Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Heko kwenu wadau, Wakati fulani nilipokuwa nasoma kitabu cha THINK LIKE A CHAMPION kilichoandikwa na Raisi Donald J. Trump nilisoma mahali fulani ambapo aliitaja hii namba 1.6180339887 kama...
6 Reactions
117 Replies
18K Views
Sun Tzu alikuwa kamanda wa jeshi na Mwanafalsafa wa kichina enzi hizo china inatawaliwa na maemperor. Siku moja Sun Tzu akamwambia mtawala (tumwite mfalme) kuwa, mtu yoyote anaweza kuwa...
8 Reactions
20 Replies
5K Views
Katika bibilia Mungu amendika kwa Vidole vyake mwenyewe Mara nne. 1: Alipoandika Amri Kumi kwa mara ya kwanza. 2: Musa alipozivunja zile mbao, Mungu Alizirudia tena na kwa mara ya pili. 3...
7 Reactions
49 Replies
20K Views
Habari jf..nimekua nikiona maandiko mbalimbali kuhusu Hawa viumbe wanaosadikika kwa jina la aliens..Na nikiwa najiuliza je ni kweli Wana exist??? Kama wapo ni ndan au nje ya Dunia?? Najiuliza pia...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
1 light year(distance) = 1 year time Kama umbali kutoka Galaxy moja hadi nyingine ni 65 light years, kwahyo Aliens waliopo kule wakiangalia duniani bado wanaona Dinosaurs walioishi miaka million...
2 Reactions
68 Replies
9K Views
Kusema kweli serikali inapoteza mapato ktk mitañdao ya kijamii,kwa nini isichukue mia moja au mia mbili ili tuchangie madawa,maji na huduma zingine. Tuseme kweli kumbe uchumi mzuri maana...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Udsm in chuo kikubwa na sifa yake kubwa ni kupata bahati ya ukumbi wake maarufu wa lecture Nkruma hall kuwa kama. Nembo ktk noti ya tsh.500 Pia wahitimu wa chuo hicho ni kama uhitimu na kozi ya...
0 Reactions
36 Replies
3K Views
Ukizunguka mjini siku ya Ijumaa Jioni na Jumamosi Utaona sehemu kubwa ya maduka yamefungwa kama sehemu ya imani yao na watu wengi kukiri waumini hao wamekuwa wengi kuliko walokole ambao siku za...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari za majukumu wanajamvi? Naomba niende moja kwa moja kwenye maada husika. Naomba ufafanuzi wa maswali mawili kuhusu mwezi. 1. Kwanini huu mwezi ambao ni duara kuna kipindi huwa unaonekana...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Nikisoma Vitabu Vya Dini Hasa Biblia... Mungu wa Kuanzia Kitabu Cha Mwanzo Au Vitabu Vya Kale Ni Tofauti Sana kitabia na Mungu wa Agano Jipya. Tabia za KiMungu Alizokuwa nazo Katika agano la Kale...
14 Reactions
2K Replies
92K Views
MUSA KWA MAELEZO YAKE ALIOKOTWA AKIWA MDOGO AKAISHI KWA PHARAO ALAFU AKAWA MKUBWA .... AKAENDA KUWAKOMBOA WAMISRI..... KUKAA KWA PHARAO HUYU JAMAA ALIKUWA ANAJUA MENGI SANAAAAA... NAISI KUNA...
1 Reactions
54 Replies
10K Views
Wanabodi ya JamiiForums, Tanzania ina upungufu mkubwa wa umeme, lakini tukiangalia miaka ya awamu ya kwanza chini ya Mwl. J.K Nyerere, Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Benjamin Mkapa kulikuwa na juhudi...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mamlaka ya duniani yanamwakilisha Muumba na sharti yAheshimiwe,ukisema tusitoke nje itakuwa sababu umewekewa nguvu duniani na mbinguni malaika wanajua,sababu umeapa,sasa Why uogope kuidhinisha...
0 Reactions
5 Replies
940 Views
Bahati ilioje waziri was mambo ya ndani mh.Kangi Lugola aliwahi kuwa afisa was ngazi za juu wa polisi atakuwa analijua hili. Polisi wengi wanatumia simu za tochi sasa watazuiaje makosa ya...
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Wataalamu wa maswala ya anga wametabiri kwamba ifikapo mwaka 2022 kutatokea na nyota mbili kugongana na kulipuka na kuwa muunganiko wa nyota moja ambayo ni nyota ya "Rednova".Athari yake...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu.. Kuna watu wawili nimewaexperience katika maisha yangu.... Mmoja ni kaka yangu na mwingine ni Dada mmoja aliwahi kuwa bosi wangu.. Watu hawa muda mwingi wamekuwa wakilalamika kuwa...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Habari zenu tena. Kama kichwa cha uzi kisemavyo, nini kitatokea endapo dunia itaacha kujizungusha ktk mhimili wake na kulizunguka jua ghafla na kutulia tuli, nini kitatokea? Wale wajuao in...
1 Reactions
121 Replies
14K Views
Habari wadau, Hivi Yesu Krisu alipokuwa anawaambia wanafunzi wake/Watu kuwa: "Waacheni watoto wadogo waje kwangu kwa maana ufalme wa mbingu ni wao" Je? 1.Kwani walizuiliwa Kwenda kwa Yesu...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Karibuni sana tena Wazee wa Conspiracy Theories kwenye uwanja mwingine wa kujifunza masuala ya Mwanadamu kwa mtazamo wa kidunia. Najua humu kuna watu wana dini zao, so nitawaomba tuache pembeni...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari zenu wapendwa wangu wa humu ndani, ninahitaji kufahamishwa kuhusu jitendo cha baadhi ya nguo kuzalisha umeme, kwamfano unaweza kuchukua shuka au nguo yoyote usiku gizani halafu ikatoa...
2 Reactions
25 Replies
6K Views
Back
Top Bottom