Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Ariel Glaser passed away 22 years ago 12 Aug, at the age of 7 years old. Ariel, Binti wa Elizabeth Glaser alizaliwa na virusi vya Ukimwi kipindi ambacho madawa yaliokuwapo yalikuwa kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumbo Kuuma wanawake wanapoenda mwezini, virusi na mchanganyiko wa vyakula ambavyo hugeuka na kuwa sumu.Unaweza kuzuia kuumwa na tumbo na kuhara kwa kutotumia vyakula vinavyotoa harufu mbaya ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Huwa nasikia vijiweni kuwa simu huleta madhala kwenye ubongo je ni kweli?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani naombeni mnisaidie e-mail au contacts za mzizimkavu kwa anayefahamu..nina matatizo yananisibu na si vyema kuyaweka hapa hadharani e-mail yangu ni philbertstephen@gmail.com
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wana JF ni umri gani hasa unafaa kumwanzishia mtoto mdogo uji au maziwa? na kipi kinashauriwa kuanza kati ya uji au maziwa. wa kwangu ana miezi 2. Naomba ushauri wenu wa kitaalam.
0 Reactions
8 Replies
31K Views
wana JF nina mtoto mdogo mwezi na nusu, hajapata choo (haja kubwa) siku ya nne sasa, wengine wanasema ni kawaida, je kuna uwezekano ikawa ni ugonjwa? naombeni msaada na ushauri wenu tafadhari...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Doctors have discovered a possible breakthrough in finding a vaccine for the deadliest strain of meningitis. They have identified certain human genes which are behind the infection - and these...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani hii nimeona nishee na wenzangu hasa wale wakaazi wa Mwanza. Kuna hii hospitali ya Kwa Kilonzo ambayo inajulikana kama ndio best kwa wanaojifungua. Lakini ukweli ni kwamba wana tabia...
0 Reactions
15 Replies
12K Views
Wakuu, Ni kitu ambacho nikiwaeleza wenzangu huwa hawaamini! Ni kwamba ninasimama kikubwa kila wakati hata kama siwazii wala kuwa na mwenza karibu. Yaani wakati nashughulika na mambo mengine...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Pass The Butter ~ ~ ~ ~ This is interesting . . . Margarine was originally manufactured to fatten turkeys. When it killed the turkeys, the people who had put all the money into the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wapendwa nina shosti wangu ana tatizo sijui ni la kisaikolojia au ni vipi mie sielewi lkn ni kwamba huyu dada ana tatizo la kusmile bila hiyari yake. Jambo hili linamkera sana maana sometimes...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Umezuka ubishi hapa nilipo. Wanaume walioko hapa wanasema kwamba wanawake wanaonyonyesha huwa hawana hamu ya kukutana kimwili na wanaume eti kwasababu huwa wanaponyonyesha huipata raha( hufika...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habarini wandugu!! Nina tatizo limenitokea ni la kupata uvimbe kwenye taya la kushoto, Ni kama linafanana na kuvimba tezi ila kutokana na madaktari wanasema siyo uvimbe wa tezi na bado hawajajua...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mara nyingi baada ya kazi kuna sehemu napenda kubarizi kwa moja baridi, hiyo sehemu kuna mzee sio sana, vijana wanapenda ku mchezea kwa kujambisha (kubana midomo kwa mikono kisha kupuliza nakutoa...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Inakuwaje hapa?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Salaam ndugu zangu. Nimekuwa kwa muda nikihudhuria clinic moja mitaa ya Sinza kwa remy kwa ugonjwa wa kuwashwa ngozi, sasa kila nikienda napewa dawa tofauti kama aina saba hivi, but ukiangalia...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Ugonjwa mpya unaofanana na UKIMWI, wenye kuua kwa haraka umeikumba china. Ugonjwa huo husambazwa na majimaji ya mwilini. Wachimba chumvi, wazee wa madenda na madekio kazi kwenu.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Ni post yangu ya kwanza na naanza na tatizo! Nina ndugu yangu ninayemsaidia (dependant) amepata ugonjwa wa kutokwa usaha (well ni maji mazito ya rangi ya njano, yananata kiasi) kwenye masikio...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naombeni msaada kuna ndugu yangu tumbo lina muuma muda wote ameenda hosp. baada ya kumpima wamegundua kuwa INI lake ni kubwa isivyo kawaida, amepatiwa dawa lakini bado maumivu yanaendelea...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiti cha ofisini kimekuwa kikiniumiza mgongo. Nimebadilisha viti vitano lakini bado naumia. Je nikae pozi gani ili nisiumize mgongo?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Back
Top Bottom