Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Habari zenu wana JF? Naombeni msaada wenu kwa anayejua wapi nawezapata daktari au hospital ama nifanye nini, nimekuwa na shida ya meno au dental formular yangu si nzuri, nimekuwa nikisumbuka na...
0 Reactions
1 Replies
859 Views
Wakuu habari za mida Mimi ni kijana wa 20' age . Nimepatwa na ugonjwa [matatizo] ya usingizi uliopitiliza, nimekuwa mtu wa kulala Mara kwa Mara pasipo kuchoka, mawazo, depression zozote. Nikikaa...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu wa jukwaa hili. Jamani mtoto wangu ana tatizo la kikohozi kisichopona.Nimejaribu kumpa kila aina ya dawa ninazoshauriwa na madaktari matokeo hupata nafuu kwa wiki moja tu...
0 Reactions
162 Replies
206K Views
Wakuu habari, naomba kupewa mwongozo kuhusu ununuzi wa miwani. Bei, nini cha kuzingatia na mahali ninapoweza kupata huduma ya uhakika kwa Arusha au maeneo ya karibu. Sababu kuu ni kwa ajili ya...
0 Reactions
12 Replies
815 Views
Wakuu Mimi Nami Nina Tatizo moja. Kila mwezi nasumbuliwa na malaria. Napima, then Namezaga mseto, nakuwa sawa Ila ndani ya siku 30, inarudi tena. Najikuta kila mwezi nameza sawa. Natumia...
0 Reactions
5 Replies
865 Views
Kama haya madhara mnayafahumu kwanini mnapiga kimya hamtoi taarifa kwa watumiaji? Uume ulichubuka na kutoa usaha Then nyie mpo kimya tu Daktari anasema Kuna salfa Lakini why nyie Viongozi wa...
2 Reactions
53 Replies
4K Views
Naomba msaada kwa anaefahamu dawa ya kuondoa maumivu ya kiuno
2 Reactions
4 Replies
810 Views
Serikali imetahadharisha matumizi mabaya ya dawa za antibiotiki ambazo zinasababisha usugu wa vimelea dhidi ya dawa, ikionya hatari ya kutokea madhara makubwa hasa kifo kwa watumiaji. Mganga Mkuu...
0 Reactions
2 Replies
469 Views
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 20, ni mfupi nataka niongeze urefu wa mwili. Je, inawezekana!? Msaada tafadhali.
0 Reactions
36 Replies
6K Views
Habari wakuu, Moja kwa moja kwenye mada mimi ni kijana wa miaka 25, kwa muda wa miaka miwili hivi nimekuwa na tatizo la kutoka kipara maeneo ya mbele ya kichwa, lilianza kidogo kidg mpaka muda...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Kuna nyuzi nyingi sana zimeanzishwa humu watu wakiomba msaada wa kusaidiwa kuondokana na tatizo la uume mdogo. Lakini hakuna hata msaada zaidi ya kukejeliwa na kuchekwa... Kuna walio na tatizo...
6 Reactions
67 Replies
16K Views
Naombeni ushauri jinsi gani navyooweza kuongeza nafasi yangu ya kupata watoto mapacha je kuna dawa?
0 Reactions
31 Replies
27K Views
Habari wadau, Msaada Mwanangu anatapika na kuharisha na muda wote analala tu, naombeni mtu ambae ana experience na hii kitu. Nimeenda hospitali mbili tofauti wamempatia madawa kunywa shida na...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari za leo wapendwa, paracetamol ni dawa ambayo inapatikana kirahisi madukani na intatumika sana Paracetamol inatumika kupunguza homa na maumivu katika mwilini. Ni bora tufahamu dose na...
5 Reactions
9 Replies
11K Views
Nilipima CT-IVU with contrast Muhimbili Na haya ndio majibu Daktari ameniambia niende week ijayo" Nilikua nasumbuliwa na jiwe kwenye Figo" Mwanzoni kabla sijaenda muhimbili kuna hospital nilipima...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI Wadau wangu naamini hamjambo kabisa. Nikiwa kazini, nyumbani au hata nikikaa na wenzangu najisikia vibaya kwani huwa najamba sana na...
1 Reactions
135 Replies
118K Views
Habari ya muda huu ,natumai mmeamka salama yote anayewezesha kuwepo mpaka muda huu ni Mungu pekee. Bila ya kwenda mbali, nimeamua kuandika huu uzi kwa lengo la kupata ushauri juu ya ugonjwa huu...
0 Reactions
3 Replies
829 Views
Kwema? Aisee mimi naishi na mwanamke ambae alikua muathirika akaanza matumizi ya dawa na sikumuacha. Nilimpa sapoti nzuri tu na nampenda sana nilikubali lolote Baada ya miezi 6 siku ya kwenda...
3 Reactions
32 Replies
1K Views
Habari JF member, Ugonjwa wa typhod umeweka makazi ktk mwili wangu, nishatumia antibiotics mbali mbali kama cipro ya egypt, germany, etc Napona kwa miezi miwili then baada ya hapo unarudi upya...
1 Reactions
7 Replies
850 Views
Wiki iliyopita nilipata muda wa kwenda hospitali moja hapa Arusha kubwa tu nilikuwa nasumbuliwa na jino ila bahati mbaya nilienda siku ambayo hawatoi huduma ya meno. Ila kimbembe kinakuja kwa...
3 Reactions
54 Replies
4K Views
Back
Top Bottom