Taarifa ifuatayo hapa chini imedukuliwa wakati ikitumwa kwa Kamishena Jenerali wa Uhamiaji, Jamii Intel. someni wenyewe, pengine kuna ukweli ndani yake.
Message to CGI
TAARIFA: URAIA UNAOTILIWA...
Wasalaam wakuu,kwenye jamii yetu tumeaminishwa kuwa watoto ni Malaika hawana dhambi wala hatia yoyote(hata mimi nakubali hili).sasa mimi nauliza kama kweli watoto ni Malaika kwa nini wana roho...
Kupitia Utafiti wa Zecharia Sitchin mwaka 1976 "The Earth Chronicles" juu ya maandishi ya 14 tablets yaliyoandikwa na Mfalme wa Sumeria (Mesopotamia), Enki (miungu ya Annunaki); unaonyesha kuwa...
Umewahi kwenda ziwani kisha ukakutana na maji yakiwa na rangi ya pink kama vile yamemwagiwa rangi ya Sadolin?
Najua wengi kwenu ni jambo geni hata kwangu pia nilipoona picha kwa mara ya keanza...
Tangu Chombo cha Wamarekani Apollo 11 kilichoongozwa na Neil Armstrong kimefika mwezini mwaka 1969, ni miaka 50 sasa, hakujawahi tena kupelekwa wanaanga wengine mwezini. Nini kilijiri kwenye hiyo...
Jupiter au Mshtarii ni sayari ya tano katika mfumo wa jua(solar system) .Jupiter ipo umbali wa km 778 million kutoka jua uku ikitumia miaka 11.86 kumaliza mzunguko wake ktk obiti(orbit) na pia...
Wasalamu wakuu!
Moja kwa moja kwenye mada.
Watu wamekuwa wakifundishwa mafundisho mbalimbali kuhusu mbinguni na kuzimu. Mafundisho mengi kama si yote ni uongo na uzushi mtupu. Dunia imehadaiwa na...
Habari wana jamvi, Asubuhi ya leo itakua vyema tukizungumza kwa mitazamo tofauti hususani siasa zetu hapa nchini na Afrika katika nyezo ya kidukuzi (INTELLIGENCE).
Siasa zetu na mahali pengine...
NI NANI aliyevumbua Amerika?
Hakuna anayejua kwa hakika. Jibu lategemea sana jinsi unavyoelewa maneno “kuvumbua” na “Amerika.” Kwa vyovyote vile, nchi hiyo kubwa ilikaliwa na watu kwa mamia ya...
aaaaaa aha h raha sana tunapeta tu baada ya Dreamliner kutua.
Mungu kasikia kilio cha wanafunzi tuliohitimu na nyumbani kwa kukosa kazi.
Special thanks kwa Mkuu wa Chuo Cha Tanzania Aviation...
Mwanasaikolojia Edward geiselman ni Miongoni mwa waliofanya tafiti nyingi sana kuhusiana na Cognitive interview ( mahujiano ya utambuzi ) katika chuo kikuu cha California . Njia hizi ndizo...
1. Agents come early
According to Robinson, Secret Service agents and White House staff first visit the president's destination up to three months in advance to meet with local agencies. There's...
Lion City – Qiandao Lake, China
Mji huo ulifurikishwa maji kwa makusudi mwaka 1959 ili kujenga ziwa na kituo cha umeme kinachotumia nguvu za maji. Lion City (uliochukua jina la Lion Mountains)...
Ngugi wa Thiong'o ni mwandishi nguli wa riwaya na tamthiliya.miongoni mwa kazi ni:"this time tommorow" ,"weep not child"na "the grain of wheat".kitabu chake kilichofanya niandike uzi huu ni kile...
Hili ni nino lililojichukulia umaarufu mkubwa Duniani. R.I.P ni neno ambalo japo mzizi wake ni kwenye madhahebu ya kikristo maarufu lipo katika lugha za nchi nyingi mbalimbali duniani bila kujali...
Habari za usiku sana bodi
Nikiri nimekuwa nakutana na hawa jamaa sana either kazin au mtaani,ila sana sana kazin.
Wanakuja kwa gear ya mapenzi and all that ila baada ya muda wanaanza kukulilia...
Je, umewahi kujiuliza maisha yako na ya familia yako yatakuwaje wakati ujao?
Je, unafikiri utapata ufanisi, au utakumbwa na umaskini?
Je, utapata watu wanaokupenda, au utakuwa mpweke?
Je...
Miaka ya mwanzoni wa 1990s ilikuwa na matukio fulani,kwa sababu hatukuwa na social networks ilikuwa ni vigumu
kujadili unjamvini.
1.Kwamba Kitwana Kondo (aliyekuwa Meya wa Jiji)alimpa Mzee...
Usiku wa Ijumaa ya tarehe 27 Julai 2018 siyo wa kukosa kuangangalia angani. Usiku huo, Mwezi mpevu utafunikwa kabisa na kivuli cha Dunia na kusababisha kupatwa kamilifu na kuonekana wa rangi...