Naamini Kila mtu anajua kuwa maisha ni safari, safari yenye wingi wa changamoto za Kila Aina.
Kila mmoja kapitia Mapito yenye wingi wa simulizi zenye kuleta hisia tofauti.
Lakini Kwa pande wangu...
Nilikuwa natafakari juu ya uumbaji na kushangazwa na kitu kimoja cha ajabu; viumbe vingi hata vinavyoishi mazingira tofauti na vya aina (specie) tofauti sana vimefanana kwa kuwa na macho. Vinaweza...
Inashangaza Tanzania kujiita Kisiwa cha amani, nchi yenye utulivu, huku tukilalamikia kuongezeaka kwa vitendo vya Uharifu kuwa kunatokana na Idadi kubwa ya wakimbizi ambao wametokana na Nchi zenye...
Katika siku za karibuni kumekuwa na habari mbalimbali zikiripotiwa kuwa Polisi wamefanikiwa kuyaua Majambazi kadhaa katika matukio ambayo yalisababisha kurushiana risasi.
Jambo...
Wakuu habari ya jioni,
Jana mchana nilikuwa na jamaa fulani tunapiga story,akaja jamaa mwingine pale tulipokuwa na kusema juzi alh alpiga pombe sana kwa wachina wanaojiandaa kujenga barabara ya...
Wakuu heri ya mwaka mpya. Kwa muda sasa suala hili limekuwa likinisumbua. Imenitokea mara kadhaa kuwa naweza kuwaza kitu fulani au mtu fulani sura yake ikaja na baadaye kitu hicho hutokea au kama...
Wadau
kila taaluma zina kitu kinaitwa maadili ya taaluma . iwe ni sheria,uhandisi ICT, udaktari ,uhasibu, uchumi . etc
Sasa basi tukumbushane tuelimishane baadhi ya code of ethics za...
Things That Can Ruin Your Health
Here are some few things that can ruin your life if you are not careful....
Four things that make your body sick:
Excessive talking
Excessive sleeping...
Waungwana nimeisoma hii ikanipa shock, huu wimbo utaisha lini, sioni dalili ya kufikia hata kibwagizo, hebu check huu ubeti
Mabilioni ya TCRA yaibua utata bungeni
Mwandishi Wetu Juni 25...
"State intelligence agencies can -- and do -- access citizens' private communications illegally".
Read this article that is in the public domain in SA:
Secret state: How the government...
marekani now wamedizaini ndege ambayo haiwezi kuathiliwa na mionzi ya nyuklia pindi vita hii ya tatu itakapoanza, ndege hii inauwezo pia wakuingia chini ya bahari kama nyambizi inaitwa doomsday...
Imekuwa kawaida sasa kusikia serikali ikikataza maandamano ya vyama vya siasa kwa kile walichoita "sababu za kinteligensia' kuwa wangevuruga amani na mambo mengine kama hayo. Mshangao wangu ni...
Wana JF, itakumbukwa ya kuwa miezi kadhaa nyuma baada ya Mengi kuwatuhumu maofisa wa Polisi kutaka kumbambikizia mtoto wake madawa ya kulevya na kuwataja kwa majina na kiasi cha mgawo kilichopita...
Jamani nina stori ndefu inayonihusu mimi nilifunguliwa kesi na bado inaendelea kuhusu watu fulani walijiita maafisa bima lakini ni matapeli na mamlaka ya bima ilithibitisha hayo na hukumu ilisema...
Matamanio Yetu
Wakati mwingine uandishi ni uwakilishi wa kweli wa mawazo yako yakiwakilisha jamii ya watu wa aina fulani, aidha kitabaka, kijinsia au hata kiimani.
Upeo wa maisha ya...
Wadau,
Wikileaks imetoa news kuwa kampuni ya China ya Huawei imekiri kutumiwa na China kufanya ushushushu.
Kuna baadhi ya mitandao ya simu hapa nchini kwetu bongo ambayo inatumia mitambo...
Dear readers,
For a long time I have been reading a lot about the famous Jeetu Patel and this prompted me to dig deep to know exactly who this guy really is.
Much to my surprise and quite...
Na. M. M. Mwanakijiji (MwanaHalisi)
Sasa najua kwanini waliliua Azimio la Arusha kule Zanzibar na kulizika bila kuliswalia dua za mwisho wala kulifanyia ibada ya mazishi. Sasa najua kwanini jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.