Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!
Wakuu kwema? Jamani naombeni mnifahamishe huu ndio mmea unaotibu vidonda vya tumbo?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natumaiani hamjambo wana JF Nina ndugu yangu Umri ni 50+ anasumbuliwa na tatizo la matiti kupata maumivu makali ya kujirudia rudia hasa upande kushoto yanayopelekea uvimbe, na hujihisi joto pindi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika, Matshidiso Moeti, katika mkutano wa Mawaziri wa Afya wa Afrika, amesema visa hivyo vimerekodiwa katika Nchi 11 na kuongeza kuwa kuna haja ya kuongeza mwitikio wa...
0 Reactions
0 Replies
602 Views
Habari za majukumu wakuu, Miezi miwili iliyopita nilikuwa nasumbuliwa sana na mafindofindo(tonsils) yani yalikua yana vimba na kuuma sana nikitumia dawa yana pona, baada ya siku mbili yana rudi...
12 Reactions
32 Replies
6K Views
Habari za jioni wakuu, kama kichwa kinavyosema hapo juu, nina ndugu yangu Ana shida kwenye mapafu, uwezo wake wa kuvuta hewa ni mdogo naomba msaada kwa yeyote mwenye kujua, kwa sasa anatumia...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
Wataalam nsaada tutani ugonjwa huu unamsumbua dogo akipewa dawa za alergy anatumia akimaliza tatizo ilanarudi. Rejea pichani, With regards,
1 Reactions
3 Replies
714 Views
Habari Wana jamiiforum, Mke wangu ambaye ana miezi mitatu tangu atoke kujifungua mtoto wa kwanza amekuwa na tatizo la kutokwa damu Mara tu tunapoanza mchezo wa kikubwa yaani ukisukuma Mara mbili...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Wataalamu wa afya wamesema tatizo la mvurugiko wa homoni ‘hormone imbalance’ ni chanzo kikubwa kwa mwanaume kukosa nguvu za kiume na mwanamke kutokuwa na hamu ya tendo la ndoa. Hata hivyo, wengi...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu Habari ya jioni, Natumai mko vyema, nilikuwa nahitaji. Msaada wa dawa ya allergies mpaka sasa nimeshatumia dawa hizi Centrizine na predesoline lakini bado sijafanikiwa kutibu tatizo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari zenu? Leo baada ya afya yangu kuyumba, nilienda hosp kucheki afya yangu, baada ya matibabu nilipewa dawa nikiwa nimeandikiwa nitumie 1 mara 3 Kwa siku 5 na mfamasia , akifafanua Kwa...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wanajamvi 1) ASTHMA, COUGH ALLERGY: For the treatment of these diseases the Following method is adopted. Take a cup of warm water, one spoon of honey and half tea spoon of Kalonji oil...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Hivi hili tatizo gani ndugu zangu Mimi na sumbuliwa na ugonjwa wa tumbo kuvimba Yaani nikila kitu chochote au kunwa kitu chochote ni lazima tumbo langu livimbe atari saana na kibaya zaidi na hisi...
2 Reactions
6 Replies
914 Views
Habari zenu Wana JF Poleni na misukosuko ya maisha. Mimi nina tatizo la kujamba kila baada ya dk mbili yaani tweti four hours na hili tatizo lilianza tangu nije apa kwa wahindi maana nakaa...
9 Reactions
98 Replies
9K Views
Habari zenu wadau Naombeni msaada maana nataka nisafiri kwenda nje ya Tanzania. Nataka nijue wapi wanatoa chanjo ya homa ya manjano na gharama zao pia nataka kujua inatakiwa ifanyike siku ngapi...
0 Reactions
15 Replies
7K Views
Ndugu zanguni ma dakatari wa jf nina mtoto anamiezi mitano. Tatizo lake nikwamba kama vile ana makamasi mengi yamejaa puani lakin hata haya toki kwaiyo anakoroma tu puani. Nimetumia dawa kadhaa...
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Sensa kwa Maendeleo. Jiandae kuhesabiwa Baada ya salaam hapo juu niende kwenye jambo langu. Miezi ya hivi karibuni kuna jambo linanishangaza sana ninapokuwa nachakata mbususu. Goli la kwanza...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, mimi ni kijana wa miaka 33 kwa kipindi kirefu nimekua nashida nikinywa maji hata robo kikombe baada ya dk 20 nitahisi mkojo, nikienda kukokoja ntakojoa ile naumalizia mkojo...
3 Reactions
74 Replies
12K Views
Wandugu wapendwa poleni na mihangaiko ya kila siku, tatizo linalo nisumbua ni kuwashwa sehemu ya kichwa cha uume wangu yaani kunakuwa kama kuna mdudu anatembelea ndani, kujikuna ni shughuli...
0 Reactions
4 Replies
8K Views
Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani imelalamikiwa kutompatia matibabu ya upasuaji wa henia ‘ngiri’ Bathromeo Mapunda, kisha kumfukuza hospitalini hapo kwa kukosa Sh250,000. Awali...
0 Reactions
7 Replies
869 Views
Wanna JF anaejua jina na dawa ya huu ugonjwa anisaidie tafadhali maana nmeenda hospital kupima ukimwi naambiwa Sina. Wanasema labd UTI lakini UTI Sina, mbomba La mkojo linawasha hatari na hvo...
3 Reactions
43 Replies
3K Views
Back
Top Bottom