Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

wadau nimekuwa nikiguswa sana na vifo vya watoto wachanga wenye umri kati ya siku moja hadi miezi sita, naona pia kama vifo hivi vinazidi kuongezeka. Kila wakati ukiwa na ndugu au rafiki mjamzito...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
hi members, please help me with this " how does kernicterus ,hydrops fetalis, erythroblastosis fetalis associate with HDFNB {Haemolytic Disease of Fetus and New Born} THANK U
0 Reactions
5 Replies
1K Views
wana jf nisaidieni nina gf wangu ambae tumekaa nae mda mrefu, ila ckuizi kuna tatizo linanisumbua kila tunapo have sex lazima atoke dam tatizo ni nini naombeni ushauri.
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Nilikuwa nasumbuliwa na kukosa hamu ya kula kwa muda mrefu, na kupata haja kubwa ambayo ilikuwa inafanana na ile ya mbuzi nilijiexpose hapa JF na nikapata ushauri tofauti tofauti wapo walionijoke...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Heshima yenu wana JF. Ni kama mwaka sasa,nina tatizo la koo langu kuuma na hii huwa naihisi hasa wakati wa kuongea/kucheka. Nikiongea sana huwa ndo napata taabu zaidi maana ata sauti huwa inataka...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Habarini wana JF, Jirani yangu ana tatizo la ukubwa wa maumbile ambalo limetokana na kutumia dawa za kunenepesha na kurefusha. Kwa sasa limekuwa ni jambo la fedheha kwake kwani mtaa mzima...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Vitu vitamuvitamu kama keki, kuku wa kukaangwa, vibanzi – ni vitamu lakini je vinafaa? Mwili wako hauwezi kuwa katika hali nzuri ya kiafya kwa kuvitegemea hivi vyakula pekee. Kula vyakula...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Risks Of Drinking Soda Soda has been known to comprise certain chemicals that make you feel dehydrated. This is the reason why, even after drinking lots of soda, you continue to feel...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari za sahizi humu jamvini. Nilikuwa naomba ushauri wenu,Nimejikuta napenda sana kula vitunguu mbichi kupita kiasi,yaani hii imeanza mda mrefu,kila ninapokula chakula huwa lazima nikatekate...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Madaktar naomba mnisaidie.jana nilijichoma na bisibisi katikati ya kiganja cha mkono wangu.mkono ulikufa gannzi kwa muda na baadae maumivu makali yakafuata.nilipata huduma ya kwanza na kuendelea...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Health Discoveries - Health News - National News - African Mango Irvingia Gabonensis - Weight Loss Medical Miracle? - Home Move over Weight Watchers®...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Kemikali za sumu zilizoko katika tumbaku ya sigara huharibu DNA za mwili wa binadamu dakika chache tu baada ya mtu kuanza kuvuta sigara. Kwa mujibu wa utafiti uliofanywa hivi karibuni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
wadau, naomba msaadajuu ya dawa chungu (huenda kuliko zote) shubiri. Jee dawa hii inatibu tumbo kwa watoto hasa wa kiume?nimemsikia mama mmoja akisema. Msaada wenu tafadhali maana baby boy wangu...
0 Reactions
1 Replies
12K Views
Timu nzima ya TanzMED inayofuraha kukutaaribu kuwa tumekamilisha uboreshaji wa tovuti mpya ya TanzMED. Kwenye tovuti hii mpya mambo mengi mno yamezingatiwa ambayo yataleta mageuzi makubwa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wasalaamu! Kwa kuwa wananchi mbalimbali,mashirika ya dini,taasisi zisizo za kiserikali(NGOs),mashirika ya umma na serikali kupitia mawaziri mbalimbali wameonyesha kuikubali dawa isiyothibitishwa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wana JF mimi nasumbuliwa na kuwashwa kichwani kila mara najisikia kujikuna. pamoja na hilo nina tatizo la pressure na ulcers ambayo naamini hayahusiani na hili. tatizo langu ni nini na matibabu...
0 Reactions
7 Replies
20K Views
NIPENI UFAFANUZI.KILA SIKU TUNASIKIA POLISI WAMEKAMATA BANGI EKARI 2,3 AU 4,NA WAMEITEKETEZA KWA KUICHOMA MBELE YA VIONGOZI NA WANAKIJIJI.SWALI KATIKA HUO UTEKELEZAJI WA UTEKETEZAJI JE HUO MOSHI...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kusugua meno yako ni swala rahisi. Mbinu hii huwa na athari kubwa sana katika afya ya meno yako na afya yako kwa jumla. Mbinu bora ya kusugua meno: Kwa kutumia mswaki na kwa upole laini na...
0 Reactions
12 Replies
12K Views
Hi! jf members hope mpo pouwaaa! Mimi na mdogo wangu jamani hawezi kula chakula chochote bila kunywa soda, yani i mean kila anapomaliza kula chakula lazima anywe na soda, kwa cku anaweza kunywa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
habari yenu wana jf.huyu binti anaumia tumbo chini ya kitovu kila baada ya ku-do.nini tatizo na tiba yake?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…