Mwingereza alipotawala nchi za Afrika Mashariki aligawa nguvu za kijeshi kama ifuatavyo:
1. TANZANIA ikawa ngome ya jeshi la ardhi na hivyo ikaongoza kuwa na vifaa vingi vya ardhini mf. vifaru...
Asalaam!
Rejea mada tajwa hapo juu. Kuna suala moja nimejihoji kwa muda mrefu lakini sijapata jawabu kutokana na visa vikuu viwili nilivyovishuhudia mwenyewe.
Mwaka 2013 mkoani Mbeya, Baba yetu...
Ukiwauliza VIP protection Agents mbalimbali Changamoto juu ya Earpiece wanazovaa muda wote kwa ajili ya Kuwa linked na Kuwasiliana na Details inayokuwa Nje au Pembeni basi watakuambia Tube Coiled...
Swalama waheshimiwa!
Mara kadhaa nimekuwa nikijiuliza kwanini marais wetu wanalindwa na jeshi la wananchi (JWTZ), Kwa sababu mimi nijuavyo kazi ya jeshi la wananchi ni kulinda usalama wa mipaka...
Ndugu zangu fungueni BBC swahili ya leo asubuhi msike mahojiano ya Salva Rweyemamu mimi nimeskikia leo asubuhi!
Kwa kweli kwa majibu yake juu ya nini serilaki ifanye kuhusu tuhuma...
General Manuel Antonio Norriega
Manuel Antonio Noriega Moreno (Spanish pronunC.I.A.tion: [maˈnwel noˈɾjeɣa]; February 11, 1934 – May 29, 2017) alikua mwanasiasa na mwanajeshi wa nchi ya Panama...
Katika makala haya, tutaangalia jinsi wanasayansi wa kawaida, tena ambao walikuwa hawaamini kabisa kwamba kuna Mungu au shetani, katika utafiti wao ambao haukuwa na uhusiano wowote na masuala ya...
Katika karne ile ya kumi na tatu kilinzishwa chombo cha papa cha kutisha mno - yaani, ile Inkwizisheni (Inquisition) [Mahakama ya Kanisa Katoliki ya kukomesha uasi, hasa katika karne ile ya 15 na...
Habari zenu wandugu.Leo ni jumatatu najuwa wengi tupo katika mihangaiko ya kutafuta riziki ya kila siku.
Niingia katika madaDunia hii tunayoishi ilianzia wapi,nini chanzo chake,hayo ni baadhi ya...
Wakuu,
Unapofungua Agano Jipya,hasa katika zile Injili Nne,utakutana na uadui kati ya Wayahudi dhidi ya Wasamaria!
Ila ushawahi jiuliza chanzo cha ukinzani huu? Basi twende sote tupate kujua...
MCHANGO WA MAJASUSI WA KIDOLA KATIKA TEKNOLOJIA YA NYUKLIA NCHINI URUSI
Katika hadithi za kijasusi za Urusi na Marekani, si kawaida kuacha kutaja majina ya 'mashujaa wa ujasusi wa urusi'...
Habari zenu....
Jamani hii imekaaje ni binti ambae tulisoma nae primary ni miaka imepita.... kwakipindi cha takribani miaka mitatu nimekuwa nikimuota saaana si kwamba labda alikuwa rafiki...
Kumekuwepo na mitazamo kwamba biblia inazungumzia wazungu na sisi waafrica we had nothing to do with the bible na wokovu wa wanadamu (for believers), wala bible haitutaji.
Leo nakuletea watu...
Ndugu zangu hamkani si shwari tena...you are being watched n monitored!take care
Uhuru wa kupashana habari umeingia kitanzini... mitandao ya kijamii imebanwa mbavu.... mada nyingi zenye kukosoa...
Ninaanzisha thread hii ili kuwakaribisha wataalamu wa Nuclear phyiscis watupe elimu kuhusu Nuclear energy.
Bomu la nyuklia hutengenezwa kutokana na madini yenye asili ya Radioactive kama vile...
March 23 mwaka 1994 tabibu mkaguzi(medical examiner) anauchunguza mwili wa marehemu Ronald Opus na kufikia maamuzi kua Ronald Opus alikufa kwa kupigwa risasi kichwani, Hii inatokana na jeraha...
Bell was a Scottish-born American scientist and inventor, most famous for his pioneering work on the development of the telephone.
Alexander Graham Bell was born on 3 March 1847 in Edinburgh and...
Wakuu,
Baada ya kuyaangalia mapigo
matano ya kwanza,ebu tumalizie
matano mengine!
Baada ya wanyama wa mwituni
na nyumbani kufa,pigo la sita
lilifuatia!
PIGO LA SITA
Musa aliyachota majivu ya...
Je Kiusalama na Kiulinzi ni ' afya ' kwa Kiongozi yoyote yule wa nchi kulindwa na askari waliobeba silaha kali na nzito popote pale anapokuwa au hasa akiwa katika halaiki ya Watu? Na kama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.