Jamani,
Kuanzia January mpka leo napata period for two days. Na ni kidogo sio kama ilvyokuwa mwanzo. Je, ni kawaida? Mwanzoni nilikuwa napata for four days au siku nyingine siku tatu. I am...
Habari zenu jamanii. Mie kuna dem nlikuwa namfukuzia mda mrefu sana na ni mzuri sana tu. Nikabahatika kumpata ila nkagundua anatatizo katika mwili wake yani Mwanamke kapooza wabaridi hata...
Warts au sunzua ni ugonjwa ambao huwatoka watu wengi ingawa wengi hufanya siri sana sababu walio wengi huwatoka sehemu za siri awe mwanamke au mwanaume, ,na huwa kama kipele ambacho hakifi na...
Experts agree that not every symptom warrants a trip to the doctor, but some seemingly minor signs shouldn't be toyed with (in men or women). We asked physicians to tell us the most serious...
It is confirmed !
Mgonjwa moja kutoka Marekani ambaye hakupewa nafasi yoyote ya kuendelea kuishi na madaktari zaidi ya watatu Marekani, hivi sasa kapona baada ya kupata kikombe cha Babu...
jamani nina tatizo ambalo mwanzo sikuliona kubwa, lakini sasa naanzza kuji doubt, mwanzoni mwa february mwaka huu nilianza kusikia kooni kwangu kama kuna kitu kimekwama, nikajua kawaida labda...
Ma-Doctor wa JF, naja kwenu nachechemea, tafadhali nipeni fafanunuzi kinachonisibu ni nini?
Dalili zinisumbuazo ni hizi:-
1. ngozi ya Miguu inauma kwa mtindo wa kuwasha, kuanzia magotini hadi...
Please wana JF
Naomba kujuliwa ni hospital gani zinaruhusiwa kufanya DNA Test tanzania....nimeuliza muda si mrefu wanasema ni Muhimbili tu.Tanzani Nzima!
Hii ni kweli kwa nchi nzima tuna DNA Test...
A'aleykum/Bwana Yesu asifiwe sana wana JF
Wana JF, naomba ushauri wa kidaktari. Dada yangu wa kazi anaumwa fungus wa ajabu. Miguu yote ni vidonda, cha kushangaza fungus wamekula miguu mpaka...
Wana jf hofu yangu ni swala la mtu kupata makoozi tena mazito mara kwa mara! Swali langu kwani makoozi haya yanatoka wapi au yameingiliana na mfumo wa kamasi? Au kifua kimekufa hivyo kinaproduce...
Hi wana JF,
Nina mtoto wa miezi mitatu bado hajaota meno ila wiki mbili zilizo pita ameanza tabia ya kunyonya vidole vyake sijajua kama ni meno yanataka kumuota sasa yanawasha au ni nini? pia...
Wana jf!
Mie tatizo langu ni wembamba: kiukweli mie ni mwembamba kuna kipindi nilienda kumwona dactari akanishauri nitumie mayai kama sehemu ya mlo mfululizo kwa mwezi mmoja lakini bado sikupata...
habari wana JF.
Mimi nimshiriki mzuri wa mchezo wa soka, mwaka jana nilipata mchubuko baada ya kuanguka nikiwa nacheza mpira na kidonda kilishapona kabisa ila kovu bado lipo na linaonekana jeusi...
Jf doctor,nisaidieni na hili.
Katika life yangu mpaka hapa nilipo sijawahi fika orgasm,sasa sijui ni tatizo gani..sio kwamba mpenzi wangu haniandai vizuri hapana,ananiandaa mpaka napata hamu ya...
Wana JF naomba mnisaidie kwa hili. kwa takribani miaka miwili sasa ngozi yangu inaharibika kwani natokwa na vidoti vyeusi hasa sehemu za tumbo,mgongoni na kwenye mapaja. mbaya zaidi miguuni...
Wana JF!
Mama yangu alidondoka na kuteguka mguu. Wakati akiendelea na matibabu alikandwa mguu na bahati mbaya ganda likatoka gotini na kufanya kidonda. Kila apatapo nafuu kufanya mazoezi, maji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.