African Man Dem has 17 young people, all drug addicts, who receive free social services. They are provided with food, clothing, medical care, and given payments. There are chicken farming...
Jamani mimi mwenzenu naomba kuuliza. Mara nyingi nimekuwa naota ndoto ambapo katika ndoto hizo ni kwamba huwa ninakuwa na uwezo wa kuruka na kupaa hewani nikielea.
Tatizo ndoto hizi huwa naziota...
Habari wana jamvi;
Mimi ni kijana wa miaka 23,kwa miaka isio pungua 7 (saba) nimekuwa nikipitia kipindi kigumu kabisa kiafya hasa kwenye mfumo wangu wa mkojo(urinary system)
1.Nimekuwa nikipata...
NJIA KUMI ZA KUZUIA MAGOJWA YASIYO AMBUKIZWA
Magonjwa yasiyambukizwa ni magonjwa yasiyo na vimelea vinavyoweza kusambazwa.Mfano ni magonjwa sugu ya njia ya hewa ,kisukari,kuoza meno,magonjwa sugu...
Habari wakuu
Nikama miezi miwili hivi nawashwa sana
nikimaliza kuoga.
Naweza kaa nusu saa nzima najikuna hii inaweza kuwa inasababishwa na nini?
Natiba yake ni nini?
Tulikuwa na family day na haya ndio niliyoambulia nikaona they are good news worth sharing.
======================
Moringa (Moringa spp.) maarufu kama Mlonge ni miongoni mwa miti muhimu kuliko...
HATUA ZA KUACHA KUVUTA SIGARA
Madhara ya kiafya yatokanayo na uvutaji sigara ni makubwa na yanahatarisha si tu uhai wa mvutaji bali hata na watu wengine wanaovuta moshi kutoka kwa mvutaji. Kwa...
Wakuu napitia mtihani mgumu sana maishani mwangu,
Mke wangu amegundilika ana uvimbi wa kansa kwenye ubongo unaokua kwa kasi sana na kupelekea macho kupishana maumivu yasio isha ya kichwa...
Habari! Wakuu naomba kujuzwa au kufahamishwa. Kutokana na nature ya kazi yangu imenifanya kuwa kilasiku nakunywa sana energy drinks tofauti tofauti mfano Azam energy (ya chupa na ile ya can), mo...
Wajuzi wa mambo naomba mnisaidie kujua hili. Je, kuwa na ‘v*uzi’ jeupe (unywele mmoja pekee) sehemu za Siri kuna maana gani? Au ni kawaida tuu? Yaani msitu wote uwe unaota mwezi isipokuwa mti...
Habari wanajanvi,kuna hali naiona kama sio ya kawaida kwangu,kwenye mikono napata vipele kama vile vya baridi alafu vinakua kama vinatoa vidude vyeupe,nimeenda hospital kupima magonjwa yote majibu...
WanaJF naomba msaada,
Mimi nina girlfriend wangu huwa hakojoi kabisa pindi tuna gegedana, kwanza tunaweza tukawa na romance ya muda kidogo lakini hafiki kabisa.
Juzi tulikuwa na romance ya kama...
Habari Wana jamvi naombeni msaada wenu, Nina tatizo la uvimbe kwenye Mfereji wa haja kubwa ( Mlangoni kabisa).
Nimevumilia maumivu yamezidi kuwa makali; wakati wa kukaa, kutembea na mbaya zaidi...
Wapendwa wana Jamii Forums salaam,
Ninaomba msaada wa matibabu au ushauri nini afanye, ndugu yangu huyu na mtu wa karibu, maana najua humu kuna madaktari bingwa wa magonjwa ya kinamama.
Rafiki...
Wadau naleta mrejesho kwenu nadhani wiki mbili zilizopita niliwahadithia kisa changu cha kupasuka kondom wakati nikifanya mapenz na demu ambaye siijui background yake NA wasiwasi wangu ulinijia...
Habari wa kuu,
Nimepima kipimo cha homoni. Imejulikana nina tatizo la ongezeko la homoni ya Prolactin, ipo 150ng/dl. Naomba msaada jinsi ya kutatua hili tatzo, aina ya diet inayofaa na dawa nzuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.