Habari zenyu jf nafikiri wote ni wazima na vile vile poleni kwa wale wenye matatizo kwani matatizo ni sehemu ya maisha! Tatizo langu ni kuhusu hii nishati mbadala yaani umeme wa jua.nimefunga...
jamani kunajaa anaomba msaada wenu anadai kua kila anapokwenda haja kubwa anasikia maumivu na wakati mwingine hadi damu inamtoka.tatizo inaweza kua ni nini?
nawasilisha
Ndugu msomaji nimeona ni muhimu kuandika tofauti ya ugonjwa wa kaswende na kisonono kwa sababu kumekuwa na idadi kubwa ya wagonjwa ambao wanapotoa maelezo au malalamiko yao wamekuwa wakichanganya...
Wana JF naomba msaada. Napendelea zaidi zoezi la kukimbia, na hufanya hivyo kwa kiasi cha dakika 40. Lakini huwa nasumbuliwa na maumivu ya kifua saa chache baada ya mazoezi haya. Sipendi kuacha...
wadau Tunapoelekea Yani lazima Kila mtu ajue afya yake labda Usipende kupata mtoto Maana Huu mtindo Mtu akipata Mimba lazima apimwe mh Hapa na Czn wangu anataka kutoa mimba kisa anaogopa du wadau...
.....nahitaji elimu ya kuhusu bikra ya mwanamke.
Nina maswali mengi:-
1. Hii bikra haswa ni kitu gani?
2. Wanaposema bikra inavunjwa au kupoteza usichana je nini hasa kinatokea kwa huyu mwanamke...
Mke wangu anaujauzito wa wiki sita sasa, na ni ujauzto wa kwanza. Amekua akitapika sana kuanzia asubuhi mpaka jioni, yani chakura hakikai. Kuna dawa inaitwa NOSIC nimesoma kwenye net inaweza...
Hellow JF, Nasumbuliwa na maumivu ya shingo toka juzi. Sijajua sababu ni nini, mwanzo ilikuwa kichwa, ukafata mgongo na sasa shingo, mwenye kujua tiba yake naomba msaada.
Wakuu katika maisha yangu yote nimeiona hii kali! baada ya kuboreka na uchakachuaji wa kura nimekutana na habarii hii nikiwa online! ningependa tushee hizi habari! via link hiyo hapo chini ya mtu...
A healthy male discharges 50 million sperm in a single ejaculation. During sexual intercourse, of all those millions of sperm, only a couple hundred will make it to a mature egg that is ready to...
Kuna maneno mengi yanasema juu ya hilo.Ningependa kupata ufafanuzi wa mambo yafuatayo kuhusiana na maradhi ya NGIRI kwa wanaume.
1.Je,yanaweza sababisha uume kuwa mgogo?
2.Yana madhara gani katika...
Too Much TV Linked To Early Death
Watching two to three hours of television a day increases the risk of an early death, type 2 diabetes and heart disease, according to a new study...