Hey doctors na wanajamii mi ni mwanafunzi wa chuo nasomea mba ila tatizo langu kila nikiwa darasani au najisomea natokwa na miayo sana tatizo ni nini? Ila nikiwa katika sehemu nyingine hata kama...
KARAFUU ni zao linalotokana na mkarafuu. Zao hili halimo katika kundi la vyakula wala vinywaji lakini ni kiungo na dawa muhimu kwa maisha ya binadamu.
Zao hili lina matumizi mengi, ambapo...
Ule utaratibu wa kumuona tabibu mtaalamu wa afya ya Kinywa na Meno umekuwa hauzingatiwi na wingi wa watanzania. Wengi wamekuwa wakifika kuziba na kung'oa meno tu.
Afya mbovu ya kinywa na meno...
Nina mtoto wa kike mwenye miaka minne. Alikatika meno ya awali(ya maziwa) Kama meno manne ya juu kwa sababu alitumia sana dawa za maji. Sasa hivi jino jipya linachungulia(linaota) juu ya fizi. Je...
Unywaji wa maziwa mtindi husaidia kuboresha afya ya mwili na kupandisha kiwango cha lehemu nzuri mwilini. Kaimu Mkurugenzi, ldara ya Sayansi ya Chakula ya Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania...
Habari member wenzangu wa jf mm ni kijana wa miaka 21 ningependa kupata msaada wa tatizo hili linalonisumbua kwa takribani mwaka 1 sasa la kuhisi maumivu makali sana katika korodani zangu hasa...
KUNA ATHARI GANI KUTUMIA MAYAI/NYAMA YA KUKU WA KISASA?
.
Kumekuwa na imani kwamba nyama au mayai ya Kuku wa Kisasa vina madhara mwilini. Madhara ambayo yamekuwa yakitajwa sana ni pamoja na...
1.Huongeza Kinga yako ya mwili hasa kupambana na magonjwa madogo kama mafua, na kikohozi kutokana na kuwa na vitamin C
2. Husafisha Mfumo wako wa chakula, kuondoa sumu mwilini na kuzuia tumbo...
Hakuna watu wanaojichukia kama hawa waafrika wenzetu waliozaliwa na vimkuyange vifupi(below 4inches)
Wanapata taabu sana kwenye mahusiano na wanakuwa hawajiamini kabisa hata kwenye kula tunda...
Mwaka 2008 wakati naanza mwaka wa kwanza chuo nilikua na Malaria ya kujirudiarudia ambapo nilikua siwezi kukaa miezi mitatu bila kuumwa Malaria.
Nilikua sina raha nikiwaza kuhusu huu ugonjwa...
Watafiti wamebaini takriban 7% ya watu wote duniani hupata Kipandauso, na angalau 9% hupata maumivu ya kichwa siku yoyote
Prof. Lars Jacob Stovner wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia cha...
Habari Wana Jamii Forum?
Mimi huwa napatwa na Hali ya kusikia Mdudu kama inzi akivuma sikioni wakati kukiwa na makelele mengi ila kelele zikiisha hali inakuwa shwari. Na tatizo hili haliambatani...
UKUAJI WA MTOTO AKIWA TUMBONI
Hatua ya kwanza ya ukuaji wa Mimba au mtoto akiwa tumboni huanza tangu yai la mama linapokutana na virutubisho toka kwa baba ambapo hutengenezwa kijusi (zygote)...
habari zenu wakuu natumaini wote wazima humu ndani.
ndugu yenu nimekuja kuomba msaada wa tiba au ushauli kwa yeyote mwenye uelewa wa tatizo langu maana najua humu kuna watalaamu wa mambo ya afya...
Habari docta Mimi nina mzazi wangu anasumbuliwa Sana na tatizo na Hernia nilipompeleka kupata matibabu siku ambayo anatakiwa kufanyiwa upasuaji akupimwa akukutwa na pressure kubwa (BP)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.