Nimepata kusikia kuwa magamba ya mti wa mwembe ni kinga dhidi ya magonjwa kama malaria n.k.
Maelezo niliyopata ni kuwa ukichemsha magamba ukanywa maji yake au ukisaga magamba makavu ukanywa maji...
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad akiwa amelazwa katika hospitali ya Shree Hindu Mandal jijini Dar es Salaam jana. Seif amelazwa hospitali hapo tangu Ijumaa...
Na Jumbe Ismailly,Singida
Kituo cha afya cha Sokoine,kilichopo katika Manispaa ya Singida kinakabiliwa na tatizo la kuwa na mbu wengi nyakati za mchana,hali ambayo hutishia wagonjwa wanaolazwa...
I know genetics play a big part in weight and height. But what are the probability of toddler who is overweight in the first 2 years becoming of normal weight.
None of the parents overweight...
Linaeza kuwa swali la kijinga, lakini kiukweli linanitatiza. na ni muhimu kwangu na watoto wangu, na huenda hata baadhi yenu.
Naomba majibu mujarabu ya kitaalamu,
Je ni muda gani optimum wa...
Naomba msaada
kucha zangu za miguu zinakuwa ndani ya nyama, ingrown, wanasema. Zina maumivu sana na madaktari waliniambia nifanye operasheni ya kuzitoa... nimetoa mara mbili lakini wapi, zinakua...
Wadau meno yangu yamechomoza kwa nje kiasi kwamba najisikia uncomfortable kusmile. Kuna hospitali au wataalamu au namna nyingine yoyote ninayoweza kutumia kuyeweka meno yangu katika muonekano mzuri
Nini hasa kina sababisha homa za usiku kwa watoto wadogo (infants). homa hizi huanza muda wa jioni sa1 na mara nyingi inakuwa kati ya 38C - 38.4C degrees lakini ifikapo asubuhi mtoto anakua normal...
THE good news: For the most part big beautiful Black women are self-confident, content with their lives and are not on a destructive mission to transform themselves into living Barbie dolls. The...
GENEVA - The World Health Organization says more than 85 million children under 5 in west and central Africa will be vaccinated against polio.The agency says the massive vaccination campaign in 19...
NCHI za Maziwa Makuu zimetakiwa kuandaa mkakati wa kutoa michango ya fedha za kuendeleza mapambano dhidi ya ukimwi ili kuendeleza mradi unaofadhiliwa na Benki ya Dunia.
Zimetakiwa kutambua wazi...
Kwako Dk Massawe
tunashukuru kwa jinsi unavyosaidia jamii ya tanzania hasa
kwa upande wa watoto;leo hii nikiwa mmoja wa wadau wa furaha
dispensary tunaomba baba ubadili mfumo wako wa kupokea...
Asali inaaminika kuwa na uwezo wa kutibu magonjwa mbalimbali. Hata hivyi kuna wakati unakula asali halafu unaanza kusikia maumivu. Mathalan, leo asubuhi nimekunywa chai ya rangi ambayo imeungwa na...
Kuna baadhi ya watu huwa wanasema wana kizazi cha karibu kwa hiyo wakikutana tu na mwanaume wanapata mimba.
Jamani hivi hii imekaaje?
Mi nadhani mimba inatungwa kwa sababu yai liko sehemu...
Naomba ushauri jamani,yani mvua ikinyesha naumwa sana vichomi na pia nabanwa na kifua sana,lkn leo kiuno kinaniuma sana hata sijui tatizo ni nn,nisaidieni
Wednesday, 24 February 2010 This should send shock waves all around! A Kampala doctor with a negative sense of preserving human life has died, leaving behind a list of 782 women and girls he...
Zipo dawa za Hospital watu wanazotumia lakini na hii pia inafanya kazi nzuri.Kitunguu thomu unatafuna chembe moja kila siku,utajisikia nafuu kabisa.Kama huwezi kutafuna fanya juisi ya ukwaju kwa...
parents need to come clean with kids about their own worries. "Younger children tend to blame themselves for problems," she says. "If the kid doesn't know what's going on, they're likely to assume...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.