Wanajamii me ni kijana wa miaka 29, tatizo langu ni kuwa na mashine ambayo kusema kweli ni kubwa...kila ninapokutana na mwanamke huwa naishia tu kugomewa. yaani mpaka nimeamua tu kuwa mtu wa...
Hello wana JF!
Mafua yamekua yakinisumbua mara kwa mara yaani kila baada ya kama wiki hivi ni lazima yatanipata na huwa naugua kwa zaidi ya siku tano mfululizo.nimekua nikitumia piliton na codril...
Ndugu zangu na mdogo wangu anasoma darasa la 7 sasa ila ameshakuwa matured tayari,ila ana
tatizo kubwa la Kutoa harufu mbaya saaaaana mdomoni ni mithiri ya choo.
hasa akiongea hata katika...
Nimefika Hospiitali ya CCBRT tangia asubuhi ili nipime macho, cha kushangaza mpaka muda huu niko kwenye foleni! watu ni wengi ndio lakini wahudumiaji hawaendi na kasi kulingana na idadi ya watu...
heloooow!!!!!!!!!!
habari zenyu bana
wanajf naombeni msaada wa njia nzuri ya kumtahiri mtoto wa miezi minne kati ya hizi apa chini>..
1,.kwa kutumia ring
2 kwa njia ya kawaida ya kukata...
Kuna kijana mmoja rafiki yangu anasumbuliwa na kuwashwa kwa ngozi pindi atokapo kuoga nimemuangalia ana vijipele vidogo vidogo kwenye vinyweleo vya ngozi. Hii ni nini jamani? Na tiba yake
Healthiest Vegetables List of Vegetables[COLOR=#000000]
The list of vegetables below can help you get healthy and stay healthy. How do we know these are the healthiest vegetables to eat...
The symptoms of seasonal allergies can put a real damper on your spring, summer or fall.
Although 40 million Americans suffer from seasonal allergy symptoms, many also suffer from the side...
Meals
The top 10 healthiest foods listed below are your best foods for eating healthy meals.
And since these 10 healthiest foods offer you maximum nutrition for each food calorie, your healthy...
What are the foods NOT to eat? And how do you know what food to avoid? The first step is to realize that there really are unhealthy food killers!
Though some people firmly believe "you shouldn't...
One out of three stroke victims die. And many of the rest are left with major disabilities.
But stroke prevention works. And right now is the very best time to begin stroke prevention by...
Warning Signs of a Stroke & Stroke Symptoms
It's important to know the 5 warning signs of a stroke, because once stroke symptoms start, they move rapidly and time is limited.
A stroke is often...
Wana JF poleni na majukum!
1. Naomba kufahamishwa ni umri gani mzuri kwa mtoto kufanyiwa tohara?
2. Ni hospitali gani kuna dactari mzuri kwa kutoa huduma hii?
3. Inaweza kugharimu kiasi gani...
Wana JF poleni na majukum!
1. Naomba kufahamishwa ni umri gani mzuri kwa mtoto kufanyiwa tohara?
2. Ni hospitali gani kuna dactari mzuri kwa kutoa huduma hii ((Niko D'salaam))?
3. Inaweza...
Q: What are the thumb rules for a layman to take care of his heart?
Ans:
1. Diet - Less of carbohydrate, more of protein, less oil
2. Exercise - Half an hour's walk, at least five days a week...
Ndugu zangu naombeni msaada, kila ninapotembea kwa mguu muda fulani maeneo ya kiuno napata maumivu sana kiasi kwamba miguu pia huanza kukosa nguvu !!!!!!! Lakini kila siku natembea kilometa 2...