Habari za humu ndani.
Miongoni mwa vitu ambavyo nimewahi kuvisikia na kushindwa kuvielewa ni hii iitwayo "Gödel's incompleteness theory" ambayo licha ya kupitia sehemu mbalimbali kama Youtube na...
Na Christopher Cyrilo
Moja kati ya mashushushu hodari kuwahi kutokea katika historia ya jumuia ya kiintelijensia nchini Israel, ni Eliyahu (Eli) Cohen na Wolfgang Woltz ambao, kwa sababu ya kazi...
Wakati UNAFIKIRIA,..
...unafikiri UNAFIKIRIA jinsi UNAVYOKIFIKIRIA unachokifikiri?
Na kama kuna MISINGI ya jinsi ya KUFIKIRIA KITU,...
....labda unauhakika kila mtu anapatia jinsi ya kufikiria...
Mkuu wa mkoa wa Dar-es-Salaam Paul Makonda ameamua kulivalia njuga suala la biashara ya mihadarati nchini.
Bwana Makonda anaamini kwamba mkoa wa Dar-es-Salaaam ndiyo unaoongoza kwa biashara hii...
Kiimani na hata mahala pengi tu utawasikia Watu wakisema kwamba Mwenyezi Mungu hakosei, hajakosea na kwamba huwa hakosei na wengi wetu ama Kiuwoga au ' Kimbumbumbu ' tu au kwa kuwa wa ' hovyo...
An unidentified flying object, or UFO, in its most general definition, is any apparent anomaly in the sky that is not identifiable as a known object or phenomenon.
Such anomalies may later be...
Habari wadau,
Hi ni kwa watalaam wa magari na wapenzi wa magari pia. Mimi naomba ushauri wenu au wakunielekeza wapi niende,mimi hapa na toyota corolla E110 ya 1998,engine 4aFe speed 220km/h gari...
Israel ndio inajulikana kama taifa teule la Mungu na kuna ushahidi mwingi mitandaoni kuwa dunia ilianzia mashariki ya kati....
Mengi yanayoandikwa kuhusu hizi dini mbili zinazomtambua Mungu...
Katika mapokeo ya Mwanzo 11 Babeli ulikuwa mji wa kwanza uliojengwa baada ya gharika kuu. Binadamu waliamua kuwa na jengo kubwa katika mji na kilele chake kifike mbinguni. Mpango huu haukumpendeza...
Kama mada inavyojieleza,
Nimekua nikisikia na kusoma katika maandiko ya vitabu vitakatifu kwamba kufa ni pumziko la milele, yani ukishakufa ndo basi tena unapotea jumla.
Lakini maandiko hayo...
Alphakrust Ltd is a subsidiary company of Alpha Group, the company boating as one pioneered the first Integrated Shrimp Aquaculture Project in Mafia Island, Tanzania.
That Around East Africa...
Siwezi Kuandika mengi hapa, ila nimekaa masaa matano najaribu kuilazimisha akili
yangu ipinge uwepo wa Muumba, akili imekataa kabisa. Haya ndiyo yaliyonifanya
nikiri kuwepo kwa MUUMBA wa kila...
Ndugu wana jamii intelligence (JI), nimekuwa nikijiuliza ni kitu gani kilocholikumba bara la Africa.. kiasi ambacho kwa miaka takriban 2000, bado ni bara omba omba, la hovyo kabisa na dhalili...
In short, they do consciously embrace a god -- and it is "the self". Unfortunately many of them do not simply reject Christianity and proceed to mind their own business; they invest their energy...
YESU ALIKUA MTAWA WA KIBUDDHA NA ALITUMIA MIAKA 16 NA ZAIDI HUKO INDIA NA TIBETI
Hadithi ya maisha ya mtu maarufu sana aliyewahi kuishi katika ulimwengu huu, kwa kweli, imejawa na mapengo...
tunapoishi tunaishi tukijiandaa kwa ajili ya kitu kimoja tu. maandalizi yetu sote yangepaswa yawe kwa ajili ya siku ya kufa. inawezekana mara nyingi kutokana na uzuri wa maisha kwa wengine husahau...
Wakuu wanajukwaa salaam kwenu.
Binafsi napenda kutambua mchango wa wadau mashuhuri wa jukwaa hili, nikiwataja kwa uchache The bold , MSEZA MKULU , barafu na wengineo wengi ambao kwa kiasi kikubwa...
Wana JF, pamoja na kwamba ninafahamu kwamba Polisi hufanya kazi zao kwa kuangalia ratiba yao wenyewe na mara nyingi bila shinikizo, ninashawishika kuuliza hatma ya tuhuma zilizotolewa na Dr...
Ukiwapa taarifa Polisi kuwa mahali fulani kuna maiti, kauliwa au kajinyonga, watakuja kichwakichwa bila ya note book ya kuweka michoro wala camera. Watakachokumbuka ni gloves tu. Hivi kwa wao...
Kuna mambo ambayo yanatokea humu duniani ambayo yanamfanya mtu yoyote yule ajiulize maswali mengi bila kupata majibu,kuna zile habari za vyama vya siri ambazo leo zinaonekana kama ngano kwa baadhi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.