Wanatujengea nyumba nzuri sana,wanashinda juani na kula huwa juu yao chai na Chakula cha mchana,watoe humo humo kwenye 15,000 na 8,000,ni sahihi?
Mh.Lukuvi tunakuomba uungurume juu ya hili...
A 79-year-old retired officer of the CIA, Bill Oxley, has made a series of stunning confessions since he was admitted to the Mercy Hospital in Maine on Monday and told he has weeks to live. He...
Kuwa Kiongozi c jambo dogo tena kuongoza mamilioni,ni mpango wà Mungu.
Tunaona viongozi Kama Yusuph waliota ndoto na wakajua,sasa enyi waanndishi andaeni makala muwahoji marais tujue wAlikuwa na...
Habari wanajamvi,
inapotokea mtumishi amefuata taratibu zote za kuomba uhamisho, yaani ameomba nafasi ya kuhamia sehemu kupitia kwa mwajiri na akajibiwa kupitia kwa mwajiri kuwa nafasi ipo na...
The purpose of death is to end “old” life and so to allow “new” life to arise. This is a “religious” reference but It applies to all aspects of living reality, the seed has to die, to allow the...
Jamani mwenzenu nimekulia airport-tabora na tulikuwa tunaendea vhombo vya kuchezea vilivyotoka kwenye Ndege ila cha ajabu ni muoga kupanda Ndege sijui kwanini,huwa najiuliza ikipatikana fursa...
UMEONA HIYO PICHA HAPO JUU HIYO NDIYO MILK WAY GALAX AMBAYO TUNAISHI SISI IKIWEMO DUNIA NA SAYARI NYINGINE NANE, Katilati ya hiyo galaxy yetu ndipo kuna ile black hole (shimo jeusi tiii ) ambapo...
Habari wakuu,
Nipo katika mchakato wa kufungua biashara mahali, lakini nikiwa katika mchakato huu kuna jamaa aliniambia, "aisee kuwa makini na chumaulete mtaa huu"
Nahtaji kujua yafuatayo,
Ni...
Siku nyingi nimekuwa siamini kama kweli kuna uchawi katika Tanzania hii, achilia mbali huko kwa wengine. Nimekuwa siamini kwa sababu makosa yote hapa nchini yana adhabu zake isipokuwa la...
tunaiomba serikali itoe posho kwa madaktari na usafiri wa pikipiki ili wagawane vijiji kuweza kufika kuthibitisha iwiwao kifo kitatokea,siyo watu wanazikana kienyeji,tutazikwa wazima
niite mlokozi
pengine labda sijaisoma vizuri biblia na kuielewa na ndio maana nimekuja hapa kuuliza wabobezicwa mambo haya ya 'elimu ya Uungu' kuwa
maji, giza, Nuru, na upepo viliumbwa siku gani kati ya zile...
Huenda baba wa mauaji duniani tunamjua anaitwa Kaini
Baba wa usaliti duniani anajulikana
Baba wa chuki duniani anajulikana
Sasa Je nini chanzo cha magonjwa duniani
Kwa nini tunakuwa wagonjwa na...
EXCLUSIVE: Great Lakes Region on Brink of War Amid ‘Museveni Assassination Plot’
By Kim Aine
Posted on August 1, 2018
Special Forces guarding President Museveni's plane at Entebbe Airbase
On...
Kuna aina mbili za mapacha ambazo ni mapacha walioungana na mapacha wa kawaida
Pia unaweza kusema mapema wanaofanana na mapacha wasiofanana
Sasa mimi nalenga kuwazungumzia mapacha wa kawaida ambao...
Habari za asbuhi wana jukwaa moja kwa moja niende kwenye mada husika.
UTANGULIZI
Mfalme menelik II a.k.a Dagmawi sahle maryam menelik alikuwa mtawala wa Ethiopia kati ya 1889 hadi 1913 ambapo...
Salaam wakuu,
Leo naomba kujua kuhusu wachawi, je kwa nini huwa wanashindwa kutoka gerezani kama wakifungwa? Kwa nini hata wasijigeuze mende au mjusi ili watoke? Au ndio tuseme uchawi una...
Kwa ufupi tu Malkia Candace Amanirenas ama KENDAKE alikuwa malkia wa ethiopia ya kale yaani KUSH EMPIRE ambayo kwa kipindi hicho utawala wa meroe ulikuwa Sudan ya sasa.
Alitawala kuanzia 40 BC...
Habarini,
Katika pitapita zangu za kujua vitu nikakuta hii kitu kuhusiana na dunia kutokuwa ni duara na ni tambarale pia haizunguki katika muhimili wake kama tulivofundishwa huko shule za awali...
Katika harakati zake za maisha tangu siku yake ya kwanza, binadamu amepitia mambo mengi ya kijamii na kiuchumi. Moja ya mambo hayo ni Vita, kwa wanahistoria Kuna Vita nyingi maarufu na zisizo...
Hii sherehe ilihurudhuriwa na viongozi wakubwa wa nchi za Ulaya. Kukafanywa maonyesho makubwa sana lakini hata kama tunasema ni sanaa lakini hii mimi sijaielewa kabisa, maana hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.