudia zaidi ya mara 5 katika maeneo na mikoa tofauti.
Unakuta Vijana mtaani wote wanajua kuwa demu Fulani na...
Nimeenda mara kadhaa kwenye haya matawi mawili ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (Upanga & Mloganzila), chanjo ya Tetanus haipo kwa zaidi ya mwaka sasa.
Mara ya kwanza nilienda Upanga kama miezi 8...
Nimefika Hospitali ya Mnazi Mmoja Ilala Jijini Dar esa salaam.
Baadhi ya wagonjwa wanalalamikia ucheleweshaji wa huduma mbalimbali zitolewazo hospitalini hapo.
Tusikilize baadhi ya wagonjwa...
Kwakweli kumekua na kero sana kwa manesi walipo hospitalini hapa, wamekuwa wakitoa maneno ya kashfa na kejeli hasa kwa manesi wa clinic,
Ni maneno mabaya na ya kejeli sana yakiambatana na...
Nimempeleka mke wangu Kwa ajili ya kujifungua katika kutuo cha AFYA cha serikali Ulyankulu. Na ikahitajika kufanyiwa upasuaji ila cha ajabu gharama nilizopewa nilishangaa sana. Huduma ilisuasua...
Kuna tabia imeibuka au yawezekana ipo kwa muda mrefu, nasema hivyo kwa kuwa sikuwahi kuelewa kuhusu hilo siku za nyuma lakini baada ya hili nitakalozungumza hapa kutokea nikishuhudia, nimepata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.