1.Upo hotelini una mambo yako binafsi unakunywa zako kinywaji,
Meza jirani kuna mtu naye yupo busy na mambo yake, humjui hakujui wala hamjawahi onana,
Gafla anakufuata anakuomba umuangalizie...
naomba kuuliza je kuna nini katika uchimbaji wa uranium katika nchi hii
maana hata dhahabu uzingatiaji wa afya za wananchi hakuna lakini tunataka kuchokoza madini hatari yaliyokaa chini na uwezo...
Hebu tuzungumze leo juu ya ubaguzi. Mara nyingi huwa tunasikia na kuangalia kwenye vyombo vya habari juu ya ubaguzi dhidi ya watu wengine. Mara nyingi habari zinazosikika zaidi ni kwamba watu...
Matokeo ya utafiti yaliyotolewa mwezi April mwaka huu yanaonyesha kuwa kwa zaidi ya miaka 40 iliyopita wanawake barani Afrika wamekuwa wakizidi kuwa wafupi.
Katika utafiti ulioitwa "Heights of...
Hendrik Witbooi ni shujaa anaeheshimiwa nchini Namibia kwa kuliongoza kundi la watu walioitwa Nama kupigana na Wakoloni wa Ujerumani.
Hendrik Witbooi aliishi wakati gani?
Hendrik Witbooi alizaliwa...
WanaJamii kuna nyeti ambayo inakuja na inahusiana na mambo ya usalama wa nchi...nadhani media za Tanzania zitaipick tuu quite soon au mnao scan mambo ya nje mtakuwa mshakiona hicho chuma...
Kuna maswali mengi sana wanadamu tunajiuliza mengine yana majibu na mengine yanakosa majibu sana sana maswali yale ya kiimani zaidi.
KIFO _Kuna maandiko yanasema kila kilicho na Uhai basi siku...
Kuna watu kadhaa maarufu inasemekana walisha kufa ila bado sijathibitisha kama ni kweli nao ni:
1:mithun chakrabority
Huyu kila nikimgoole naambiwa ashakufa,
2:john cena
Nasikia alikufa kwa ajali...
Habari za asbuhi wana jukwaa bila kupoteza muda embu twende moja kwa moja kwenye mada
MWANZO
Hannibal barca alizaliwa mnamo mwaka 247 BC... alikua jenerali wa jeshi la CARTHAGE yaani Tunisia ya...
Ndugu wana FJ,
Naandika uzi huu ili uweze kumfikia Mkurugenzi wa Hospitali ya Mkoa wa Mwanza au Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mwanza.
Siku chache zilizopita nilikwenda katika hospitali ya Mkoa kuchukua...
World Cup imemalizika na moja kati ya mambo yaliyovuta hisia za wengi ni Rais wa Croatia Mwanamama Kolinda Grabar. Wengi tumezoea kuona Rais akilindwa na walinzi lukuki lakini hali ni tofauti kwa...
Wana Jamvi karibuni tena Katika Mada pendwa Za Ulimwengu wa Kiroho.. leo Ningependa tupeane Mbinu za Hawa Watu wenye Wivu aka Wachawi mana Hawana Faida Yeyote ile zaidi ya Kukuonea Wivu na...
Moja kati ya mashushushu hodari kuwahi kutokea katika historia ya jumuia ya kiintelijensia nchini Israel, ni Eliyahu (Eli) Cohen na Wolfgang Woltz ambao, kwa sababu ya kazi zao za kuhudumia...
Vincent Willem van Gogh (30 Machi 1853 - 29 Julai 1890 ) alikuwa mchoraji kutoka Uholanzi.
Huhesabiwa kati ya waanzilishaji wa uchoraji wa kisasa. Aliacha picha 864 na vichoro zaidi ya elfu moja...
Je’ ni kweli kila kitu ni mpango wa Mungu? Kwa muujibu wa biblia yapo maandiko mengi ambayo kwakweli yana hitaji tafakari nzito, kuyaelewa. baadhi ya maandiko ya biblia…Ni kama haya.
4 ‘’Bwana...
Source:
Daily News, Friday, 24th October 2008, Page 22.
Public Notice
Application for Content Services Licences (Broadcasting Licences) to TCRA.
Name of Station:
ABC Television
P.O. Box...
Ni suala ambalo nimekuwa nikijiuliza sana, nimejaribu ku-google lakini sijafanikiwa kupata chochote kulingana na swali linavyouliza hapo juu. Sana sana nilichokutana nacho ni Most Powerful...
Baraka za CCM kinga ya ufisadi Benki Kuu
Lula wa Ndali-Mwananzela Januari, 16, 2008
HIVI nikikuuliza ndugu msomaji ni mbunge gani wa CCM ambaye jina lake linaweza kukujia mara...
Wanadamu hawakuanza Kunena kwa Lugha (Glossolalia) iliyonje ya uelewa wao pale Yerusalem kama ilivyoandikwa kwenye baadhi ya Vitabu Vitakatifu.
Miaka Mingi BC kuna matukio kadhaa ya watu kunena...