Wana jf msaada wenu tafadhali nina mzazi wangu aliteleza akaanguka bahati baya jiwe lilimchana vibaya sehemu ya kichwani akapelekwa hosp akatibiwa na kuondoka alishonwa nyuzi kadhaa baada ya siku...
Baaada ya kumeza malafin tu hali hiyo ikaanza mpaka leo tokea mwezi wa saba nashindwa kuelewa kabisa ni ugonjwa gani huo.
Mwenye tiba mbadala anisaidie tafadhali.
Ni muhimu mgonjwa kwenda hospitali kufanyiwa uchunguzi
Kitaalamu hufahamika kama empyema thoracis. Ni tatizo la kujaa usaha katika chumba kinachotunza mapafu ndani ya kifua (pleural cavity)...
jipatie aloe gelly Kwa matumizi yafuatayo
kusafisha mfumo Wa damu
kuboresha mfumo usagaji chakula
asthma
kisukari
presha
maumivu ya tumbo
maumivu ya moyo
kupunguza uzito
kukosa hamu ya Kula na...
JUSTINIAN WA BUKOBA
Nikiwa huko (MWANZA) niliteswa sana ili nikubali kuwa ninajua ule mkanda wa Wilfred Lwakatare uliokuwa kwenye mitandao.niliteswa sana nikahojiwa kama nilimmwagia Musa Tesha...
Habari wa JF,natumaini sikuku ilikua njema,jamani nahitaji kusafisha tumbo langu,je nilchanganye nini na nini ili niharishe,mana nahitaji kupunguza mafuta tumboni kwa mda wa siku tatu tu,anae jua...
Magic of cucumbers
1. Cucumbers contain most of the vitamins you need
every day, just one cucumber contains Vitamin
B1, Vitamin B2, Vitamin B3, Vitamin B5, Vitamin
B6, Folic Acid, Vitamin C...
Dar es Salaam. Wanasayansi nchini Marekani wamesema kuwa wamegundua aina ya chanjo, ambayo mtu akipatiwa hataugua tena ugonjwa wa malaria maisha yake yote.
Ugunduzi huo ambao tayari umefanyiwa...
"MADHARA YA KUJICHUA MAARUFU KAMA PUNY*T*; NI HATARI ACHA MARA MOJA"
Kujichua au kujichezea (kupiga puri au punyeto) sio kwa wanaume tu bali hata wanawake wanafanya hivyo, ila wengi wao...
Wana jf! nimekuwa nikiwaza muda mrefu sana,kuna uhusiano gani kati ya mtoto kulia pindi tu anapozaliwa na uhai wake! mtoto anapozaliwa tu ni lazima alie!! nimejaribu kuuliza nikaambiwa kama mtoto...
BEST IN MWANZA: SHUHUDIA PICHA ZA WATU WANAOBEBA MADAWA YA KULEVYA YAKIWA TUMBONI... NI HATARI SANA
Je ni sahihi kuweka picha za namna hii kwenye mtandao?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.