Hi members,
Nasikia kila kona kwamba matajiri wote wakubwa tunaowajua wapo chini ya mtandao wa Freemason/Illuminati. Wawe ni celebrities, wamiliki makampuni makubwa sana, au viongozi maarufu wa...
Serial killer Gary Leon Ridgway alimaarufu kama green river killer, mtu alieua wanawake wasiopungua 49 katika mji Wa Washington kabla hajakamatwa mwaka 2001
MAISHA YAKE
Gary Leon ridgway...
Personal experience
Sept mwaka jana ilikuwa mara yangu ya kwanza kukanyaga ardhi ya Marekani. Kuna vitu viwili-vitatu nikuwa navifanya pale Arlington City, Washington DC.
Nikiwq nakatiza mitaa...
Salamu wakuu,
Baada ya kutazama baadhi ya filamu na tamthilia mbalimbali zinazo husu au zinazo husisha mapigano (filamu inaweza ikawa na lengo fulani lakini mapigano yakawepo kwa kiasi kidogo...
Umasikini ni hali ya mtu, familia au jamii kushindwa kumudu mahitaji ya lazima ya chakula, mavazi na malazi.
Umasikini, hatahivyo unapofafanuliwa hauwezi kuacha kuhusishwa na "Akili" na "Mwili"...
Wapo watu wanaoamini hakuna ugonjwa uitwao Upungufu wa Kinga Mwilini(UKIMWI) hawa wamejikita kinadharia zaidi
Wapo pia wanaodai ugonjwa huu unatibika ila Wazungu hawataki kutengeneza dawa ya...
In a daunting warning, NASA predicts that the Sun will reach a so-called solar minimum by the end of 2019 or 2020, and when that happens, that star's central star will emit far less heat than...
nataka kujua katika akili za wanyama a.k.a ufahamu wao, sisi binadamu wanatuonaje au wanatufahamu vipi..........je, wanatufahamu kama wanyama? wanatuchukulia kama viumbe flani vya ajabu...
Kuna habari mbalimbali kuhusu huyu bwana hususan hata kuhusiana na wanyama waliotoroshwa na biashara ya wanyama kwa ujumla. Lakini sidhani kama ni miongoni mwa watu waliofikishwa mahakamani...
Kwenye misitu mizito ya Eurasia na kusini mwa marekani hasa Argentina ndipo asili ya mbwa mwitu wa kijivu (The grey wolf). Ni jamii ya wanyama wenye meno makali sana (canine) na ni adui mkubwa...
1.VITA VYA PILI VYA DUNIA (1939-1945)
Adolf Hitler na Nazi Germans walipojaribu kuvamia na kuitawala Ulaya 1939, karibu dunia nzima ilipigana vita hii ambayo mpaka sasa katika rekodi ndio vita...
Kwa zamani, dunia ilionekana kuwa kubwa, labda kwa sababu hakukuwa na mitandao mingi, kulikuwa na ugumu wa kupata habari kutoka sehemu nyingine za dunia, yaani kama upo Tanzania, ilikuwa vigumu...
Naomba niegemee ktk pande hizi mbili,Mungu wa kikristu na yule wa kiislamu.. kwangu Hawa ni Miungu wawili tofauti(sipo kulijadili hili), Msingi wa mada husika utaegemea ktk pande hizo mbili...
Maandiko ya Da Vinci si ya kudharauliwa kama mpango wa hila za kutunga. Kauli yake kwamba Yesu Kristo amepikwa kwa madhumuni ya kisiasa, inahatarisha msingi hasa wa Ukristu. Mtunzi wake, Dan...
Binadamu anafanana DNA yake na sokwe kwa zaidi ya 90%. kwahiyo babu wetu wa kale na sokwe walifanana sana na inasemwa walitoka chanzo kimoja. Babu yetu huyu aliishi msituni kama sokwe na...
Karibu viongozi wengi waliofariki nchini, kilichofuatia kabla ya kuzikwakwao ni Serikali kuingia gharama za kutengeneza mazingira kwa ajili ya msibakufanyika vizuri, iwe ni kupitisha greda ili...
#TANO ZA JUMA; Unahitaji Falsafa Ya Maisha, Jinsi Ya Kuwa Mstoa, Misingi Mitatu Ya Maisha Bora, Falsafa Ya Ustoa Na Utajiri Na Acha Dunia Ifanye Yake.
Rafiki yangu ninayekupenda sana,
Nachukua...
kuna haya maneno katika kitabu cha Mwanzo yanayosomeka hivi:
Mwanzo 1:28 BHN
Mungu akawabariki na kuwaambia, “Zaeni muongezeke, mkaijaze nchi na kuimiliki; muwatawale samaki wa baharini, ndege wa...
Wanasayansi watafiti wa Italy kwa mara ya kwanza wamegundua ziwa kubwa la chini ya ardhi(underground lake) katika sayari ya Mars.
Ziwa hilo lenye upana wa Kilometer 20 kutoka ukingo mmoja kwenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.