Wapendwa habarini za wakati huu?
Leo napenda tuzungumzie hili suala jinsi ya kureverse haya magonjwa niliyoyataja. Mimi ni bingwa wa mitishamba na nimepona pia HIV/AIDs kwa kuireverse na hatimaye...
Je, kuna mtu humu au unamjua amewahi kuugua ugonjwa kama huu?
Anisaidie ushauri
Wana jamiiforum natumai muu wazima wa afya na kwa wale ambao imelega kidogo tuendelee kumuomba mungu atusaidie...
Amani iwe kwenu ndugu wanajamvi!
Namshukuru mwenyezi mungu mwingi wa rehema kwa kutuwezesha kuiona tena siku nyingine miongoni mwa masiku yake tukiwa ni wazima wa afya na wale wa matatizo...
Ini ni Kiungo Muhimu Sana kwenye mwili wa binadamu ambacho hufanya kazi zaidi ya 500.
Kutokana na sababu mbalimbali Kama matumizi ya dawa yasiyo zingatia ushauri wa wataalam, unywaji mkubwa wa...
Dawa za kutuliza maumivu ni dawa tiba kama dawa nyingine za tiba,hivyo zinahitaji kuwa na "prescription" kutoka kwa wataalamu wa afya,lakini cha ajabu dawa hizi zinauzwa kiholela holela tu kama...
Taharuki yaibuka mkoani Arusha baada ya mwanamke mmoja Ester ambae ni mzaliwa wa Singida, Baada ya kuvimba na kuoza kwa kwa vidole vyake vya mkononi kudai kwamba sababu ya tatizo lake hilo baada...
Napenda wataalamu na watu wenye uzoefu mniambie ni vipi mtu anaweza kumhandle mtu mwenye sickle cell. Huyu rafiki yangu ameambiwa baada ya kuwa tayari kazama kwenye bwawa la mahaba anampenda sana...
Homoni ya 'Estrogen' hupungua mwanzoni mwa mzunguko wa hedhi na kisha huanza kupanda kwa kasi kwa siku ya pili au ya tatu.
Hii hupelekea mwanamke kupata hisia na hamu kali ya tendo la ndoa akiwa...
Nimekuwa na tatizo la kusahau sahau yani kitu kidogo tu kukitunza akilini nikifanye baada ya mda flani ama nikifatilie imekuwa ni ishu,
Bado mimi ni kijana nina miaka 32 kwakweli naanza kuogopa...
Tatizo la kuota matiti kwa wanaume dawa yake nini ,matiti yanavimba ukiyabonyeza kunakuwa na kitu kigumu kwa ndani, sasa nataka hako kajitu katoke je nifanyeje? Kama kuna dawa ya asili pia naomba...
Shirika la Afya Duniani (WHO) leo Mei 11, 2023 limetangaza rasmi kuwa Ugonjwa wa Homa ya Nyani (Mpox) sio tena janga la Dharura ya Kimataifa.
Taarifa hii inakuja siku moja baada ya kamati ya...
KUATHIRIKA kiafya kwa baadhi ya watoto wadogo, mama anapopata ujauzito maarufu kama kubemenda, hakutokani na maziwa ya mama kuharibika anapopata ujauzito, bali huduma duni anazopata mtoto,”...
Habari JF Doctors na washauri mbalimbali,
Kama ambavyo kichwa cha habari kinavyohusika,
Naulizia kama nitapata dawa ya kunifanya niongezeke mwili baada ya kuugua muda mrefu.
Natumai mtanipatia...
Habari wana JF,
Jamani hivi ni hospitali gani nzuri kwa clinic ya wamama wajawazito na nzuri kwa kujifungulia na pia hospitali gani ina specialist wazuri kwa kina mama kwa mkoa wa Dar es salaam...
Habar wakuu nimiez7 sasa tangu nigundulike na tatizo la thyroids ambayo ilikua hyper ilikua nauvimbe umeanza upande wakulia multnoduler goiter nkatumia dawa carbimazole.
Mpaka kufikia...
Habari zenu wana JF
nina shida ya kudhibiti tabia yangu. Kuna muda inakua ngumu sana kufanya kazi ambazo zinahitaji umakini wa muda mrefu, kama vile kusoma kitabu au kufanya kazi ya ofisi. Pia...
Wakuuu za sahizi Nimegundua hivi majuzi kuwa mashavu yangu yana nenepa kitu ambacho sijafurahishwa nacho
Nilikuwa naomba kama kuna mtu anayejua dawa au njia ya asili ya kuyapunguza mashavu yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.