Tangu kuteuliwa kwake nilikataa kusema lolote juu ya Pinda na nakumbuka niliandika kuwa nampa benefit of the doubt ili aniconvince yeye si mmoja wao. Niliamini kwamba kila mtu ahukumiwe kwa...
:angry:
Nimeona nitumie kiswahili ili aibu hii ya Biashara ya Ulanguzi kwa watoto na Biashara ya Madanguro tuisome na kuichangia kitanzaniatanzania Maana Kwa kiingereza nimeona nitakuwa...
Habari...
Nimejaribu kuuliza na kufatilia kwa kiasi fulani kuhusu hii kitu lakini nikaambiwa ni sayansi tu. Lakini mimi naona kama kuna nguvu za giza zinatumika hivi.
Kama ni sayansi kwanini...
Eda ni kipindi anachokaa mwanamke aliyeachika au aliyefiwa na mumewe, na baada ya kipindi hicho ndoa yake huwa halali. Na imeitwa eda kwa jina hili kutokana na jina la kiarabu ‘iddah’ kwa...
Kwangu mimi huyu dereva wa Lisu ndio 'the hero of the day' kwenye tukio la shambulio la Lisu.
How did they ignore such an important factor in the equation?
Kawaida unapotaka kufanya tukio kama la...
Maana halisi ya neno RASTAFARIAN: ni imani ya mtu mweusi au mweupe inayotetea UTU wa MTU MWEUSI. MPIGANIA HAKI YA MTU MWEUSI huitwa RASTAMAN au RASTAWOMAN na kwa WATOTO wao huitwa RASTABABY...
Usiku wa kuamkia Leo nimeota bibi yangu ambaye ni mama mdogo wa baba yangu anakufa na msiba analetwa maenoe ya nyumbani.
Sinaelewa iyo ndoto imetokana na nini maana hata uyo bibi hatukuwa na...
Wana jf naomba kujulishwa kifo husababishwa na nini, mwanzoni nilifikiri kuwa kifo hutokea pale moyo unapoacha kufanya kazi , lakini nikaja gundua hali hii ikitokea kunamashine ya kusukuma damu...
JINA LAKE
Ameitwa JINNI kwa sababu ya kutokuonekana kwake na watu, na hii ni kwa sababu kila kisichoonekana kwa jicho la binadamu katika lugha ya kiarabu jina lake hutokana (hutoholewa) na herufi...
Wasalaamu,
Kwa muda wa takribani miaka 12 nimekuwa nikiota ndoto baada ya muda mfupi hutokea tukio halisi likiashiria ndoto niliyoota.
Mfano, mwaka 2006 nilikuwa najisomea usiku, tena nilikua na...
mshana jr hili jambo unaweza lielezea zaidi. nikikaa chini nikiwaza naona kabisa sisi waafrika tumerogwa. trust me. tumerogwa si kwa mambo tunayoyafanya. hata kama wenzetu pia wanafanya basi wao...
NASA inatuma chombo kuchunguza jiwe kubwa linaloelea angani ambalo huenda likahatarisha Sayari ya dunia mwaka 2135. Jiwe hilo limepewa jina la BENNU lina ukubwa wa kipenyo cha mita 500 yaani urefu...
A specter is haunting Tanzania. The Specter of African Socialism. Workers and Peasants of Tanzania Unite.
Mzuka unaindama Tanzania. Ni Mzuka wa Usoshalisti wa Kiafrika. Wafanyakazi na Wakulima...
Lester Joseph Gillis ndio jina alilopewa na wazazi wake alipozaliwa mwaka 1908 December 6
Jina maarufu zaidi alilojipatia alijiita George Nelson, almaarufu kama baby face Nelson kutokana na...
Tundu Lissu Mzalendo Nmaba moja Tanzania . Alianza Muda Mrefu kuandika , kutafiti , kutetea maslahi ya nchi yake.
Moja ya Kazi zake ni Kitabu kuhusu Fursa ya Dhahabu Alicho Kipa Jina Golden...
Habari wana jamvi leo ni siku nyngne pia 2nakutana humu jamvini kujuzana habari mbalimbali.
Kichwa ch habar km knavyojieleza hapo leo ndo mada yetu; Kwanza tujue maana y kifo;
KIFO NA NINI, Kifo...
Habari wana jf
leo nahitaji nieleze kwa ufupi tu kuhusu mmea huu wa bangi au cannabis hii ni kutokana na propaganda mbaya kuhusu mmea huu kwa jamii, yaani Force knowledge.
Cannabis plant au...
Mimi si mtaalamu sana wa mambo haya,ndo mana napenda kuuliza maswali machache juu ya mashirika haya.
Tayari nishasikia machache kuhusu CIA,MOSSAD na hapa kwetu TISS.
Ningependa kujua...
Hii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!
A circular polarizer will help and most vehicles have no tint on the front windshield. Position...
RISASI ZA LISSU NA MAJASUSI WA URUSI NCHINI MONTENEGRO.
Na
Augustino Chiwinga
Usiku wa tarehe 16 October 2016 katika Jiji la Podgorica nchini Montenegro kulitokea jaribo la kimapinduzi ambalo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.