Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

nimepata taarifa ya kuwa kuna na dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiuume. nasikia inatengenezwa Kenya, iko katika hali ya unga unga ,ni kipakti kidogo. Naomba kama mtu ana jina lake na wapi...
0 Reactions
4 Replies
5K Views
KWA Miaka mingi watu wamekuwa wakitumia pombe kama sehemu ya kiburudisho huku wengine wakiamini kuwa inasaidia kupunguza mawazo. Pamoja na imani hizo, wataalamu wa afya wanabainisha kuwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
hivi ni kwanini kila KIZIWI lazima awe BUBU pia?ni maelezo gani ya scence yanayojaziliza THEORY hiyo,,naombeni mchango wenu.bless u
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Wandugu, katika pitapita yangu mtandaoni kuna ugonjwa huo uliotajwa; na kwa habari zilizopo umeshaingia Tanzania hasa hapo D'Salaam na kule nyumbani visiwani. Kuna watu zaidi ya 10 washaambukizwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nuts may block cholesterol absorption, experts say Eating nuts may help lower cholesterol levels, US research suggests. The review of 25 studies, involving nearly 600 people, showed eating on...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana JF, ningeomba kufahamishwa nywele sehemu za siri na makwapani zina faida gani? na kwa nini tunazinyoa
0 Reactions
28 Replies
55K Views
If you know a good counselor in Dar es Salaam to help me with alcohol and life issues in general.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
By Alyse Levine Concept The media has exhaustively publicized the numerous ways drinking tea is good for you: from fighting certain cancers, to decreasing the risk of heart disease and Alzheimer's...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The cleaning aisle at just about any grocery store is stocked with a dizzying array of options—and when it comes down to it, there are a lot of expensive, toxic, superfluous products crowding the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
When is it right to take a pregnancy test? I mean if the couple are trying to conceive.. should they wait for the menstruation date or they can take the test before the date?
0 Reactions
14 Replies
4K Views
WAKUU, kwenu ninyi madaktari na wasomi wengine, hivi maziwa ya ng'ombe na ya soya, yapi yana virutubisho vingi zaidi, tangu nianze kunywa maziwa ya soya, yale ya ng'ombe naona kama siyapendi...
0 Reactions
6 Replies
11K Views
Heshima mbele wakuu Wife wa kaka yangu ana tatizo la mzunguko wake wa kila mwezi. Tatizo lake limeanza kitambo sana baada tu ya kujifungua, more than 3 years ago. Kuna kipindi anakaa kama...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kifanyio cha matusi changu kinaniwasha sana, hasa sehemu ya chini. Naomba mnisaidia ni ugonjwa gani huo? nini matibabu yake. Asanteni
0 Reactions
5 Replies
4K Views
25 Do not eat raw meat, raw fish, or raw eggs. These foods can make you sick. 24 Take a multivitamin and a high-potency supplement of B complex vitamins everyday. 23 If you've...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
HEADACHE? EAT FISH! Eat plenty of fish -- fish oil helps prevent headaches. So does ginger, which reduces inflammation and pain. HAVE FEVER? EAT YOGURT! Eat lots of yogurt before pollen...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Five common genetic factors tied risk of developing disease British scientists have found five common genetic factors linked to the risk of developing breast cancer, giving researchers a...
0 Reactions
0 Replies
984 Views
kichwa hakiniumi il nahisi kama tambaazi hasa juu utosini ,na mara nyingine inapotea au pia kama vile uhisi kitu kichwani .
0 Reactions
3 Replies
2K Views
JF men, I am sharing with you this small gift I got today from Rev. Canon Dr.Emmanuel Kandusi and his colleague Mr.Kyaruzi.(Read the attachment) According to these guys,it seems most men feel shy...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Importance of Sleep : Six reasons not to scrimp on sleep A recent survey found that more people are sleeping less than six hours a night, and sleep difficulties visit 75% of us at least a few...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nasikia watu wakizungumza kuwa kuna ugonjwa unaitwa kifadulo/ro. Kwa wale wataalamu wa tiba naomba mnifahamishe kwa lugha rahisi niulewe, unasababishwa na nini...
0 Reactions
11 Replies
17K Views
Back
Top Bottom