wadau ningependa mnijuze na ikiwezekana kupata tiba ya huyu mzazi wangu.
Ni kwamba, aliwahi kupata ajali miaka mingi iliyopita na kuumia mguu (hii sehemu ambayo unaweza kupigia mpira)...
Wadau nahitaji kujua. kondom ina mafuta yake lakini inafika wakati wa "tendo" hayo mafuta yanakauka kabisa na inakuwa hatarishi kwa pande zote. ukitumia petroleum jelly (mafuta ya mgando), kondom...
A psychologist is urging people to get off Facebook and other social networking sites, and get a life instead.
Dr Aric Sigman says the amount of time we spend with each other has slumped...
Wenyeji wenzangu, nilikuwa na maswali machache kuhusu magonjwa haya ya zinaa
1) Kuna tofauti gani kati ya gonorea, kaswende, na kisonono.
2) Kaswende na kisonono yanaitwaje kwa kiingereza...
Hivi karibuni kumekuwa na taarifa za kufutwa kwa matumizi ya dawa za kikohozi na mafua kwa watoto chini ya miaka 12 na mamlaka nchini Kenya. Hali hii imetokana na madhara yanayosababishwa na dawa...
Habari zenu ndugu zangu, kuna dada mmoja ana mtoto wa miezi sita na anamnyonyesha tatizo ni kwamba amekuwa anachelewa kuingia katika siku zake anaweza kufika hata siku 39 na siku ya 40 ndo...
You don't need to eat yogurt and live on a mountaintop, but you do need to floss
By Deborah Kotz
Posted February 20, 2009
The biggest factor that determines how well you age is not your...
Natanguliza salaam,
Is there anybody who can recommend medicine/herbs etc. That can help to regulate hormones of a woman undergoing menopause.
Many thanks
WanaJF,
Natafuta maziwa kwajili ya mtoto wangu, ana miezi mitatu na mama yake anaishiwa maziwa siku zinavyozidi.
Hapa bongo mnanishauri nitumie maziwa gani?
:confused:Last week kulikuwa na thread inayozungumizia matatizo ya hedhi kwa kina dada sasa swali langu linaweza pia likaendana na thread hiyo japo katika michango yote iliyotolewa sijaweza kupata...
Overview of Colon Cancer Symptoms
By Donna Myers, About.com
Updated: July 5, 2008
It's best to get regular screenings rather than rely on colon cancer symptoms to alert you to the presence of...
Hi JF members.
It is so sad that many of our beloved are dying of cancer which is not just killing them but it is also threatening us.
I have come accross a useful update of which i would like...
Za leo jamani,
Mimi na swali hivi mtu kanyoa ndevu vizuri tuu ila sio mpaka chini, bado katokwa na vidonda kama vile vya kunyoa mpaka kwenye ngozi nadhani mnavifahamu then pakawa panatoa harufu...
Natumaini wote wazima. Mimi ni mwanajami mwezenu na leo ndio mara ya kwanza kuposti huku.
Mimi tatizo langu nipo kwenye ndoa 2yrs sasaivi na hatujapata mtoto na nimeshamwona gyno, nimefanya...
]1. A human being loses an average of 40 to 100 strands of hair a day.
2. A cough releases an explosive charge of air that moves at speeds up to 60 mph.
3. Every time you lick a stamp, you're...
A new study has revealed that life expectancy can be predicted from the length of specialised bits of DNA at the ends of chromosomes.
Researchers studying Alpine swifts have been able to...
Salaam.
Mimi nilipata ajali kwenye ndege na kufanyiwa operation ya kichwa(celebral spinal fluid)ilikuwa inavuja kupitia kwenye kitobo kilichotakana na hiyo ajali.
Hivyo ilikuwa nikiinamisha...
Jamani wadau wa JamiiForum nimekuwa nikatafuta heria hii 'Town and country planning ordinance Cap 378', kwa muda mrefu bila mafanikio. Kwa yeyote ambaye anaweza kunipatia document hiyo naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.