wakuu naomba mnisadie kuhusu hili,hivi kujamiiana mwanamke mjamzito kuna madhara yoyote kwa huyo kiumbe aliyeko tumboni hata kama mimba bado ni changa?​
Habar wakuu, ebwana kila nkifanya mapenz na mpenz wangu huwa analalamika anaumia kila tunapoanza ila baada ya muda flani maumivu huwa yanapungua. Kwa kumuandaa huwa namuandaa sana smtym hata kwa...
The first large study measuring testosterone in men when they were single and childless and several years after they had children says that, most male hormones takes a dive after a man becomes a...
Ninatatizo ambalo nahijaji ushauri.Mafuta yoyoyte nikipaka ninatoka rashes na kuwashwa pale nilipopaka yale mafuta.Nimepima allerge lakini sikuonekana na tatizo.Hali hii inanisumbua na kuninyima...
Living with HIV in Tanzania There are more than 2 million Tanzanian people living with HIV. The national prevalence rate stands at 5.7%, which is down from 7% in 2004...
Brethrens;
Nilipokea email hii kutoka kwa rafiki zangu ikiwa iko forwarded kwa watu tofauti, na mimi kwa nafasi yangu nikaona si vibaya kama nitaitumia JF kufikisha ujumbe huu, picha zipo chini...
Kwa wataalamu, hii kisayansi itafanyikaje na kuthibitishwa pasipo kuacha shaka?. kulinganisha nasaba za ndugu wanaoishi na zile za marehemu waliokwisha zikwa...
Nilijifungua 2008 kwa kisu so sikuweza kulifunga tumbo bcoz ya kidonda cha operation, sinc then tumbo langu ni kubwa , nifanye nini ili kulipunguza?Maana hata nguo hazikai fresh mwilini shauri ya...
ndio wakuu. naomba msaada kutoka kwa mtaalam wa macho. Kuna huu mtindo umezuka wa vijana na watu wengi kupenda kuvaa sun glasses usiku. Pia hata kuna baadhi ya mastaa wa ulaya na hapa nchini wana...
`Maji ni uhai, Uhai ni maji', ‘Maji ni mhimu kwa afya', ni maneno ya kawaida masikioni pa watu wengi.
Lakini ni kwa namna gani maji ni uhai?.
Inavyoonekana, watu wengi...
Siku hizi akina dada wengi wanafanya mambo ya kuigiza zaidi ya asilia,mfano kuwa na makalio(kigoda) ,matiti,hips,miguu ya kufyatua aka mchina .athari zake wanazijua au wanataka kumaliza madawa...
hey wana Jf doctor. habari zenu? tatizo langu kubwa linalonikumbuka ambaklo si masiara ni kitendo cha kuhisi usingizi mzito pindi ninapotoka lunch break nikiwa kazini. nafaham kidogo kuhusu...
kwa kawaida ukilima bustani unaimwagilia asubuhi kabla jua halijawa kali, na hata ukitembea umbali mrefu na gari na maji yakiisha katika injini hushuki tu na kuongeza maji mengine papo hapo...
tumezoea kuona wanawake wengi baada ya kujifungua wanakuwa km wamefunguliwa kunenepa/kufutuka,ambapo kwa watu km sie wanawake wanene hatuwapendi na pia kama nimeshasababisha siwezi kumwacha...
Hey Great Thinkers lets discuss this very sensitive topic. Ni hali ya mwanamke kupata cycle yake bila kuzalisha eggs. Ni type ya infertility. Take out factors like abortions, issue za many...