wadau kwa muda nimekua nikijiuliza mini maana ya muda..
nani alipanga sec,min,and hours nakosa jibu kabisa..
kwa mtazamo wangu...mpangilio wa nini cha kufanya ndo ulileta uwepo wa intervals kati...
Wasalaam,,,Familia ya great Thinkers....
Kuna mambo huwa yananitatiza jamani,,nataka kujua uhusiano wa utendaji kazi wa mtu na
vitu viwili,,,
1.feelings na utashi wa akili katka upambanuzi wa...
Wakuu
Kuna kitu kinanichanganya sana,katika maisha yangu .Mimi sio MTU wa kupiga sana simu kwa watu.Huwa napokea sana lawama Juu ya hii tabia,naonekana jeuri japo Mimi sielewi kwanini nipo hivyo...
Mataifa mengi hususani Africa yameanza kwa kasi urushaji wa Satellite angani katika karne hii kwa kurusha wenyewe au kushirikiana na mataifa kama Japan, Russia, Marekani n.k. Dunia ya sasa...
Ni dhahiri kila mwanaume huzaliwa akiwa na uume wenye ngozi inayofunika kichwa cha uume(govi). Katika tanzania kuna makabila kadhaa ambayo unaweza mkuta kijana hajatahiriwa na wala asiwe na...
Wageni wenye ruhusa tu na wafanyakazi wanafika katika ghorofa ya tatu ndani ya Makao makuu ya shirika la kijasusi la Mossad ndani ya eneo lenye ulinzi mkali sana katika makutano ya barabara kuu...
KATIKA BIOLOGY TUMEFUNDISWA KUWA CHEMBE HAI ZA BINADAMU HUGAWANYIKA KUTENGENEZA CHEMBE HAI MFANANO.swali kama zinatengenezwa kuchukua nafasi ya zilizokufa ni kwa nini,binadamu azeeka..Na kama...
Swala hili limeanzia mbali sana. Kabla ya miaka ya 1800 mwishoni na 1900 mwanzoni wayahudi wengi walikuwa huko ulaya. Huko hasa ulaya mashariki walibaguliwa sana na hawakuruhusiwa hata kumiliki...
Utangulizi
Katika jambo ambalo nitaliongelea nitatumia lugha ya Kiswahili na kingereza kutokana na baadhi ya maneno ya kingereza kukosa tafsiri ya moja kwa moja ya Kiswahili.
Ninashukuru...
Ndege hiyo haijadondoka kokote pale, haijazama baharini, Kisanduku cheusi nacho kimakata mawasiliano yake ghafla,
IMETOWEKA ANGANI.
NI VIPI NDEGE INAWEZA KUTOWEKA HEWANI?
Uwezekano mkubwa...
Habari za jumapili wana jamvi, naomba niende moja kwa moja kwenye mada.
Moja ya habari kubwa iliyotawala vyombo mbalimbali vya habari vya kimataifafa mwanzoni mwa wiki hii ni uzinduzi wa sanamu...
Hii ni moja kati dini changa zaidi Duniani kwa sasa.
Dini ilianza karne ya 19 huko Iran ikiwa imechupikia toka dhehebu la Shia.
Waanzilishi wa dini hii ni Bab na Bahaullah!
Dini hii inaamini...
Ni Ali Abdoul Saoud Mohamed alikuwa double agent wa CIA na EIJ( Egyptian islamic jihad) ambayo ndio ilipelekea kuundwa kwa ALQAEDA huku yeye akiwa mwendesha mafunzo wa mbinu za kivita na kijasusi...
Mashushushu hawa ndio wenye mafanikio makubwa kuliko wote Duniani.
Njama 638 za mauaji aliyoepuka Fidel Castro.(Chini ya mashushushu wenye ustadi wa hali ya juu sana(skillful)
Njama ya kutumia...
Amani iwe nanyi
Katika kuwaza jinsi ya kuingia kwenye Ufalme wa Mungu kuna mambo mengi nimekuwa nikijiuliza ikiwepo akina nani kutokana na nature ya kazi zao wana nafasi nzuri ya kufika Paradiso...
Tunataka Serikali ya CCM ielewe kwamba kama ikiendelea na viini macho dhidi ya watanzania then watanzania wote tulioko nje tutazishinikiza serikali za magharibi kujaribu kuhakikisha kwamba this...
Nimejaribu kuhesabu kitaamu risasi zilizopigwa ktk gari ya Tundu Lissu yanafika 20 kwenye kioo,kitasa na chini kidogo mpaka ktk tairi ya mbele kushoto.
Kwa jinsi zilivyopigwa inaonekana hao...
Ni matumaini yangu kuwa mu wazima wa afya tele wakuu!
Katika tafakari zangu za huku na kule ktk masuala ya imani ya dini, inaonekana ni Mwenyezi Mungu pekee ndiye mkamilifu kwa maana ya kuwa...
Habari wana JF. naomba kufahamishwa kuhusu Yesu Mtoto wa Mariam. Je Imani ya Wasabato, Waroma na Madhehebu mengine wanamchukulia kama Nani? Je ni Mungu? Mwana wa Mungu ama Mtume wa Mungu? Asanteni.
Wanasema ilianzia kwenye video ya wimbo wa ‘BLACK OR WHITE’
Ujumbe wa siri unao patikana kwenye wimbo huo ni kwamba Michael Jackson anawaambia Illuminati wao na yeye sasa ni basi.
Katika wimbo...