Jamii Intelligence

Mijadala fikirishi inayoibua fikra mbadala na mpya. Makazi ya wanazuoni

JF Prefixes:

Jamaa wawili walikuwa wanasafiri wakiwa wamepanda ngalawa. Haiyumkini kwa wale wasafiri wa baharini wanafaham Rabsha zitokeazo kunako maji.Wakiwa katikati ya bahari hali ikawa si shwari tena...
10 Reactions
58 Replies
14K Views
Wakuu, Japo wapo baadhi ya watu ambao hawakuwa Marais wa Marekani lakini wamewekwa kwenye noti za Marekani. Humu ndani wako wachambuzi wazuri sana wa historia, wanaoweza kutoa ufafanuzi ni mambo...
13 Reactions
133 Replies
29K Views
Salute Comrades... Wakuu naomba kunfahamu huyu jamaa ni nani? A-Z. In short Ndie anayeabudiwa na wachina,wathailand,wavetenam etc.. Alikua mtu wa watu sana, mwenye huruma hadi akaenda kuishi...
8 Reactions
122 Replies
16K Views
Habari zenu wakuu.. Mimi ni mmoja kati ya watu wanaoamini kuna watu wanatupangia matukio kwenye sekta tofauti(uchumi, siasa, michezo)kila mwaka kwa namna watakavyo hapa duniani kwa faida...
42 Reactions
157 Replies
23K Views
✳UHUSIANO WA JUBILEE YA MIAKA 70 YA ISRAEL NA KURUDI KWA YESU KULINYAKUA KANISA✳ *Na: Shujaa Charles Mwaisemba* _▶SHEREHE YA MIAKA 70(JUBEILEE) YA TAIFA LA ISRAEL_...
0 Reactions
36 Replies
8K Views
Katika kutekeleza mauaji kwa njia ya sumu zipo njia nyingi sana, lakini kila aina ya sumu ina njia zake na kila jasusi ana njia zake, hili mara nyingi hutawaliwa na muda, mazingira na mlengwa wa...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Utukufu kwa Mungu, wa uzima na wokofu! Wapendwa wana jamii. Maisha yana michakato mingi sana. Na ndani ya maisha kuna wapendwa wetu kwa namna moja ama nyingine huwa ni nguzo kuu ya kutusaidia...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mapenzi ni tendo la hisia ya kupendana linalohusisha watu wawili ambalo hutokea baada ya kuvutiana kati yao. Mvuto hutokana na hisia za uzuri (beauty) wanazokuwa nazo kati yao hata kama wengine...
12 Reactions
64 Replies
11K Views
Mgunduzi halisi ni nani?,ni yule anayetangaza kwanza uguduzi wake kabla ya mwingine?Je haiwezekani kukatokea wagunduzi wawili kwa kitu kimoja kutoka mahali tofauti kwa nyakati tofauti bila...
4 Reactions
25 Replies
5K Views
Habari za jioni wanajukwaa bila kupoteza muda niende kwenye mada kama kichwa cha uzi kinavyosema Kwa ufupi taifa la marekani lilipata uhuru wake kutoka kwa wakoloni wa kiingereza Julai 4,1776...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
KIASI kikubwa cha fedha hutoroshwa na kufichwa nje ya nchi wakati taifa linapokuwa katika uchaguzi, vita na matatizo ya kiuchumi. Uchunguzi wa Mwananchi Jumapili umebaini kuwa katika mazingira...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna imani ya dini inayosema USINGIZI NI NUSU YA KIFO. Mtu anapokuwa usingizi anakuwa amekata mawasiliano yake mengi katika ulimwengu wa kawaida. hali yakuwa usingizi humfanya mtu kuingia...
2 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari za wakati huu, wachambuzi makini wa masuala mbalimbali ya kunoanoa bongo; ni yangu matarajio kwamba mko salama! Naliweka swali hili mezani kutokana na kwamba nategemea kupata majibu ya...
12 Reactions
134 Replies
14K Views
Kwanza nianze na hawa watoto wadogo wanaosema ''mimi siamini katika dini bali naamini katika science'' Dini ni nini? Dini ni njia ya maisha (way of life). Tunaposema njia ya maisha hapa lazima...
6 Reactions
66 Replies
7K Views
Katika moja ya tabia ambazo nimekuwa nikipambana nayo ni hii ya kutaka kujua ulimwenguni kumekuwa na nini kikiendelea. Asubuhi sana napoamka najikuta naangalia CNN,BBC,AL JAZEERA,VOA,SKY NEWS,CBN...
13 Reactions
28 Replies
5K Views
Utafiti huu umefanywa nchini Ujerumani kwa ushirikiano wa Wanasaikolojia, madaktari wa binadamu na chuo kikuu cha Technische Universitat of Berlin. Utafiti huu ulisimamiwa na daktari Berthold...
23 Reactions
88 Replies
18K Views
Wakuu habari za wakati huu Kichwa kinasema kuwa ujue vita kuu inayondaliwa kuja maarufu kama ''HARMAGEDONI'' inamaanisha ni vita ya watu wote hata mimi na wewe tutaishiriki kivipi twende...
2 Reactions
47 Replies
12K Views
COINTELPRO ni nini? Ilikuwa program maalumu ya siri na wakati fulani haramu, ndani ya shirika la kijasusi la ndani la Amerika, FBI, kati ya mwaka 1956 hadi 1971. Program hiyo, ililenga kudhibiti...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Leo nimeshangazwa na jambo nililoliona pale ubungo stand ya mkoa. Usafiri wa kutoka kibamba, mbezi, kimara na ubungo kuelekea posta siku zote nyakati za asubuhi na jioni huwa niwa tabu sana...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kusema kweli watu wengi wanaweza wasimjue lakini huyu mtu alikuwepo na bado yupo na ataendelea kuwepo. Si mwingine ninayemzungumzia hapo zaidi ya Abdulrahman Babu, kipenzi cha watu mwanamapinduzi...
3 Reactions
9 Replies
4K Views
Back
Top Bottom