Jamii Health (Jukwaa la Afya)

We care about your health! Uliza swali lolote la kiafya na wanachama wetu watakusaidia haraka iwezekanavyo. Kumbuka: Mficha maradhi, kifo humuumbua!

JF Prefixes:

Dar es Salaam. Afya za maelfu ya walaji wa nyama katika Jiji la Dar es Salaam zipo hatarini baada ya kubainika kuwa nyama inayochinjwa katika machinjio mengi haifai kwa matumizi ya binadamu. Hali...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Waungwana wasalaam. Nimekuwa nikisumbuliwa sana na matamanio ya kufanya mapenzi. Kila ninapokaa muda haukati namuwaza tu girlfriend wangu. Na mawazo yangu yanaelekea kulekule kumtaka kimapenzi...
0 Reactions
21 Replies
18K Views
Pamoja na kwamba uvaaji wa Helmet ni kwa ajili ya usalama wetu, lakn natadakari sana hizi helme tunazochangia hasa sisi wateja mashuhuri wa bodaboda, hebu tafakari' 1. Majasho tunayochangiana...
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Wadau habari za majukumu. Kuna tetesi kuwa kuna dawa za kichina ambazo zinauwezo mkubwa kutibu mafua makali na Allegies(MZIO) Nauliza kama kuna mtu alikwisha kutumia na kupona kabisa. Nina mafua...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Wasalaam nyote, mwenye kujua huduma ya kwanza kabla sijafika hospitali anisaidie. Kifua kimebana sana ghafla usiku huu,kinauma na siwez hata kuongea sauti ni kama ya kuku mwenye mdondo. Maumivu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza...hivi mtu mwenye premature ejaculation anaweza kumpa mwanamke ujauzito??....na je kama ni kweli huyo mtoto atakayezaliwa hatakuwa na mapungufu??... MziziMkavu na wataalamu...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Jaman jana kuna ndgu yangu ana miaka 21 kwa mara ya kwanza kazirai na kinachonshangaza alitoa povu kdg mdomon et hcho n kifafa?na alikua hajawah kuzirai tangu azaliwe..msaada kwa anayehamu please.
0 Reactions
2 Replies
996 Views
Habar wana Jamvi Ni swali moja kwa kina dada, ni kwamba hii ni mara ya pili kukutana na kitu kama hiki. Mara ya kwanza ilikuwa kwa ma x-girl frnd wangu. Huyu X wangu alikuwa anaishi Mkoan...
0 Reactions
43 Replies
35K Views
Hamuwezi kuamini nikisema hospitali ya mkoa wa Arusha, Mount Meru hospital haina Kipimo cha endoscope inakulazimu mgonjwa aende KCMC AU SELIAN Hospital hii ni aibu kubwa sana kwa wizara ya afya
0 Reactions
3 Replies
2K Views
This is a REAL neurological test. Sit comfortably and be calm. 1- Find the C below. Do not use any cursor help. OOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau naomba ufafanuzi na tiba.Mimi ni jinsia Me.umri kati ya 30's tatizo langu ni kwamba nikifanya mapenzi round ya kwanza na ya pili mambo yanakuwa vizuri tatizo ni kuendelea hapo uume unasimama...
0 Reactions
13 Replies
11K Views
Habari, Jamani nina hii tatizo mwenzenu siku ya 3 leo. Ilianza kutapika juzi asubuhi ikafuatiwa na Diarhea. Kutapika ilishaacha ila Diarrhea inaendelea. Hivi mtu unaweza kuwa na Diarrhea kwa...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wengine hudhani ni kisasi au imani za kishirikina na kwamba wahusika wametumwa. Huu ni upotoshaji, lakini ukweli ni kuwa hayo ni magonjwa ya akili ya ngono ambayo yanawakumba asilimia 35 au...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
jamani wazima wote?? si ndiyo? aisee niesoma post moja ya mdau kutoka jukwaa la elimu ambaye yuko kwenye harakati za kuuza viungo vyake vya mwili, yaani FIGO na KONGOSHO! aisee nimejiuliza mara...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Wandugu salama za mida hii? Naomba kuuliza kama sumu mf.ya panya au wadudu huwa nayo ina tbs?kwa nini?
0 Reactions
0 Replies
801 Views
kwa wataalamu au yeyote mwenye uelewa juu ya madhara ya kula nyama ya kuku wa kisasa Naomba kujua kipi ni kibaya zaidi.Nyama.Ngozi ya juu.Mifupa au Nyama za ndani.(figo.maini na firigisi.)
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Habari wanajamii. Nina tatizo mwilini mwangu, nnapopata maradhi kama homa au maumivu mwilini nikitumia dawa ya aina yoyote inanidhuru, mwili unavimba hatari isipokuwa panadol tu! wakati mwengne...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mie bwana Karucee nilijifungua kwa njia ya operation a whole year ago. Najitahidi ku avoid kubeba vitu vizito and all but najikutaga mgongo unauma sana. The other day I was shocked to realize...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu? Mbu nyumbani kwangu wamekithiri kiasi kwamba ugonjwa wa Malaria hautibiki ukaisha kabisa. Vilevile kero ya kung'atwa na mbu kila mahali tukiwa nyumbani vimetuchosha, tunaomba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajamii. Nina tatizo mwilini mwangu, nnapopata maradhi kama homa au maumivu mwilini nikitumia dawa ya aina yoyote inanidhuru, mwili unavimba hatari isipokuwa panadol tu! wakati mwengne...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom