Nimekumbuka kisa cha mfalme mmoja wa nchi iliyo chini ya jua ambaye alipenda sana kuvaa na kusifiwa kwa mavazi aliyokuwa akivaa. mfalme alitengenezewa mavazi yenye rangi mbalimbali kama vile...
Wana bodi salam !
Kwa wale waliopata kusimuliwa habari mbalimbali za zamani hasa enzi za Ukoloni
kuna hili suala la Rupia na aina mbalimbali
ya fedha zinatajwa kuwa ni sarafu.
Wengi wa...
Kuna kitu kinanitatiza sana Wakuu?
Kuhusu hili swala la ulimwengu wa roho.
Je ulimwengu huo upo? Una utawala Kama ulimwengu huu?
Je unaweza kwenda na kurudi Huku?
Je ulimwengu huu ni wa mtu...
Ndugu wanajf wenzangu
Wapenzi wa jukwa la intelligence
Nimekua msomaji wa mambo mengi mtandaoni ni nimekua nikijifunza mengi na kufahamu pia
Leo nawaulizia hawa rockfeller family ambao inasemekana...
Inaonekana binadamu ana uwezo mkubwa sana lakini bado hajautumia.Niliwahi kusoma utafiti mmoja na ikagundulika kwenye utafiti ule kuwa mwanadamu anatumia uwezo wake wa akili au kufikiri kwa...
This is what IMMMA Advocates had to say in regards to MwanaHalisi's publications including its article published on Wednesday, March 5th.This was according to the DAILY NEWS, Monday, March 10...
Jamani,mimi naamini kujifunza hakukuishia darasani,na sipendi kufanya mambo kimazoea.Kuna hii kitu nimekua nikisikia tangu mdogo,AKILI.Je ni nini?Je ni ufahamu?Inapimwaje?Shule kwa mfano,yule...
KUTOKA SOMALIA MBAKA KENYA 2
Baada ya serikali ya Kenya na vikosi vyake vya usalama kuendelea kushikilia msimamo wao kwamba mauaji hayo yalikua yanatekelezwa na viongoz wa siasa nchini humo...
How a Ragtag Gang of Retirees Pulled Off the Biggest Jewel Heist in British History
The police and public gasped at the audacity of the Great Hatton Garden heist of 2015, where millions in cash...
Kila kitu huwa kina majira yake, kila jambo duniani lina wakati wake :
Kuna wakati wa kuzaliwa na wakati wa kufa,
Wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna kilichopandwa,
Wakati wa kuua na wakati...
Do you believe that God sets our destiny?
If he does, and the mistakes we make are set by him, then why do we have to pay for our sins if God has decided them to be a part of our destiny...
Jamani, mara kadhaa nimekuwa nikitafakari, hivi inakuwaje kanchi kama Rwanda kuwa na mkwara mzito wa namna hii kwa Tanzania?
Sasa, baada ya kupitia ripoti ya mchungaji Mtikila, ambayo hapo...
Jason Eric Massey alizaliwa januari 7 1973 kule Ellis county,Texas.Katika umri mdogo,alipitia changamoto kubwa ya malezi kwani babake alikuwa mlevi mkubwa naye mamake alikuwa mhadhiriwa wa madawa...
Watu wametweta,wamekasirika na wengine wamefura kwa maneno mazitomazito kwa kauli ya Mwadhama P. Kardinal Pengo.Yeye Pengo kama baba wa kiroho na kiongozi wa waumini wa kanisa katoliki jimbo la...
Habari zenu wakuu? Natumaini mmeamka salama na mnaendelea vyema na majukumu yenu ya hapa na pale.
Kama mada inavojieleza hapo juu, kwasiku nyingi nimekua na maswali kuhusu huyu bibi na nguvu yake...
WanaJF, nikiri tu kuwa hapa jamvini mimi ndo mtu ambaye kielimu nipo chini sana.
Pamoja na hayo nimejifunza mambo mengi kupitia hapa JF. Hakuna siku ambayo nimeacha kupita hapa JF...
Thanks to Livingwaters the Documentary.
There are more resources there but here is the full movie free.
Please do not comment if you have not watched the movie as that will be silly. You don't...
Ilikuwa siku ya kawaida kama ilivyo siku nyingine yoyote na watu walikuwa wakiendelea na shughuli zao kama kawaida katika mji wa Greenwood, Indiana.
Sarah msichana mwenye umri wa miaka 24, ambaye...
Mwaka 1989 ndugu wawili wajulikanao kama Lyle ambaye kwa sasa ana miaka 49, na Erik ambaye kwa sasa ana umri wa miaka 46, waliowaua wazazi wao kwa kuwapiga risasi sehemu mbalimbali za miili yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.