Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

MAJI YA BAHARI MBILI KUTO KUCHANGANYIKA. JE, HII NI MIUJIZA YA ALLAH AU NI UKOSEFU WA ELIMU? Leo nitajibu hoja dhaifu ya Waislam kuhusu madai ya maji ya Bahari mbili kuto kuchanganyika. Je, hii ni...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
BIASHARA YA UTUMWA NA DHAMBI YA MAREKANI, LIBYA Tangu Machi 19, 2011, mataifa makubwa, Marekani, Ufaransa, Uingereza, Italia na mengineyo, wakitumia Jeshi la Kujihami la Nchi za Magharibi (Nato)...
21 Reactions
31 Replies
3K Views
Watu wengi wanajiuliza kwa nini Idara ya Usalama wa Taifa TISS haitangazi kazi hadharani kama idara za nje?? Tatizo ni kitu gani? Ukweli ni kuwa muundo na utendaji kazi wa idara za usalama wa...
5 Reactions
74 Replies
17K Views
Tarehe 3 mwezi wa 4 mwaka 2008, Mr Tom Wiles mmiliki wa kampuni iitwayo National Flight Services, inayohusika na kufanya matengenezo ya ndege, kufundisha kurusha ndege, na shughuli zote...
42 Reactions
135 Replies
27K Views
ALBERT Einstein ni mwanasayansi maarufu aliyeleta mapinduzi katika ulimwengu wa sayansi ambapo enzi za utoto wake walimu walimwita kilaza darasani. Maisha ya awali ya Eistern hayakukubalika kwa...
18 Reactions
44 Replies
15K Views
Neno Hali ya Hewa (climate) linamaanisha mkusanyiko wa mada (elements) mbalimbali kuu kama: mvua (precipitation); joto (temperature); unyevunyevu (humidity); mawingu (clouds-cover), upepo (winds)...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
cryonic preservation company wamekuja na wazo la kuhifadhi mwili wa mtu kwa joto la chini sana kwa matumaini kwamba utarejeshwa na teknolojia ya baadaye na utakuwa hai tena. Lakini je, cryonics...
13 Reactions
243 Replies
21K Views
1. Here we witness the birth of a T-1000. What's Actually Happening: A solar furnace (also sometimes called a Fresnal Mirror) concentrates sun rays into a focal point that can reach up to a...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Madai ya Waisraeli yanaanzia katika misingi ya kidini ambapo katika Biblia (kitabu kitakatifu wa Wakristu na Wayahudi), Kitabu cha Kwanza cha Nabii Musa kiitwacho Mwanzo (sura ya 12), kinaonesha...
3 Reactions
21 Replies
5K Views
Kwa kuzingatia kuwa nchi yetu imeamua kuingia/ kuendeleza uhusiano na ISRAEL nimeshtuka kuona Muandishi huyu wa Daily Nation Kenya alichoandika Kenya: What Kenya's Show At U.S. Jerusalem Embassy...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika hali ya kushangaza, Papa Francis amejitokeza hadharani kuunga mkono matumizi ya vichipu vya RFID, yaani Radio Frequency Identification kwa wanadamu. Amesema tekinolojia hii inaleta...
13 Reactions
332 Replies
43K Views
SEHEMU YA KWANZA Lengo kuu zaidi la Mungu lilikuwa ni kuwatoa Wamisri toka katika Utumwa wa Kifkra na Kiimani wa kuamini miungu mfu iliyowapotezea muda na mali,vitu ambavyo wangeweza kuvitumia...
16 Reactions
92 Replies
26K Views
Baada ya Sudan ya Kusini kujitenga kutoka main Sudan na kuongeza idadi za nchi katika bara la Afrika na duniani kwa ujumla, inaonekana inaweza kuwa chachu kwa baadhi ya majimbo ama nchi kumegeka...
3 Reactions
40 Replies
44K Views
Nimekuwa nikisoma mara kwa mara kuhusu migogoro katika klabu ya Yanga ikimhusisha mfadhili wao mkuu Manji.Mara nyingi amekuwa anatishia kujitoa na wanachama wanamuomba arudi. Wiki iliyopita...
0 Reactions
26 Replies
6K Views
Wakuu habarini za muda,nimekuwa mfuatikiaji sana wa mada za hapa jamii intelligence.. Sijawahi kuona uzi unaoelezea maana au fumbo lililopo katika zile tarakimu 666 kama zinavyoelezewa kwenye...
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Habari wakuu nazani nipo jukwaa sahihi kuna maswala machache yananichanganya sikumbuki lini nilisikia hili neno time travel nikawa interested kufuatili lakini nikaambulia kapa sijui ni lugha...
7 Reactions
106 Replies
22K Views
Yafuatayo ni majibu ya chama cha CUF kuhusu sakata zima la muafaka kama walivyotoa jana. CCM na nyinyi kama mnayo majibu yenu penyezeni hapa mwanakijijiatklhnews.com ondoa neno "at" na weka alama ya @
0 Reactions
53 Replies
7K Views
1.Alexander the Great. Huyu jamaa alitawala Macedonia kuanzia mwaka 336-323. Alianza kutawala akiwa na miaka 20 tu. Huyu ndiye aliangusha utawala wa Waajemi ambayo ilikuwa dola kubwa sana...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Kwanza kabisa natanguliza shukhran zangu dhati kumshukuru muumba mbingu na nchi kwa kunipa nafasi hii kuweza kujumuika na wanajukwaa wenzangu katika makala hii ya Black dahlia.Pili natanguliza...
5 Reactions
9 Replies
3K Views
Kati ya mwaka 1500 na 1800 kulitokea biashara ya utumwa ambayo inaitwa barbary slave trade. Hii ilifanywa na watu wa Morocco, Tunisia, Libya na Algeria ambao walikuwa wanafanya wazungu watumwa...
3 Reactions
33 Replies
5K Views
Back
Top Bottom