Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Vinywaji vya kuongeza nguvu, visivyo na kilevi, kisayansi vinaelezwa vina kiasi kikubwa cha kafeini, vitamini pamoja na kemikali za taurine, glucuronolactone.Wakati mwingine pia huongezewa dawa...
8 Reactions
9 Replies
5K Views
Mtama ni nafaka iliyo na kiwango kingi cha protini, vitamini B6 na B1 pamoja na madini chuma, copper, magnesium, selenium na zinc. Pia, huwa na kiasi cha kutosha cha kampaundi za Flavonoids...
3 Reactions
12 Replies
6K Views
Imebainika kuwa zaidi ya watoto 3,000 nchini hukosa matibabu ya moyo kila mwaka. Kutokana na hali hiyo, madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto kutoka nchini Kuwait wameweka kambi ya wiki...
0 Reactions
1 Replies
484 Views
Februari 4 ya kila mwaka huwa ni maadhimisho ya siku ya Saratani duniani. Takwimu za Afrika Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), bara la Afrika hupatwa na visa vipya vinavyokadiriwa...
1 Reactions
2 Replies
737 Views
Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Matatizo yanayotajwa ni umasikini, migogoro ya familia au kuugua na kingine chochote ambacho kinaendana na utimamu wa Afya ya Akili. Utafiti wa Chuo Kikuu cha Cambridge cha England umebaini kuwa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa muda wa miaka mingi Sasa kutokana na mihangaiko, hali ya uchumi na harakati za hapa na pale nimejikuta nashindwa kupata mlo wa hasubuhi au kifungua kinywa na mara nyingi naishia kupata mlo wa...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimeamka nije hapa Jamii Forum niweze kupata Ushauri WENU ndugu zangu. Ninasumbuliwa na Ugonjwa kwa Miezi Mitatu sasa. Historia Fupi ya Ugonjwa. Nilikuwa nasumbuliwa na kikohozi...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Mambo vp wakuu natumaini mko vizuri.... Naomba kuuliza mwenye uelewa na hizi dawa za typhoid (Cipro) Naona zinanipeleka Kasi kweli kweli, baada ya vipimo typhoid ilikuwa 160 ila hizi dawa naona...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, mimi nimegundulika nna multnoduler goiter ambayo imetokana na t3 kuwa high sasa wakuu nambiani nin kinasababisha t3 kuwa juu na je tiba gani ya kushusha t3 Sent from my Infinix X656...
0 Reactions
3 Replies
586 Views
Habari za alasiri, Kama nilivyoeleza hapo juu ,nimekuwa nikwashwa kila ninapomaliza kuoga. Muwasho huu huchukua takribani nusu saa ndipo nakuwa kawaida. Mwanzoni nilifikiri ni sabuni ninayotumia...
0 Reactions
55 Replies
9K Views
Hello ,habari za muda huu wa Jf. Nije moja kwa moja kwenye mada. Nina jilani yangu mwenye umri Karibu kama mama yangu. Toka mwaka jana mwezi wa 10 alianza kuugua, kwa mala kadhaa alikua anapata...
2 Reactions
15 Replies
953 Views
Naomba msaada ndugu maana nipo kwenye hali ya masononeko sana nashindwa kuelewa hiki ni nini. Ipo hivi, nipo kwenye mahusiano na binti fulani mweupe sana na ni mrembo kweli kweli ila jambo linalo...
1 Reactions
17 Replies
896 Views
.....
9 Reactions
56 Replies
3K Views
Mkuu wa Idara ya Saratani wa Hospitali ya Rufaa Bugando, Dkt. #NestoryMasalu amesema 40% ya Wagonjwa wote wanaotibiwa tangu mwaka 2009 ni Wanawake wenye #Saratani ya Shingo ya Kizazi. Dkt. Masalu...
1 Reactions
0 Replies
973 Views
Faida Za Zinc Katika Mwili Utafiti umeonyesha kuwa madini ya zinc yana faida nyingi sana katika mwili. Zinc ni muhimu katika utendaji kazi wa vimeng’enya zaidi ya 300 vinavyosaidia shughuli za...
0 Reactions
8 Replies
12K Views
2 Reactions
0 Replies
805 Views
Karibuni tupate Kichwa cha habari chahusika Huwa inapigwa na kidole kabla ya kuchomwa Wenye kujua watujuze tupate elimu. Je ni Sayansi au mazoea? Faida yake Nini hasa? elimu
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Amani ya bwana iwe nanyi nyote. Ninaomba msaada wa dawa ya kutibu ugonjwa tajwa hapo juu ugonjwa unaitwa sinuses. Asante
2 Reactions
7 Replies
708 Views
Back
Top Bottom