PELVIC INFLAMATORY DISEASE (P,ID),Ni maambukizi katika via vya uzazi wa mwanamke au mfumo wa uzazi wa mwanamke,,kwa kawaida maambukizi haya ynahusiana na mji wa mimba (uterus,shingo ya kizazi)...
Habari zenu wana jf,
Nilikuwa nahitaji nipatiwe elimu kidogo juu ya suala hili.,
Kama unafanya mazoezi ya kifua ukiwa nyumbani yan home workout, je unaweza kufanya na mazoezi ya kupunguza tumbo...
Hàbari ndg zangu, mdau mwenzenu nimekuja mbele yenu naomba muongozo au msaada ya Kwanza maana hapa sielewi Hali ilivyo kwangu.
Mimi kijana wa miaka 24 ni mnene na Nina kilo 70,shida yangu kubwa...
Habarini Jf doctor...
Naomba nieleweshwe inakuaje mtu ambaye anaumwa ugonjwa muda wa mchana hali yake huwa Si mbaya Sana lakini ikifika muda wa jioni/usiku homa huzidi kuchachamaa na kua Kali...
WATU wengi wamekuwa wakisumbuliwa na ugonjwa wa Amoeba lakini hupuuzia pale dalili zinapoanza, ni ugonjwa mbaya ambao ukikaa sana tumboni husababisha madhara makubwa , kama kuhara damu kupindukia...
Habari wakuu?
Samahani, kiukweli mimi huwa nasumbiliwa na ugonjwa nisio ufaham ambapo kila baada ya miezi kadhaa naugua ugonjwa dizaini ya malaria na huu ugonjwa umenianza tangu nina almost miaka...
Habarini wataalamu,
Nna mwezI Sasa nilianza kuona vidoti vidogo vidogo mbele kumbe mgongoni vimezagaa.
Siku naenda faragha na mchumba wangu ndo kaniambia umeharibika.
Ushauri wa dawa itakayo...
Hallo ndugu zangu
Leo nataka tuongeleye ugonjwa wa Panic Attack
Ugonjwa ambao unasumbua watu wengi sana katika dunia hii ya leo
Wengi wanashindwa kutambua huu ugonjwa kitu ambacho kinapelekea...
Human papilloma virus au kwa kifupi HPV ni kirusi ambacho husambaa kwa asilimia kubwa kwa Njia ya kufanya tendo la ndoa au kujamiiana. Hivyo watu ambao wanafanya mapenzi bila kinga, Wanaofanya...
Habari wana JF, nimepata mtoto mchanga week ya pili sasa(amezaliwa trh 14 march). Ameanza kukohoa jana trh 30 march, pia ana mafua. Naomba msaada nimpatie dawa gani kama huduma ya haraka.
Poleni na majukumu ya kila siku wakuu.
Bila kupeteza muda niende moja kwa moja kwenye mada.
Kuna kitu kiko ndani yangu kati ya mgongoni na katikati ya kifua, kinanikula kila kila wakati...
habarini!
naomba kufahamishwa kama kuna madhara yoyote ukiwa unatumia dawa ya kienyeji ukawa mda huo pia unatumia na dawa za hospital kutibu ugonjwa huohuo??
mfano mi natibu UTI kwa saiv...
Wakuu Salaam Kwenu nyote
Nina mtoto ana Miaka miwili na miezi kama minne siku za karibuni amekuwa na tatizo ambalo sijalielewa, Anakuwa na kiu sana usiku hasa majira ya saa tisa hadi 11 lazima...
Habari wapendwa?
Poleni na majukumu ya kila siku, Nilikuwa naomba kwa anayefahamu gharama ya kujifungua kwa opareshen hospital ya Ntuka dodoma na hospital ya Benjamini mkapa dodoma anijulishe...
Kwa jina jingine hujulikana kama (Tope tope) Nadhani ni kwa sababu ya umbile lake hasa likiwa limeiva huwa laini mfano wa tope.
Huenda sura yake ikawa mbaya kwa muonekano, lakini ni tunda lenye...
Mara kadhaa huwa naandika na kushauri juu ta tiba za mitishamba.Kwa maana ni jambo lililo damuni kwangu na ninapenda hata wengine wajifunze na waelewe.
Ajabu ni kuwa kuna wakati moderator...
Habari? Naombeni msaada nmeshikwa na mafua makali sana Mimi ni mjamzito, kabla ya kuwa mjamzito nilikuwa nikipatwa na mafua natumia hii dawa inaitwa Loratadine ni nzuri sana coz nilikuwa napona...
Habari wakuu nina tatizo la mwili kuchoma choma kuanzia kichwani mpaka maeneo ya kifuani pale ninapopata joto, tatizo hili nilishawahi kuwa nalo kabla nlipewaga ushauri na daktari ambaye siwezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.