Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Karafuu, tangawizi, na mdalasini, Tsh 300 tu. Imekuwa ni desturi yetu kutumia dawa za hospitali sana ambapo matokeo yake ni mda mfupi. Kama umetumia dawa kwa ajili ya maumivu ya tumbo km. Amoeba...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Tangawizi ni mzizi wa mmea wenye faida nyingi katika mwili wa binadamu, ambapo tafiti zinaonesha unaweza kusaidia mambo haya: Tafiti kadha wa kadha zimefanyika na zimeainisha yafuatayo juu ya...
9 Reactions
8 Replies
4K Views
How a glass of red wine or a handful of peanuts could prevent memory loss: Both contain antioxidant that protects cells from age-related damage. Compound in red grapes key in battle against...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hizi ni dalili za mtu mwenye ugonjwa wa afya ya akili ujulikanao kama Sonona (Depression). Kumbuka: Usijitafakari kwa kuona dalili mojawapo na kuhitimisha kuwa unalo tatizo la afya ya akili...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu hili tatizo linatokana Na nini? Msaada please
1 Reactions
63 Replies
3K Views
Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, 7% ya Watanzania wanaathiriwa na Ugonjwa wa Figo na idadi ya Wagonjwa inaongezeka Inashauriwa kuzingatia Lishe Bora, kula Matunda/Mbogamboga, kupunguza kiasi cha...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari za leo wakuu, tumbo langu linaunguruma mpaka linanitia wasiwasi Yeyote mwenye kujua tiba ya hili tatizo anijulishe tafadhali Nashindwa kukaa sehemu zilizotulia kuhofia mlio wa tumbo...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Hizi fluids tatu zinanichanganya sana matumizi yake. Normal Saline ninachojua inatumika kwa mtu aliyepata dehydration au vomiting, kwa hiyo wanampa ili ku replace zile electrolytes zilizopotea...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuna wakati mtu anataka kuwa na shape Fulani lakini inashindikana. Unataka kuongeza uzito lakini inashindikana, unataka kupunguza uzito lakini inashindikana, turudi kwenye aina za miili...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Imenitokea na nashangaa sana. SI kwamba nilikula mbichi no! Haikuwa nyama kwa nyama. Ila Cha ajabu baada ya siku mbili uume na eneo Lilo na warts nikakuta alama alama tu. Nimekuwa mahusiano na...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wadau Mimi ni dume ila huwa natambua kupata kichefuchefu baadhi ya masiku ila sio sana lakini leo kimenijaa sana hivi tatizo linaweza kuwa nini? Je linaweza kufanya vidonda vya tumbo Mapenzi...
3 Reactions
27 Replies
1K Views
Mjadala uliofanyika Machi 3, 2023, katika Mkutano Mkuu wa Chama cha Madaktari Wanawake Tanzania (MEWATA) kuhusu afya ya akili baada ya kujifungua, umenikumbusha mbali. Siku moja napita pita...
1 Reactions
0 Replies
495 Views
Naomba msaada wa riba ya kuwashwa kwa miguu. Ni wiki wa tatu sasa miguu inawasha pasipo sababu hakuna vipele wala alama zozote za kuashiria fungus. Mwanzo nilihisi labda ni socks Ila nina kama...
4 Reactions
54 Replies
3K Views
Habari zenu? Nina ujauzito wa wiki 35 napata maumivu ya makalio, mapaja, mgongo, kiuno na tumbo linakata chini ya kitovu Kama vile kisu nilienda Jana hospital nikafanya ultrasound mtoto...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Ndugu zangu hari yangu ni mbaya kiasi kwamba siwezi kuwajulia khari, Binafsi nilikuwa nabadilisha nguo kutoka kabatini baada ya kuvaa suluali yangu ya jinsi nikachomwa na kitu chenye ncha kali...
1 Reactions
45 Replies
7K Views
Ni nini inaweza kuwa sababu ya mtoto wa miezi 9 kuwa na miguu dhaifu? Yaani hataki kabisa kukanyagia miguu. Ukimsimamisha anajikunja, ukiforce anakaa. Jinsia ni Me. Natanguliza shukurani
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Maumivu ya uongo, uchungu wa Leba ya uongo (false labor, spurious labor). Leba ya uwongo inapatikana zaidi kwenye mimba ya kwanza kuliko kwa wanawake walio wahi kuzaa awali. Kawaida huonekana...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Watanzania suala la kupima sio tamaduni zetu. Watu wengi tumepuuzia magonjwa ambayo sio ya kuambukizwa kama ili la shinikizo la damu na moyo. Kwa matumizi yetu ya vyakula na maisha yetu kuona...
11 Reactions
27 Replies
2K Views
Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Maana japo ni muda ila zile nyuzi hazijatoka japo hospitali walisema zitaoza Na kutoka zenyewe. Zimepelekea mpaka chini ya kicha cha uume kuwa kugumu kiasi maana nyuzi zipo ngangali pale...
0 Reactions
1 Replies
702 Views
Back
Top Bottom